ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Andika vizuri wewe mzeeDodoma juu kiutani utani wanapigwa chini ,hapo ndio maumivu tuliyapata baada ya Nyerere kuua mkoa wetu kwa ujinga wake akaanza kujenga Dar ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika vizuri wewe mzeeDodoma juu kiutani utani wanapigwa chini ,hapo ndio maumivu tuliyapata baada ya Nyerere kuua mkoa wetu kwa ujinga wake akaanza kujenga Dar ,
Mkuu embu leta chanzo chako cha mapato unayoongelea kuanzia 2022/2023Kinachoitwa Dodoma City Centre Wala haihushi Chamwino,huko ni Wilaya ya Chamwino kimipaka japo kiujumla wake ni Dom Metropolitan na ndio maana kuna Mpango wa Kuunda Manispaa ya Chamwino na Bahi ambazo zinazunguka Jiji la Dom 👇👇
View attachment 2909408
Hizo.kata zote zilizopo pembezoni mwa Arusha hata zihesabiwe ndani ya Jiji la Arusha hakuna kitu Cha maana sana kitaongeza Ili kuizidi Dom.
Dom Hadi keshokutwa ndio ya pili Kwa Mapato ya Ndani baada ya Dar,na namba 5 Kwa Mapato ya TRA.
Kitu pekee Arusha inazidi Dom ni Hoteli za kitalii,uswazi na misitu hapo Mjini 😆😆
Wewe acha kujifariji.Usiwe kilaza wewe, mwanza ni jiji la pili tanzania lenye manispaa zaid ya moja
Ukiaondoa dar & mwanza hakuna jiji lolote kati ya Arusha na Dom ambazo wilaya zake zimefikia hadhi ya manispaa
Sasa unawezaje kufananisha jiji ambalo lina manispaa 2 na jiji ambalo halina manispaa hata moja?
Mwanza wana manispaa ya nyamagana na ilemela
Haya tutajien wilaya za jiji la Arusha na Dodoma ambazo zimefikia hadhi ya manispaa?
Pia unawezaje kuliponda jiji ambalo lina fursa nyingi za kiuchumi?
Mfano Mwanza wana Kiwanja cha ndege cha kimataifa, ziwa, bandar, reli zaid ya moja yaan reli ya kati na sgr, wana bank kuu, mahakama kuu ya kanda, wana madin ya kutosha, wanaga sana, media kubwa bongo hapa ipo dar na mwanza (sahara communication)
Yaan mwanza wana fursa kibao za kiuchumi
INternation flight kila saa zinatua kuja kufuata minofu ya samaki
Lakin bado nashangaa watu mnaiponda mwanza
Hivi mna akili kwel?
Mwanza ndio mkoa pekee utnaotoa samaki pendwa ndani na nje ya nchi (sangara & sato)
Soma hiyoo 👇👇Mkuu embu leta chanzo chako cha mapato unayoongelea kuanzia 2022/2023
Kwa namna ninavyopata mimi data sioni wapi Dodoma inaizidi Arusha tena kwenye populations mnadanganywa kuna kata zina nyumba za matope ziko incorporated kwenyw city boundaries ila kwa Arusha kule Njiro, Tengeru na Ngaramtoni na maghorofa yote ni vijijini
Au siyo? 🤣🤣🤣.Tufanye ni kweli hamna kitu 👇👇Dodoma hamna kitu kabisa
Au mimi ndo sioni vyenye vibe?
Mzee mimi aijaongea majengo samahani nahisi nilikosea kumalizia sentensiAu siyo? 🤣🤣🤣.Tufanye ni kweli hamna kitu 👇👇View attachment 2909418View attachment 2909419View attachment 2909420View attachment 2909421View attachment 2909422View attachment 2909423View attachment 2909424View attachment 2909425View attachment 2909426View attachment 2909427View attachment 2909428View attachment 2909429
We jamaa unafact hadi jamaa yako anaanza kukuogopa wanafarijianaga et arusha iko chini shida hatunaga mda wa kushinda mitandaoni huku sisi ni watu wa kazi tu waambie huo mji wao huo wakimaliza kujenga majengo ya wizara ndio umekwisha kama mwanza tumewazidi majengo mara mbili mapato mara tatu itakua hao washindane kwanza na mwanza arusha iko mbali sana tena kama awamu ile walitushindwa sasa hivi ndio utalii umeshika kasi hawatupati tena 🤣Mkuu dodoma hakuna zaidi ya investment za serikali
Hayo majengo yakikamilika basi hamna biashara tena. Obviously city center itakuwa na unafuu but growth ni ngumu dodoma hamna pool factor zaidi ya administrative services.
Hata kwenye majengo ndio utakuta dodoma wana maghorofa 1000 na Arusha 7000.
