Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Leta references zozote zinazosema dodoma inaongoza kulima chochote zaidi ya zabibu mkuu??
😀😀😀Mkoa gani Tanzania unaongoza kwa kilimo cha Karanga,Mtama(millet),Uwele(sorghum),Ufuta,Ulezi,Tende,Rosella,Ubuyu,Mbaazi
 
😀😀aliyekwambia SI unit ya kupima uzalishaji wa kilimo ni kuangalia mazao ya mahindi,ngano na mpunga pekeyake nani..😀😀. Arusha inaongoza kwenye zao gani hapo..!!?(labda bangi+mirungi😀😀)
-Lindi na Mtwara wanaongoza Afrika nzima kwa uzalishaji wa korosho Je tuwatoe kwenye list ya mikoa ya agricultural outputs kwasababu hawalimi mahindi wala ngano😀😀
-Pemba wanaongoza Afrika nzima kwa uzalishani wa Karafuu Je tuwatoe kwenye list kwasababu hawalimi Mahindi,ngano wala mpunga😀😀
-Tabora wanaongoza kwa uzalishaji wa Tumbaku Je tuwatoe kwenye list kwasababu mahindi,ngano na mpunga vinalimwa kwa kiwango kidogo
-Simiyu wanaongoza kwa kilimo cha Pamba Je tuwatoe kwenye list kwasababu hawalimi mahindi,ngano

Rudi shule wewe MEMKWA 😀😀
 
📌📌📌🔨 Bado hujasema Hadi useme 👇👇
Screenshot_20240327-061947.jpg
Screenshot_20240327-055644.jpg
Screenshot_20240327-055703.jpg
Screenshot_20240327-055902.jpg
Screenshot_20240327-055547.jpg
Screenshot_20240327-055914.jpg
Screenshot_20240327-055841.jpg
Screenshot_20240327-061855.jpg
 
Karibu Arusha tunajenga uwanja mkali wakato mfalme wa Morocco akiwa tapeli wagogo
Umekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu 😀😀.
Haya makabila ni wakaazi asili wa mkoa gani👇👇
-Wasandawe
-Wakaguru
-Wasagara
-Wanyambwa
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
 
Samia Complex Chamwino Ikulu

Hapa kutakuwa na ukumbi mkubwa wa Mikutano,Jakaya Kikwete wa Dar ukasome.
Screenshot_20240327-054344.jpg
Screenshot_20240327-054416.jpg
Screenshot_20240327-054108.jpg
Screenshot_20240327-054123.jpg
Screenshot_20240327-054053.jpg
Screenshot_20240327-054025.jpg
Screenshot_20240327-053925.jpg
Screenshot_20240327-053943.jpg
Screenshot_20240327-054013.jpg
Screenshot_20240327-053958.jpg
Screenshot_20240327-053907.jpg
 
Umekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu 😀😀.
Haya makabila ni wakaazi asili wa mkoa gani👇👇
-Wasandawe
-Wakaguru
-Wasagara
-Wanyambwa
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
Hao wengine vikabila vidogo vidogo lakini pambaneni na njaa kwanza

Mkuu angalia jambo letu jipya Arusha
Umekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu 😀😀.
Haya makabila ni wakaazi asili wa mkoa gani👇👇
-Wasandawe
-Wakaguru
-Wasagara
-Wanyambwa
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
comvetion-pixels-1.jpg
 
Hahahaaah yaani uko serious kweli unapost majengo
Ulitaka ni post nini? Ni hivi Bado hujasema.
-Light train in Dom City njia 3 tofauti
-Outer Ring Road under construction
-Inner Ring road Under construction
-Middle Ring road under feasibly study
-4 lanes road each direction of Major roads
-Hadi Sasa Dom Ina viwanja vilivyopimwa kulingana na Mpango kabambe wa Jiji Mil.1.
-Awamu ya Tatu ya Ujenzi wa Mji wa Serikali soon itaanza.

Kiufupi Arusha Kwa Dom mnajitutumua tuu ila mumepigwa Kwa Kila kitu 👇👇
Screenshot_20240327-060743.jpg
Screenshot_20240327-060831.jpg
Screenshot_20240327-062823.jpg
Screenshot_20240327-060638.jpg
Screenshot_20240327-060500.jpg
Screenshot_20240327-060214.jpg
Screenshot_20240327-060157.jpg
Screenshot_20240327-060146.jpg
Screenshot_20240327-060135.jpg


Note: Baada ya Dar,next BRT ni Dom
 
Back
Top Bottom