Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Wewe acha stori za uswahili uswahili,weka hapa magorofa marefu ya Arusha tuone kama sio ya serikali.

Hata kwenye hayo 6,000 ,nusu ni ya serikali 😂😂
Mkuu siwezi kuhesabu maghorofa elfu7 nafikiri haihitaji kubishana au huamini takwimu za sensa.
 
Weka machache marefu unayoyajua tuone kama sio ya serikali maana unabisha wakati ukweli ndio huo.😂😂
 
Takwimu za gorofa 7000 ni za mkoa mzima base kwenye eneo la jiji sio nje ya jiji kwa sasa dodoma Ina deserve kuwa no 3 na bado itashika nafasi ya pili dodoma jiji inaeneo kubwa mno ko bado project zitazidi kuibuka kumbuka dodoma inajengwa kwa sura mbili utawala na biashara wakati arusha ime base kwenye utalii tu
maxresdefault(4).jpg
 
Na hizi division zote nne zinaandaliwa kuja kuwa manispaa ndo maana Kila division Ina project zake dodoma ko watu wa arusha gap halipingiki Dom kwa plan zinazoendele itakuwa ya pili tu Cha msingi ni mikoa mingine ijifunze utengenezaji wa miji wa mfumo huu hasa Ile inayokuwa haraka yenye maeneo ya kutosha iliyo na junction kama dodoma itasaidia miji kukaa vizuri
Map-showing-administrative-boundaries-of-Dodoma-municipal-urban-district.jpg
48646485913_39082ca32e_z.jpg
 
Hapo sasa unazidi kubaribu kufananisha Arusha na Mwanza kule watu wanapoishi kwenye mawe kama mijusi kafiri
Arusha& Mwanza mnafanana Kwa kuwa nyie wote ni madampo tuu maana Miji yenu imejengwa bila utaratibu.

Laiti kama Arusha ingekuwa na plan nzuri ya mipango Miji kama Dom,ingekuwa ni bonge la Mji.

Sasa matokeo yake uswazi Kila sehemu.Serikali inaharibu sana Miji aisee.Arusha ingepangwa vyema kuwa Jiji la Utalii na Diplomasia ya Kimataifa lingekuwa safi Sasa hakuna Cha maana kimefanyika 🤣🤣
 
Wazee wa Arusha kubalini kwamba mumepigwa na kitu kizito kichwani na Dodoma.Dom haipoi Leo Wala Kesho.

Hicho mnachokiona hapo Mji wa Serikali ndio kwanza ni First Phase,Kuna phase 3 za majengo ya Wizara yatajengwa on top of Majengo ya Taasisi za Wizara husika.

Kama kwamba haitoshi Bado hakuna Ofisi yeyote ya Balozi za Kimataifa imeanza ujenzi inasubiria Serikali ikamilishe miundombinu muhimu kama uwanja wa ndege nk Ili na wao Waanze ujenzi.

Hapa Ubalozi wa Malawi wamekuja kukagua Kiwanja chao tayari kuanza Ujenzi 👇👇

View: https://youtu.be/HbQcQj3-wBA?si=hDcQaN2hoL-du2lJ
 
Arusha& Mwanza mnafanana Kwa kuwa nyie wote ni madampo tuu maana Miji yenu imejengwa bila utaratibu.

Laiti kama Arusha ingekuwa na plan nzuri ya mipango Miji kama Dom,ingekuwa ni bonge la Mji.

Sasa matokeo yake uswazi Kila sehemu.Serikali inaharibu sana Miji aisee.Arusha ingepangwa vyema kuwa Jiji la Utalii na Diplomasia ya Kimataifa lingekuwa safi Sasa hakuna Cha maana kimefanyika 🤣🤣
Ni kweli Arusha imechelewa sana kuwa planned (makosa ya serikali)
Mji ulikuwa unakua haraka zaidi ya mipango na michoro ya serikali hilo sio kosa letu ila la serikali hata hivyo hatujachelewa sana kurekebisha tofauti na Dar. Pia kuna natural attraction mkuu kaskazini ina landscapes inayovutia kutazama kwa macho kwa hiyo utalii naturally uko gifted kule
 
Sawa lakini kwani kuwa na Utalii ndio factor pekee ya Mji kukua?

Turufu ya Arusha ni Utalii Wala hakuna ubishi ila Sasa acha na Miji mingine ikue kutokana na jiogarafia na Mali zake.

For the case ya Dom Ina Madini mengi sana ikiongizwa na Uranium,Dom Ina Ardhi nzuri na kubwa Kwa Ajili ya irrigation farming,Dom ni junction City unafika Mini yote Mikubwa Tanzania Kwa urahisi n uhakika.

On top of that Dom ni Mji Mkuu,utaendelea ku enjoy government investments miaka na mikaka.
 
