ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Mkuu siwezi kuhesabu maghorofa elfu7 nafikiri haihitaji kubishana au huamini takwimu za sensa.Wewe acha stori za uswahili uswahili,weka hapa magorofa marefu ya Arusha tuone kama sio ya serikali.
Hata kwenye hayo 6,000 ,nusu ni ya serikali ππ
Weka machache marefu unayoyajua tuone kama sio ya serikali maana unabisha wakati ukweli ndio huo.ππMkuu siwezi kuhesabu maghorofa elfu7 nafikiri haihitaji kubishana au huamini takwimu za sensa.
kwanin niweke machqche mkuu na yapo zaidi ya elfu 7?!! S kodi ya majengo pekee inaizidi dodoma nzima?? Zile tembe zenu hazina kodiWeka machache marefu unayoyajua tuone kama sio ya serikali maana unabisha wakati ukweli ndio huo.ππ
Bila Government Arusha ni dampo tuu kama Mwanza ππkwanin niweke machqche mkuu na yapo zaidi ya elfu 7?!! S kodi ya majengo pekee inaizidi dodoma nzima?? Zile tembe zenu hazina kodi
Hapo sasa unazidi kubaribu kufananisha Arusha na Mwanza kule watu wanapoishi kwenye mawe kama mijusi kafiriBila Government Arusha ni dampo tuu kama Mwanza ππ
The Capital City ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C2_oaEiNrP4/?igsh=MXgyMHZqNnd5MG92bw==
Arusha& Mwanza mnafanana Kwa kuwa nyie wote ni madampo tuu maana Miji yenu imejengwa bila utaratibu.Hapo sasa unazidi kubaribu kufananisha Arusha na Mwanza kule watu wanapoishi kwenye mawe kama mijusi kafiri
Ni kweli Arusha imechelewa sana kuwa planned (makosa ya serikali)Arusha& Mwanza mnafanana Kwa kuwa nyie wote ni madampo tuu maana Miji yenu imejengwa bila utaratibu.
Laiti kama Arusha ingekuwa na plan nzuri ya mipango Miji kama Dom,ingekuwa ni bonge la Mji.
Sasa matokeo yake uswazi Kila sehemu.Serikali inaharibu sana Miji aisee.Arusha ingepangwa vyema kuwa Jiji la Utalii na Diplomasia ya Kimataifa lingekuwa safi Sasa hakuna Cha maana kimefanyika π€£π€£
Sawa lakini kwani kuwa na Utalii ndio factor pekee ya Mji kukua?Ni kweli Arusha imechelewa sana kuwa planned (makosa ya serikali)
Mji ulikuwa unakua haraka zaidi ya mipango na michoro ya serikali hilo sio kosa letu ila la serikali hata hivyo hatujachelewa sana kurekebisha tofauti na Dar. Pia kuna natural attraction mkuu kaskazini ina landscapes inayovutia kutazama kwa macho kwa hiyo utalii naturally uko gifted kule
Mkuu kwanza utambue kwenye kukua kuna natural factors mfano Arusha kuna utalii na wanyama pori kuna ardhi nzuri kwa lilima (around Mount meru ni rutuba sana maji na mvua za kutosha hata bangee bora inatoka meru, ndizi kahawa etc)Sawa lakini kwani kuwa na Utalii ndio factor pekee ya Mji kukua?
Turufu ya Arusha ni Utalii Wala hakuna ubishi ila Sasa acha na Miji mingine ikue kutokana na jiogarafia na Mali zake.
For the case ya Dom Ina Madini mengi sana ikiongizwa na Uranium,Dom Ina Ardhi nzuri na kubwa Kwa Ajili ya irrigation farming,Dom ni junction City unafika Mini yote Mikubwa Tanzania Kwa urahisi n uhakika.
On top of that Dom ni Mji Mkuu,utaendelea ku enjoy government investments miaka na mikaka.
Kwa mara ya mwisho ulisikia ni lini Kuna njaa Dom?Mkuu kwanza utambue kwenye kukua kuna natural factors mfano Arusha kuna utalii na wanyama pori kuna ardhi nzuri kwa lilima (around Mount meru ni rutuba sana maji na mvua za kutosha hata bangee bora inatoka meru, ndizi kahawa etc)
Vitunguu vinatoka karatu na mondolu.. yes wilaya nyingi ni kame na mvua ni kidogo but inafaa snaa kwa ufugaji
Madini yapo pia ikiwepo sodash ziwa Natron, ruby longido etc. Hata mentality ya wenyeji ni wachapa kazi tofauti na Dodoma
Mostly ni kame sio rahisi miaka3 ipite bila njaa, ardhi haina afya sana π ( refer soil composition yake)
Madini yapo mengi yes lakin hayachimbwi.
