ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hapana ila TIC inarekodi miradi ya Sekta binafsi tuu na sio ya sekta ya UmmaKwan hyo miradi ni ya FDI tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ila TIC inarekodi miradi ya Sekta binafsi tuu na sio ya sekta ya UmmaKwan hyo miradi ni ya FDI tu
Umeamua kuja kujifariji si ndio 😁😁😁😁Mwezi July... dodoma haikurekodi hata mradi mmoja.mwanza ilikuwa na miradi 6 na iliongoza Kwa kutengenezea ajira wakati dodoma haikutengeneza ajira hata mojaView attachment 2748034
Ndio wako wanatafuta consultant wa kudesign [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]New Stadium is loading in Dom View attachment 2749203
Ndio hatua za ujenzi zimeanza hivyo,ujenzi unaanza mwakani maana kabla ya 2027 uwe tayari Kwa AfconNdio wako wanatafuta consultant wa kudesign [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]
Afcon ipi .. wakati afcon imepelekwa SenegalNdio hatua za ujenzi zimeanza hivyo,ujenzi unaanza mwakani maana kabla ya 2027 uwe tayari Kwa Afcon
Leta ushahidiAfcon ipi .. wakati afcon imepelekwa Senegal
Utachekwa na watu, upo dunia ya peke ako😂😂😂, serikali walikuwa wametubania sisi Mwanza na mungu anajua kutenda😂😂😂😂Leta ushahidi
Kwa hiyo Senegal ndio wamepata badala ya EAC?Utachekwa na watu, upo dunia ya peke ako😂😂😂, serikali walikuwa wametubania sisi Mwanza na mungu anajua kutenda😂😂😂😂
Endeleeni kusubiri embe dodo chini ya muarobaini.Kwa hiyo Senegal ndio wamepata badala ya EAC?
Sijaona ushahidi wa hili,acheni wivu,majibu ni mwisho wa mwezi huu wa tisa 👇View attachment 2749280View attachment 2749281View attachment 2749282
🤣🤣🤣 AibuEndeleeni kusubiri embe dodo chini ya muarobaini.
Subirini 2080 mtaandaa🤣🤣🤣 Aibu
Soma title ya thread...thread inahusu Dom City na Arusha City sio Dodoma mkoa na Arusha mkoa ,👇👇Mtu anakuja kusema Dodoma ni kubwa kwa Arusha kweli?!
Mkuu mbona unaleta habari za zamani?! 2019 ni miaka mi 5 sasa unaleta mwaka 2023? KweliSoma title ya thread...thread inahusu Dom City na Arusha City sio Dodoma mkoa na Arusha mkoa ,👇👇