😀😀😀Mkoa gani Tanzania unaongoza kwa kilimo cha Karanga,Mtama(millet),Uwele(sorghum),Ufuta,Ulezi,Tende,Rosella,Ubuyu,MbaaziLeta references zozote zinazosema dodoma inaongoza kulima chochote zaidi ya zabibu mkuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀Mkoa gani Tanzania unaongoza kwa kilimo cha Karanga,Mtama(millet),Uwele(sorghum),Ufuta,Ulezi,Tende,Rosella,Ubuyu,MbaaziLeta references zozote zinazosema dodoma inaongoza kulima chochote zaidi ya zabibu mkuu??
Rubbish😀😀😀Mkoa gani Tanzania unaongoza kwa kilimo cha Karanga,Mtama(millet),Uwele(sorghum),Ufuta,Ulezi,Tende,Rosella,Ubuyu,Mbaazi
Wapi huko ambako uwanja mkali haujengwi? Soma hapa 👇👇Karibu Arusha tunajenga uwanja mkali wakato mfalme wa Morocco akiwa tapeli wagogo
Sifayangu humu JF huwa najibu hoja na facts tupu pekee....michambo na porojo peleka Facebook 😆😆Rubbish
Umekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu 😀😀.Karibu Arusha tunajenga uwanja mkali wakato mfalme wa Morocco akiwa tapeli wagogo
Hao wengine vikabila vidogo vidogo lakini pambaneni na njaa kwanzaUmekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu 😀😀.
Haya makabila ni wakaazi asili wa mkoa gani👇👇
-Wasandawe
-Wakaguru
-Wasagara
-Wanyambwa
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
Umekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu 😀😀.
Haya makabila ni wakaazi asili wa mkoa gani👇👇
-Wasandawe
-Wakaguru
-Wasagara
-Wanyambwa
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
We una virojo hauna hojaSifayangu humu JF huwa najibu hoja na facts tupu pekee....michambo na porojo peleka Facebook 😆😆
Hahahaaah yaani uko serious kweli unapost majengo
Ulitaka ni post nini? Ni hivi Bado hujasema.Hahahaaah yaani uko serious kweli unapost majengo