Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Kinachoitwa Dodoma City Centre Wala haihushi Chamwino,huko ni Wilaya ya Chamwino kimipaka japo kiujumla wake ni Dom Metropolitan na ndio maana kuna Mpango wa Kuunda Manispaa ya Chamwino na Bahi ambazo zinazunguka Jiji la Dom 👇👇
View attachment 2909408

Hizo.kata zote zilizopo pembezoni mwa Arusha hata zihesabiwe ndani ya Jiji la Arusha hakuna kitu Cha maana sana kitaongeza Ili kuizidi Dom.

Dom Hadi keshokutwa ndio ya pili Kwa Mapato ya Ndani baada ya Dar,na namba 5 Kwa Mapato ya TRA.

Kitu pekee Arusha inazidi Dom ni Hoteli za kitalii,uswazi na misitu hapo Mjini 😆😆
Mkuu embu leta chanzo chako cha mapato unayoongelea kuanzia 2022/2023
Kwa namna ninavyopata mimi data sioni wapi Dodoma inaizidi Arusha tena kwenye populations mnadanganywa kuna kata zina nyumba za matope ziko incorporated kwenyw city boundaries ila kwa Arusha kule Njiro, Tengeru na Ngaramtoni na maghorofa yote ni vijijini
 
Usiwe kilaza wewe, mwanza ni jiji la pili tanzania lenye manispaa zaid ya moja

Ukiaondoa dar & mwanza hakuna jiji lolote kati ya Arusha na Dom ambazo wilaya zake zimefikia hadhi ya manispaa

Sasa unawezaje kufananisha jiji ambalo lina manispaa 2 na jiji ambalo halina manispaa hata moja?

Mwanza wana manispaa ya nyamagana na ilemela

Haya tutajien wilaya za jiji la Arusha na Dodoma ambazo zimefikia hadhi ya manispaa?

Pia unawezaje kuliponda jiji ambalo lina fursa nyingi za kiuchumi?

Mfano Mwanza wana Kiwanja cha ndege cha kimataifa, ziwa, bandar, reli zaid ya moja yaan reli ya kati na sgr, wana bank kuu, mahakama kuu ya kanda, wana madin ya kutosha, wanaga sana, media kubwa bongo hapa ipo dar na mwanza (sahara communication)

Yaan mwanza wana fursa kibao za kiuchumi

INternation flight kila saa zinatua kuja kufuata minofu ya samaki

Lakin bado nashangaa watu mnaiponda mwanza

Hivi mna akili kwel?

Mwanza ndio mkoa pekee utnaotoa samaki pendwa ndani na nje ya nchi (sangara & sato)
Wewe acha kujifariji.

Chamwino na Bahi Ziko process ya kuwa Manispaa.

Unazoita fursa za kiuchumi sijui ni wapi hazipo.Wewe si unajua kabisa kwamba Uwanja mkubwa zaidi wa Ndege Tzn unajengwa Dom? Unadhani ni pambo Hilo?

Hivi unajua Dodoma ni Mkoa wenye Madini aina nyingi kushinda karibu Mikoa yote at least Kwa Sasa?

Stori za Sgr sijui nini hata Dom zipo.Dom ndio Ina future nzuri kushinda Mwanza.
 
Mkuu embu leta chanzo chako cha mapato unayoongelea kuanzia 2022/2023
Kwa namna ninavyopata mimi data sioni wapi Dodoma inaizidi Arusha tena kwenye populations mnadanganywa kuna kata zina nyumba za matope ziko incorporated kwenyw city boundaries ila kwa Arusha kule Njiro, Tengeru na Ngaramtoni na maghorofa yote ni vijijini
Soma hiyoo 👇👇
20230105_220858.jpg

Mwezi wa 4 wakati wa Bajeti nakuletea Mapato ya 2023.
 
Mkuu dodoma hakuna zaidi ya investment za serikali
Hayo majengo yakikamilika basi hamna biashara tena. Obviously city center itakuwa na unafuu but growth ni ngumu dodoma hamna pool factor zaidi ya administrative services.
Hata kwenye majengo ndio utakuta dodoma wana maghorofa 1000 na Arusha 7000.
We jamaa unafact hadi jamaa yako anaanza kukuogopa wanafarijianaga et arusha iko chini shida hatunaga mda wa kushinda mitandaoni huku sisi ni watu wa kazi tu waambie huo mji wao huo wakimaliza kujenga majengo ya wizara ndio umekwisha kama mwanza tumewazidi majengo mara mbili mapato mara tatu itakua hao washindane kwanza na mwanza arusha iko mbali sana tena kama awamu ile walitushindwa sasa hivi ndio utalii umeshika kasi hawatupati tena 🤣
 
Hapo ni sawa na kujifariji walivyokuwa wanajifariji kina Maiduguri ,Kano etc wakati Abuja inajengwa 😂😂😂😂
 
Hapo ni sawa na kujifariji walivyokuwa wanajifariji kina Maiduguri ,Kano etc wakati Abuja inajengwa 😂😂😂😂
Abuja ilo location nzuri hali ya hewa nzuri tofauti na dodoma.
Kano na Maidguri ndio ukanda wa sahel kama dodoma hakuna pool factor. Ukweli dodoma hakuna shughuli inayovutia wawekezaji ndio maana kila mwaka mkoa una njaa.
 