Mkuu kwanza utambue kwenye kukua kuna natural factors mfano Arusha kuna utalii na wanyama pori kuna ardhi nzuri kwa lilima (around Mount meru ni rutuba sana maji na mvua za kutosha hata bangee bora inatoka meru, ndizi kahawa etc)
Vitunguu vinatoka karatu na mondolu.. yes wilaya nyingi ni kame na mvua ni kidogo but inafaa snaa kwa ufugaji
Madini yapo pia ikiwepo sodash ziwa Natron, ruby longido etc. Hata mentality ya wenyeji ni wachapa kazi tofauti na Dodoma
Mostly ni kame sio rahisi miaka3 ipite bila njaa, ardhi haina afya sana 😄 ( refer soil composition yake)
Madini yapo mengi yes lakin hayachimbwi.
Mifugo ipo mingi lakin haiko utilized ni vulnerable kufa kutokana na ukame. Dodoma itanitaji mechanized agriculture kama nchi ya Israel ili iweze kuzalisha chalula seriously vinginevyo ni kufarijiana tu
 
Kwa mara ya mwisho ulisikia ni lini Kuna njaa Dom?

Nimeuliza kwani Ili Mji ukue inahitaji Utalii na mbuga pekee?

Mji gani hauna natura factors? Irrigation farming ni uhakika kuliko Kilimo Cha mvua.

Hapo Arusha Ardhi yake nyingi Iko protected na uhifadhi na imehodhiwa sana tofauti na Dodoma.

Dodoma Haina mvua nyingi lakini Ina maji ya kutosha Ardhini na Ardhi ambayo ni tambarare sehemu kubwa ukitoa Kondoa.

Madini yapo na geografia yake ya kuwa junction ni turufu muhimu sana.Saizi Dom ni soko kama ilivyo Dar au Mwanza.Arusha sio somo ni producing area.
 
Mkuu kwanza utambue kwenye kukua kuna natural factors mfano Arusha kuna utalii na wanyama pori kuna ardhi nzuri kwa lilima (around Mount meru ni rutuba sana maji na mvua za kutosha hata bangee bora inatoka meru, ndizi kahawa etc)
Vitunguu vinatoka karatu na mondolu.. yes wilaya nyingi ni kame na mvua ni kidogo but inafaa snaa kwa ufugaji
Madini yapo pia ikiwepo sodash ziwa Natron, ruby longido etc. Hata mentality ya wenyeji ni wachapa kazi tofauti na Dodoma
Mostly ni kame sio rahisi miaka3 ipite bila njaa, ardhi haina afya sana 😄 ( refer soil composition yake)
Madini yapo mengi yes lakin hayachimbwi.
Mifugo ipo mingi lakin haiko utilized ni vulnerable kufa kutokana na ukame. Dodoma itanitaji mechanized agriculture kama nchi ya Israel ili iweze kuzalisha chalula seriously vinginevyo ni kufarijiana tu
Unachekesha sana hivi umewahi kusikia soko la kimataifa la mahindi+nafaka Kibaigwa,umewahi kusikia kuhusu ranchi kubwa ya mifugo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati ya Kongwa😀😀.Unasema eti Ardhi ya Dodoma haina afya wakati Dodoma mazao yote wanalima kuanzia kupanda hadi kuvuna hawatumii mbolea wala madawa ya viwandani😀😀.Kama Ardhi ya Dodoma haina afya basi wasingeongoza Tanzania kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Tende,Rosella,Karanga,Mbaazi,Ufuta n.k
 
Nilitaka nikuite wewe ndio unaijua vyema Dodoma
 
Ni kweli Arusha imechelewa sana kuwa planned (makosa ya serikali)
Mji ulikuwa unakua haraka zaidi ya mipango na michoro ya serikali hilo sio kosa letu ila la serikali hata hivyo hatujachelewa sana kurekebisha tofauti na Dar. Pia kuna natural attraction mkuu kaskazini ina landscapes inayovutia kutazama kwa macho kwa hiyo utalii naturally uko gifted kule
Haka ka mradi lenu imekuwa kama stori za Liganga na Mchuchuma au kusubiria kuja Kwa Yesu 😆👇

View: https://www.instagram.com/p/C1JiD2PNrhC/?igsh=MWpiOGJpcnJxZWZlNg==
 
Unachekesha sana hivi umewahi kusikia soko la kimataifa la mahindi+nafaka Kibaigwa,umewahi kusikia kuhusu ranchi kubwa ya mifugo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati ya Kongwa😀😀.Unasema eti Ardhi ya Dodoma haina afya wakati Dodoma mazao yote wanalima kuanzia kupanda hadi kuvuna hawatumii mbolea wala madawa ya viwandani😀😀.Kama Ardhi ya Dodoma haina afya basi wasingeongoza Tanzania kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Tende,Rosella,Karanga,Mbaazi,Ufuta n.k
Radio Tadio
https://radiotadio.co.tz › 2023/03/31
Tishio la upungufu wa Chakula Dodoma

31 Mar 2023 — ... njaa ambalo linaweza kuukumba Mkoa endapo suluhisho la haraka halitafanyika. Sauti ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Muonekano wa mazao katika moja ...
 
Back
Top Bottom