Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Serikali ina nguvu sana ikipanga kuweka sehemu ...Huko Dodoma ni balaa 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni awamu ya kwanza tuu,Kila Wizara Ina majengo 3 hapo limekamilika jengo Moja Moja.Serikali ina nguvu sana ikipanga kuweka sehemu ...Huko Dodoma ni balaa 😁😁
Hapo mji wa serikali kwa mbele kuna kuna mijengo makazi ya watu noma kama masaki.Hiyo ni awamu ya kwanza tuu,Kila Wizara Ina majengo 3 hapo limekamilika jengo Moja Moja.
Tulieni utamu Bado unakuja
I wonder kama Arusha Bado wanawaaza kushindana na Dom.Hapo mji wa serikali kwa mbele kuna kuna mijengo makazi ya watu noma kama masaki.
Yaani Arusha msilinganisha na vitu vya kipuuziKuifananisha Dom na arusha ni kuikosea heshima Dom
1 Dar
2 Mwanza
Wanafuata wengine
Uko sahihiAcha chupli chupli .dodoma area ni km za mraba 2500 Ina tarafa 4..tarafa ya dodoma mjini ,hombolo ,zuzu ... tarafa ya dodoma mjini ndo mitaa mnayotutajia humu... population ya tarafa hii haizidi watu laki nne na nusu kutoka watu laki 2 mwaka 2012 ...acha kudanganya wapumbavu
I stand with Arusha [emoji91]
Dom is the next thing after Dar ,najua unajua ila unajifariji.Acha kufananisha Arusha na takataka
Umesoma shule gani Arusha mkuu??Sio kufika tuu Bali nimeishi na kusoma huko..
Arusha Kwa Sasa ni kitu kidogo Sana Kwa Dodoma.
1 Napingana na wewe na pia nakubaliana baadhiDom is the next thing after Dar ,najua unajua ila unajifariji.
-So far Dom Vitu is well planned and Organized
-Dom City ni namba 2 Kwa Mapato baada ya Dar
-Dom City has well and most developed infrastructures just second to Dar.
Kiufupi Arusha inazidi Dom misitu Mingi na ushwazi kama huu hapa 👇View attachment 2909377
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dom is the next thing after Dar ,najua unajua ila unajifariji.
-So far Dom Vitu is well planned and Organized
-Dom City ni namba 2 Kwa Mapato baada ya Dar
-Dom City has well and most developed infrastructures just second to Dar.
Kiufupi Arusha inazidi Dom misitu Mingi na ushwazi kama huu hapa 👇View attachment 2909377
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Water is no longer a problem in Dom labda unazungumzia Dom ya zama za Nyerere 👇👇Yaani Arusha msilinganisha na vitu vya kipuuzi
Dodoma kwanza tafuteni maji ya kunywa muache kuchambia mchanga
Water is no longer a problem in Dom labda unazungumzia Dom ya zama za Nyerere 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C0_b2-HrnrV/?igsh=N2l3MDd3c20xZTI3
Kuna tofauti kubwa kati ya Mapato ya TRA vs Mapato ya Jiji.Asante kwa Taarifa mkuu 😄 hahaha kaangalia bandiko la TRA
Mkuu dodoma hakuna zaidi ya investment za serikaliKuna tofauti kubwa kati ya Mapato ya TRA vs Mapato ya Jiji.
Mada ni Dom City vs Arusha City na sio Mkoa Kwa Mkoa japo sometimes arguments haziwezi kukwepeka.
So Dom ni ya pili Kwa Mapato ya Jiji baada ya Dar ila ya 5 kwa.mapato ya TRA so not bad ikizingatiwa Dom was nothing
Kinachoitwa Dodoma City Centre Wala haihushi Chamwino,huko ni Wilaya ya Chamwino kimipaka japo kiujumla wake ni Dom Metropolitan na ndio maana kuna Mpango wa Kuunda Manispaa ya Chamwino na Bahi ambazo zinazunguka Jiji la Dom 👇👇Umesoma shule gani Arusha mkuu??
Hivi unajua kwa dodoma chamwino imehesabiwa kama mjini ila Arusha. Kwenye kata za mjini hakuna
USA
Tengeru
Ngaramtoni
Sakina
Kwa mrombo
Makumira
Njiro
Kisongo
Wewe unaamini hizi kata zipo vijijini?
1 Napingana na wewe na pia nakubaliana baadhi
Dodoma hi well planned/organized ni kweli
2. Dodoma ilikuwa ya pili kwa mapato wakat serikali imehama kwa kukurupuka ni investments za serikali inaonekana kuupaisha mkoa, kwa sasa dodoma haipo hata top10 kimapato tena.. go correct your facts.
3. Kuhusu infrastructure ni kweli dodoma serikali inawekeza kuanzia siku nyingi kupitia CDA.
The rest ni story dodoma ni maskini chini chini kule Arusha is one of the most developed and productive region
Asante
Arusha imefika hapo Kwa sababu ya uwekezaji wa Serikali.Mkuu dodoma hakuna zaidi ya investment za serikali
Hayo majengo yakikamilika basi hamna biashara tena. Obviously city center itakuwa na unafuu but growth ni ngumu dodoma hamna pool factor zaidi ya administrative services.
Hata kwenye majengo ndio utakuta dodoma wana maghorofa 1000 na Arusha 7000.
Usiwe kilaza wewe, mwanza ni jiji la pili tanzania lenye manispaa zaid ya mojaToa Mwanza , msimamo ni
Dar
Dom
Arusha
Mwanza