ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Arusha Ili enjoy mbeleko ya Serikali Kwa miaka Mingi sana,Sasa Dom haijafikisha hata miaka 10 Toka uwekezaji serious wa Serikali uanze tayari tunasikia vilio kutoka Arusha na Mwanza π€ͺπ€ͺDodoma nimeishi five year kwenye battle ya mkoa unaokua kwa kasi ni dodoma lakini Aruxha ni kelele ingine arifuuuu mkoa una utajiri mnooo huwez kuamini, watu wao tu wanaweka pesa mfukoni....dodoma kuna machimbo ya dhahabu pale nyarugusu........ita mabilionea wa aruxha alafu ita bilionea wa dodoma uwalinganixhe kama watalingana.....
Dar es saalam is still on fire sababu ya kupendwa na wengi....Tatizo la dodoma watanzania wachache wamepaelewa.......aruxha na mwanza pia watu wamepaelewa.Arusha Ili enjoy mbeleko ya Serikali Kwa miaka Mingi sana,Sasa Dom haijafikisha hata miaka 10 Toka uwekezaji serious wa Serikali uanze tayari tunasikia vilio kutoka Arusha na Mwanza π€ͺπ€ͺ
Ni hivi hapo Bado sana ndio kuna kucha ,by 2030 Dom ndio itakuwa second Biggest City in Tanzania
Huwa nawashangaa sana ,Toka sensa ya 2012 Dodoma ni Jiji la 3 Kwa Wingi wa watu Tanzania na Mkoa wa 7 Kwa idadi kubwa ya Watu Tanzania,kama hawajapaelewa hao watu wote Kwa nini hawahami badala yake Wanazidi kuhamia kutoka hiyo Mikoa yenu na kuzaliana Kwa Kasi.Dar es saalam is still on fire sababu ya kupendwa na wengi....Tatizo la dodoma watanzania wachache wamepaelewa.......aruxha na mwanza pia watu wamepaelewa.
Kwa sensa ya mwaka 2012 nakataa hizi data wamepika tu ili dom iwe jiji nimeishi dodoma 2014 hapakuwa na watu kama dar, wala arusha, wala mwanza na wala hata mbeya kivipi mkoa huo uwe wa tatu maana halikuwa jiji na magu hakuwa kazaliwa kwenye nafasi ya uraisi.Huwa nawashangaa sana ,Toka sensa ya 2012 Dodoma ni Jiji la 3 Kwa Wingi wa watu Tanzania,kama hawajapaelewa hao watu wote Kwa nini hawahami badala yake Wanazidi kuhamia kutoka hiyo Mikoa yenu na kuzaliana Kwa Kasi.
Hizo stori za kutunga Huwa mnazitoa wapi? Angaliza population growth rates hapa ππView attachment 2933223View attachment 2933224
Unaelewa kweli wewe? Wapike Ili kitokee nini? Kuwa Jiji ni mchakato wa vigezo vingi sio idadi ya watu pekee maana Kahama au Morogoro au Geita Wana watu wengi kushinda Tanga lakini Tanga ni Jiji ila huko kwingine ni Manispaa.Kwa sensa ya mwaka 2012 nakataa hizi data wamepika tu ili dom iwe jiji nimeishi dodoma 2014 hapakuwa na watu kama dar, wala arusha, wala mwanza na wala hata mbeya kivipi mkoa huo uwe wa tatu maana halikuwa jiji na magu hakuwa kazaliwa kwenye nafasi ya uraisi.
Kama unapafahamu singida ya sasa basi palikuwa pako ivo dodoma mwaka 2014Unaelewa kweli wewe? Wapike Ili kitokee nini? Kuwa Jiji ni mchakato wa vigezo vingi sio idadi ya watu pekee maana Kahama au Morogoro au Geita Wana watu wengi kushinda Tanga lakini Tanga ni Jiji ila huko kwingine ni Manispaa.
Narudia tena kukwambia porojo za sijui Dodoma hawajapaelewa ni za kwako ila ukienda kwenye ground ni vitu tofauti.
Cha ajabu ni kipi? Ndio maana ya Maendeleo baada ya kuwa Mji Mkuu.Kama unapafahamu singida ya sasa basi palikuwa pako ivo dodoma mwaka 2014
Kwa hili sikupingi ila vile vitakwimu vya sensa ya 2012 ndio havijanikaa akilini ila mwanangu dom kubaya kimazingira.Cha ajabu ni kipi? Ndio maana ya Maendeleo baada ya kuwa Mji Mkuu.