Hapo ni sawa na kujifariji walivyokuwa wanajifariji kina Maiduguri ,Kano etc wakati Abuja inajengwa 😂😂😂😂We jamaa unafact hadi jamaa yako anaanza kukuogopa wanafarijianaga et arusha iko chini shida hatunaga mda wa kushinda mitandaoni huku sisi ni watu wa kazi tu waambie huo mji wao huo wakimaliza kujenga majengo ya wizara ndio umekwisha kama mwanza tumewazidi majengo mara mbili mapato mara tatu itakua hao washindane kwanza na mwanza arusha iko mbali sana tena kama awamu ile walitushindwa sasa hivi ndio utalii umeshika kasi hawatupati tena 🤣
Abuja ilo location nzuri hali ya hewa nzuri tofauti na dodoma.Hapo ni sawa na kujifariji walivyokuwa wanajifariji kina Maiduguri ,Kano etc wakati Abuja inajengwa 😂😂😂😂
Kwa hiyo Arusha Iko location nzuri kushinda Dom si ndio? Kwani miti kitugani si inapandwa tuu ?Abuja ilo location nzuri hali ya hewa nzuri tofauti na dodoma.
Kano na Maidguri ndio ukanda wa sahel kama dodoma hakuna pool factor. Ukweli dodoma hakuna shughuli inayovutia wawekezaji ndio maana kila mwaka mkoa una njaa.
Quality ya soil's Ar/kilimanjaro ni tofauti na dodomaKwa hiyo Arusha Iko location nzuri kushinda Dom si ndio? Kwani miti kitugani si inapandwa tuu ?
Arusha ipo strategically katikati ya kampala, mombasa, nairobi, dodoma na Daresalaam ukiachilia mbali uoto na hali ya hewa, Tanzania tunashida ya kuchagua location ya miji yetu dar na dodoma zote ziko sehemu za hovyo kwenye majiji mbeya na arusha ndio yana hali ya hewa nzuri na ukijani shida mbeya planning ni hovyo 😁 ukisimama juu ya mwanjelwa pale ukiangalia mji ni kijiji fulani kikubwa hiv tusidanganyane kwa Tanzania hii miji ambayo ni mizuri ya kuishi ni iringa moshi na arusha lakini iringa na moshi bado ni manispaa na ni miji midogo the only best place hapa bongo ni arusha tu japo najua wa mikoani wengi hamkubali huu ukweli jiulize kwanini nchi ikipewa nafasi ya kuhost taasisi fulani lazima nchi watapendekeza iwe arusha sababu ndio sehemu pekee ambayo inaweza kufuta aibu ukweli mchungu hata mkutano wa caf mwaka jana wamefanyia arusha kwanini sio sehemu nyingine shida iliyopo arusha ni miundombinu tu barabara sasa hivi zimezidiwa na magari wakati dodoma huko mmejengewa barabara zinasubiri watu waje, kwetu stendi, masoko bado ni kizungumkuti lakini arusha ndio mji pekee utakaoutoa nchi hii kimasomaso in the future😀 dodoma subirini tu hayo majengo ya serikali yakamilike mkae kwa kutulia wanaume tuwaoneshe kaziKwa hiyo Arusha Iko location nzuri kushinda Dom si ndio? Kwani miti kitugani si inapandwa tuu ?
Kuonyesha jinsi gani arusha ni kubwa huo uswazi unaounyesha hapa upo arusha dc ambayo haisabiwi kwenye population ya arusha jiji kwa taarifa yako mipaka ya arusha jiji inaanzia kwenye barabara ya arusha moshi kwenda kusini lile jengo la papu unaloliona ndio mipaka ya arusha jiji inapoanzia sasa jiulize kama huko arusha dc kuna Town vibe ingejumuishwa kwenye sensa arusha ina 1 million + people city proper sio hizo bahi na chamwino unazozisema hapa😀😀Dom is the next thing after Dar ,najua unajua ila unajifariji.
-So far Dom Vitu is well planned and Organized
-Dom City ni namba 2 Kwa Mapato baada ya Dar
-Dom City has well and most developed infrastructures just second to Dar.
Kiufupi Arusha inazidi Dom misitu Mingi na ushwazi kama huu hapa 👇View attachment 2909377
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ilerai humo kumejaa manyumba ya tope ni Arusha DC? 😁😁Kuonyesha jinsi gani arusha ni kubwa huo uswazi unaounyesha hapa upo arusha dc ambayo haisabiwi kwenye population ya arusha jiji kwa taarifa yako mipaka ya arusha jiji inaanzia kwenye barabara ya arusha moshi kwenda kusini lile jengo la papu unaloliona ndio mipaka ya arusha jiji inapoanzia sasa jiulize kama huko arusha dc kuna Town vibe ingejumuishwa kwenye sensa arusha ina 1 million + people city proper sio hizo bahi na chamwino unazozisema hapa😀😀
Arusha itaendelea kuota ndoto 🤪😁
View: https://www.instagram.com/reel/C3nekKRvq6O/?igsh=MXBpa2NybHNicGs1Nw==
Mbona hata kibera ni city centre nairobi lakini kuna hadi nyumba za mifukoIlerai humo kumejaa manyumba ya tope ni Arusha DC? 😁😁