Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Mwezi July... dodoma haikurekodi hata mradi mmoja.mwanza ilikuwa na miradi 6 na iliongoza Kwa kutengenezea ajira wakati dodoma haikutengeneza ajira hata mojaView attachment 2748034
Umeamua kuja kujifariji si ndio 😁😁😁😁

Sawa ngoja kufikia desemba mwisho wa mwaka tutajumlosha nani amepata zaidi in terms of value.
 
Utachekwa na watu, upo dunia ya peke akoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, serikali walikuwa wametubania sisi Mwanza na mungu anajua kutendaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa hiyo Senegal ndio wamepata badala ya EAC?

Sijaona ushahidi wa hili,acheni wivu,majibu ni mwisho wa mwezi huu wa tisa πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…