Kwa miaka 10 kutoka 2012-2022 Dom imeongeza watu Laki 3 ,hakuna Jiji lingine Nje ya Dar na hapo hatujazungumzia kule Chamwino ni ndani ya Mipaka ya Jiji tuu.
Na trend hiyo itaendelea zaidi Kwa miaka 10 ijayo,ndio kusema 2032 Dom itakuwa second Biggest City Kwa Tanzania,wakati huo itakuwa na Manispaa ya Chamwino.
Unapinganaje na takwimu bwashee? Hizo ndio takwimu rasmi mengine ni maoni Yako.Kwa hili sikupingi ila vile vitakwimu vya sensa ya 2012 ndio havijanikaa akilini ila mwanangu dom kubaya kimazingira.
ππKama mazingira ni kigezo cha kupima ubora wa mji basi Lushoto,Makete,Njombe zingekua zinaongoza TanzaniaKwa hili sikupingi ila vile vitakwimu vya sensa ya 2012 ndio havijanikaa akilini ila mwanangu dom kubaya kimazingira.
Mbeleko fc ππArusha bila mbeleko ya Serikali hakuna kitu hapo Cha maana ππ
View: https://www.instagram.com/p/C4ddHwDtEZr/?igsh=dHBlMnViMDZjZ2lr
Arusha kulikuwa na source 2πππeti maji ya chumvi...kati ya Arusha na Dodoma wapi wakazi wake wameoza meno au meno yenye rangi rangi kama kenge ππ
Mkuu misitu ni afya tunafanya kitu kinaitwa carbon sequestration msitu unapunguza joto na kuondoa hewa ukaa.mji wetu ndio unakamata no2 kwa kodi mkuuUkiona misitu mjini jua hapo ni Bush na wanaishi tumbili.
Hewa nzuri inaletwa na miti n uoto uliopangwa Kwa mpangilio sio unatuletea misitu.Jengeni Mji wenu kwanza.
Mwisho mbona mumeoza meno shida nini? π€£π€£
Hahahaha mkuu nyumba private mnalinganisha na majengo ya wizara?? Mna taabu sana wagogoKama kwa nyie washamba kale kanyumba ndio hekalu basi mna safari ndefu sana kufikia level hizi za Jiji la Dom ππ
View: https://youtu.be/dHc-IZeD6c0?si=TsLIKZKGXBrnLrnl
Hizo renders unazima hapo ndivyo majengo yote ya Wizara yatakuwa,kilichojengwa ni awamu ya 1 tuu ila kuja majengo 3 yaliyoungana Juu Kwa Juu kutoka Gorofa Moja kwenda jingine.
Yaani Bado hamjasema Hadi muombe poo ππ
Joto au baridi na maendeleo ya Mji wapi na wapi? ππMkuu misitu ni afya tunafanya kitu kinaitwa carbon sequestration msitu unapunguza joto na kuondoa hewa ukaa.mji wetu ndio unakamata no2 kwa kodi mkuu
Hahahaha mkuu nyumba private mnalinganisha na majengo ya wizara?? Mna taabu sana wagogo
Mkuu mji wenu huo endeleeni kula vumbi sisi tumezoea kaubaridi na hewa safii ya misitu ndio maana watalii hawakatiJoto au baridi na maendeleo ya Mji wapi na wapi? ππ
Vumbi liko huko kwenye Miji yenu madampo,Dom ni lami Kila mahala na zinazidi kujengwa.Mkuu mji wenu huo endeleeni kula vumbi sisi tumezoea kaubaridi na hewa safii ya misitu ndio maana watalii hawakati
Hahahah lami haiondoi vumbi boss nenda Dubai au Riyadh uone kama hakuna vumbiVumbi liko huko kwenye Miji yenu madampo,Dom ni lami Kila mahala na zinazidi kujengwa.
Kwa taarifa Yako Jiji la Dom ndio Lina mtandao mrefu wa lami Tzn nzima hakuna Cha Dar Wala nani.
Vumbi na Ukuaji wa Mji wapi na wapi? Kama pesa ipo hakuna vumbi.Kukaa kwenye misitu bila pesa inakusaidia nini?Hahahah lami haiondoi vumbi boss nenda Dubai au Riyadh uone kama hakuna vumbi