Kwa hiyo Arusha Iko location nzuri kushinda Dom si ndio? Kwani miti kitugani si inapandwa tuu ?
 
Kwa hiyo Arusha Iko location nzuri kushinda Dom si ndio? Kwani miti kitugani si inapandwa tuu ?
Quality ya soil's Ar/kilimanjaro ni tofauti na dodoma
Milima ya volcano huzalisha Quality healthy soil.
Clean water from mountains, hali ya hewa nzuri pia mkuu dodoma hata ukilanda mti huwezi kukua ukawa kama mti wa Arusha. So kuna geographical advantages
 
Kwa hiyo Arusha Iko location nzuri kushinda Dom si ndio? Kwani miti kitugani si inapandwa tuu ?
Arusha ipo strategically katikati ya kampala, mombasa, nairobi, dodoma na Daresalaam ukiachilia mbali uoto na hali ya hewa, Tanzania tunashida ya kuchagua location ya miji yetu dar na dodoma zote ziko sehemu za hovyo kwenye majiji mbeya na arusha ndio yana hali ya hewa nzuri na ukijani shida mbeya planning ni hovyo 😁 ukisimama juu ya mwanjelwa pale ukiangalia mji ni kijiji fulani kikubwa hiv tusidanganyane kwa Tanzania hii miji ambayo ni mizuri ya kuishi ni iringa moshi na arusha lakini iringa na moshi bado ni manispaa na ni miji midogo the only best place hapa bongo ni arusha tu japo najua wa mikoani wengi hamkubali huu ukweli jiulize kwanini nchi ikipewa nafasi ya kuhost taasisi fulani lazima nchi watapendekeza iwe arusha sababu ndio sehemu pekee ambayo inaweza kufuta aibu ukweli mchungu hata mkutano wa caf mwaka jana wamefanyia arusha kwanini sio sehemu nyingine shida iliyopo arusha ni miundombinu tu barabara sasa hivi zimezidiwa na magari wakati dodoma huko mmejengewa barabara zinasubiri watu waje, kwetu stendi, masoko bado ni kizungumkuti lakini arusha ndio mji pekee utakaoutoa nchi hii kimasomaso in the future😀 dodoma subirini tu hayo majengo ya serikali yakamilike mkae kwa kutulia wanaume tuwaoneshe kazi
 
Dom is the next thing after Dar ,najua unajua ila unajifariji.

-So far Dom Vitu is well planned and Organized

-Dom City ni namba 2 Kwa Mapato baada ya Dar

-Dom City has well and most developed infrastructures just second to Dar.

Kiufupi Arusha inazidi Dom misitu Mingi na ushwazi kama huu hapa 👇View attachment 2909377

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuonyesha jinsi gani arusha ni kubwa huo uswazi unaounyesha hapa upo arusha dc ambayo haisabiwi kwenye population ya arusha jiji kwa taarifa yako mipaka ya arusha jiji inaanzia kwenye barabara ya arusha moshi kwenda kusini lile jengo la papu unaloliona ndio mipaka ya arusha jiji inapoanzia sasa jiulize kama huko arusha dc kuna Town vibe ingejumuishwa kwenye sensa arusha ina 1 million + people city proper sio hizo bahi na chamwino unazozisema hapa😀😀
 
Ilerai humo kumejaa manyumba ya tope ni Arusha DC? 😁😁
 
Ilerai humo kumejaa manyumba ya tope ni Arusha DC? 😁😁
Mbona hata kibera ni city centre nairobi lakini kuna hadi nyumba za mifuko
Modern cities zinaenda vertically ili kuleta density eneo moja na hii ndio inaleta city vibe sio kupanua mji kama gunia imagine mji wa kiserikali mmgejenga karibu na city center mngeleta bonge la view mnapanua mji sana unakosa hata vibe too much planning itakua kama tanga sasa
Arusha city 200sqkm watu 600000
Dodoma city 2500 sqkm watu laki 7
Hebu jicheke mwenyewe kwanza😀😀
 
Back
Top Bottom