Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Mwezi July... dodoma haikurekodi hata mradi mmoja.mwanza ilikuwa na miradi 6 na iliongoza Kwa kutengenezea ajira wakati dodoma haikutengeneza ajira hata mojaView attachment 2748034
Umeamua kuja kujifariji si ndio 😁😁😁😁

Sawa ngoja kufikia desemba mwisho wa mwaka tutajumlosha nani amepata zaidi in terms of value.
 
New Stadium is loading in Dom
Screenshot_20230913-194538.jpg
 
Utachekwa na watu, upo dunia ya peke ako😂😂😂, serikali walikuwa wametubania sisi Mwanza na mungu anajua kutenda😂😂😂😂
Kwa hiyo Senegal ndio wamepata badala ya EAC?

Sijaona ushahidi wa hili,acheni wivu,majibu ni mwisho wa mwezi huu wa tisa 👇
Screenshot_20230914-205233_1.jpg
Screenshot_20230914-205356_1.jpg
Screenshot_20230914-205313_1.jpg
 
Back
Top Bottom