ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Arusha Ili enjoy mbeleko ya Serikali Kwa miaka Mingi sana,Sasa Dom haijafikisha hata miaka 10 Toka uwekezaji serious wa Serikali uanze tayari tunasikia vilio kutoka Arusha na Mwanza 🤪🤪Dodoma nimeishi five year kwenye battle ya mkoa unaokua kwa kasi ni dodoma lakini Aruxha ni kelele ingine arifuuuu mkoa una utajiri mnooo huwez kuamini, watu wao tu wanaweka pesa mfukoni....dodoma kuna machimbo ya dhahabu pale nyarugusu........ita mabilionea wa aruxha alafu ita bilionea wa dodoma uwalinganixhe kama watalingana.....
Ni hivi hapo Bado sana ndio kuna kucha ,by 2030 Dom ndio itakuwa second Biggest City in Tanzania