Mifugo ipo mingi lakin haiko utilized ni vulnerable kufa kutokana na ukame. Dodoma itanitaji mechanized agriculture kama nchi ya Israel ili iweze kuzalisha chalula seriously vinginevyo ni kufarijiana tu
Unachekesha sana hivi umewahi kusikia soko la kimataifa la mahindi+nafaka Kibaigwa,umewahi kusikia kuhusu ranchi kubwa ya mifugo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati ya Kongwaππ.Unasema eti Ardhi ya Dodoma haina afya wakati Dodoma mazao yote wanalima kuanzia kupanda hadi kuvuna hawatumii mbolea wala madawa ya viwandaniππ.Kama Ardhi ya Dodoma haina afya basi wasingeongoza Tanzania kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Tende,Rosella,Karanga,Mbaazi,Ufuta n.kMkuu kwanza utambue kwenye kukua kuna natural factors mfano Arusha kuna utalii na wanyama pori kuna ardhi nzuri kwa lilima (around Mount meru ni rutuba sana maji na mvua za kutosha hata bangee bora inatoka meru, ndizi kahawa etc)
Vitunguu vinatoka karatu na mondolu.. yes wilaya nyingi ni kame na mvua ni kidogo but inafaa snaa kwa ufugaji
Madini yapo pia ikiwepo sodash ziwa Natron, ruby longido etc. Hata mentality ya wenyeji ni wachapa kazi tofauti na Dodoma
Mostly ni kame sio rahisi miaka3 ipite bila njaa, ardhi haina afya sana π ( refer soil composition yake)
Madini yapo mengi yes lakin hayachimbwi.
Mifugo ipo mingi lakin haiko utilized ni vulnerable kufa kutokana na ukame. Dodoma itanitaji mechanized agriculture kama nchi ya Israel ili iweze kuzalisha chalula seriously vinginevyo ni kufarijiana tu
Nilitaka nikuite wewe ndio unaijua vyema DodomaUnachekesha sana hivi umewahi kusikia soko la kimataifa la mahindi+nafaka Kibaigwa,umewahi kusikia kuhusu ranchi kubwa ya mifugo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati ya Kongwaππ.Unasema eti Ardhi ya Dodoma haina afya wakati Dodoma mazao yote wanalima kuanzia kupanda hadi kuvuna hawatumii mbolea wala madawa ya viwandaniππ.Kama Ardhi ya Dodoma haina afya basi wasingeongoza Tanzania kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Tende,Rosella,Karanga,Mbaazi,Ufuta n.k
Haka ka mradi lenu imekuwa kama stori za Liganga na Mchuchuma au kusubiria kuja Kwa Yesu ππNi kweli Arusha imechelewa sana kuwa planned (makosa ya serikali)
Mji ulikuwa unakua haraka zaidi ya mipango na michoro ya serikali hilo sio kosa letu ila la serikali hata hivyo hatujachelewa sana kurekebisha tofauti na Dar. Pia kuna natural attraction mkuu kaskazini ina landscapes inayovutia kutazama kwa macho kwa hiyo utalii naturally uko gifted kule
Changamoto ya kimazingira ziwa lile na mazalia ya flamingos pia. Lakin mradi uko kwenye pipeline utazidi leta kipato tutazidi kuwaacha mbali dodoma hadi Yesu arudiHaka ka mradi lenu imekuwa kama stori za Liganga na Mchuchuma au kusubiria kuja Kwa Yesu ππ
View: https://www.instagram.com/p/C1JiD2PNrhC/?igsh=MWpiOGJpcnJxZWZlNg==
Radio TadioUnachekesha sana hivi umewahi kusikia soko la kimataifa la mahindi+nafaka Kibaigwa,umewahi kusikia kuhusu ranchi kubwa ya mifugo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati ya Kongwaππ.Unasema eti Ardhi ya Dodoma haina afya wakati Dodoma mazao yote wanalima kuanzia kupanda hadi kuvuna hawatumii mbolea wala madawa ya viwandaniππ.Kama Ardhi ya Dodoma haina afya basi wasingeongoza Tanzania kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Tende,Rosella,Karanga,Mbaazi,Ufuta n.k