Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Uko sahihi
 
Acha kufananisha Arusha na takataka
Dom is the next thing after Dar ,najua unajua ila unajifariji.

-So far Dom Vitu is well planned and Organized

-Dom City ni namba 2 Kwa Mapato baada ya Dar

-Dom City has well and most developed infrastructures just second to Dar.

Kiufupi Arusha inazidi Dom misitu Mingi na ushwazi kama huu hapa πŸ‘‡

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sio kufika tuu Bali nimeishi na kusoma huko..

Arusha Kwa Sasa ni kitu kidogo Sana Kwa Dodoma.
Umesoma shule gani Arusha mkuu??
Hivi unajua kwa dodoma chamwino imehesabiwa kama mjini ila Arusha. Kwenye kata za mjini hakuna
USA
Tengeru
Ngaramtoni
Sakina
Kwa mrombo
Makumira
Njiro
Kisongo
Wewe unaamini hizi kata zipo vijijini?
1 Napingana na wewe na pia nakubaliana baadhi
Dodoma hi well planned/organized ni kweli

2. Dodoma ilikuwa ya pili kwa mapato wakat serikali imehama kwa kukurupuka ni investments za serikali inaonekana kuupaisha mkoa, kwa sasa dodoma haipo hata top10 kimapato tena.. go correct your facts.

3. Kuhusu infrastructure ni kweli dodoma serikali inawekeza kuanzia siku nyingi kupitia CDA.
The rest ni story dodoma ni maskini chini chini kule Arusha is one of the most developed and productive region
Asante
 
 

Attachments

  • Screenshot_20240219-214501_Chrome.jpg
    324.1 KB · Views: 3
Asante kwa Taarifa mkuu πŸ˜„ hahaha kaangalia bandiko la TRA
Kuna tofauti kubwa kati ya Mapato ya TRA vs Mapato ya Jiji.

Mada ni Dom City vs Arusha City na sio Mkoa Kwa Mkoa japo sometimes arguments haziwezi kukwepeka.

So Dom ni ya pili Kwa Mapato ya Jiji baada ya Dar ila ya 5 kwa.mapato ya TRA so not bad ikizingatiwa Dom was nothing
 
Mkuu dodoma hakuna zaidi ya investment za serikali
Hayo majengo yakikamilika basi hamna biashara tena. Obviously city center itakuwa na unafuu but growth ni ngumu dodoma hamna pool factor zaidi ya administrative services.
Hata kwenye majengo ndio utakuta dodoma wana maghorofa 1000 na Arusha 7000.
 
Kinachoitwa Dodoma City Centre Wala haihushi Chamwino,huko ni Wilaya ya Chamwino kimipaka japo kiujumla wake ni Dom Metropolitan na ndio maana kuna Mpango wa Kuunda Manispaa ya Chamwino na Bahi ambazo zinazunguka Jiji la Dom πŸ‘‡πŸ‘‡


Hizo.kata zote zilizopo pembezoni mwa Arusha hata zihesabiwe ndani ya Jiji la Arusha hakuna kitu Cha maana sana kitaongeza Ili kuizidi Dom.

Dom Hadi keshokutwa ndio ya pili Kwa Mapato ya Ndani baada ya Dar,na namba 5 Kwa Mapato ya TRA.

Kitu pekee Arusha inazidi Dom ni Hoteli za kitalii,uswazi na misitu hapo Mjini πŸ˜†πŸ˜†
 
Arusha imefika hapo Kwa sababu ya uwekezaji wa Serikali.

Na Dom inaendelea kuchanua Kwa sababu za uwekezaji wa Serikali.Poor factors wa kwanza ni Serikali.

Mwisho Kwa taarifa Yako tuu hayo majengo unayaona hapo Dom hata nusu Bado.Yaanj Kwa Wizara Kwa mfano hiyo ni awamu ya kwanza,Bado awamu ya 2 na 3.

On top of that Bado mataasisi kama yote.Dom haipoi Leo Wala kesho.Miundombinu ya Viwanja vya ndege ikikamilika Mapato yata double .

Kiufupi Dom imeisha Take off hakuna wa kuirudisha , mengine mnajifariji tuu.
 
Toa Mwanza , msimamo ni
Dar
Dom
Arusha
Mwanza
Usiwe kilaza wewe, mwanza ni jiji la pili tanzania lenye manispaa zaid ya moja

Ukiaondoa dar & mwanza hakuna jiji lolote kati ya Arusha na Dom ambazo wilaya zake zimefikia hadhi ya manispaa

Sasa unawezaje kufananisha jiji ambalo lina manispaa 2 na jiji ambalo halina manispaa hata moja?

Mwanza wana manispaa ya nyamagana na ilemela

Haya tutajien wilaya za jiji la Arusha na Dodoma ambazo zimefikia hadhi ya manispaa?

Pia unawezaje kuliponda jiji ambalo lina fursa nyingi za kiuchumi?

Mfano Mwanza wana Kiwanja cha ndege cha kimataifa, ziwa, bandar, reli zaid ya moja yaan reli ya kati na sgr, wana bank kuu, mahakama kuu ya kanda, wana madin ya kutosha, wanaga sana, media kubwa bongo hapa ipo dar na mwanza (sahara communication)

Yaan mwanza wana fursa kibao za kiuchumi

INternation flight kila saa zinatua kuja kufuata minofu ya samaki

Lakin bado nashangaa watu mnaiponda mwanza

Hivi mna akili kwel?

Mwanza ndio mkoa pekee utnaotoa samaki pendwa ndani na nje ya nchi (sangara & sato)
 
Dodoma juu kiutani utani wanapigwa chini ,hapo ndio maumivu tuliyapata baada ya Nyerere kuua mkoa wetu kwa ujinga wake akaanza kujenga Dar ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…