Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

πŸ˜€πŸ˜€kuna yule jamaa ILAN RAMON anasema ardhi ya Dodoma haina afya na haifai kwa kilimo🀣🀣..hajiulizi kwanini katika mikoa yote 31 Tanzania mradi upelekwe huko
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ ona mshakumbwa na njaa huko Dodoma na ndio kwanza March tu!
 

Attachments

  • Screenshot_20240316-163729_Facebook.jpg
    623.7 KB · Views: 3
N
πŸ˜€πŸ˜€kuna yule jamaa ILAN RAMON anasema ardhi ya Dodoma haina afya na haifai kwa kilimo🀣🀣..hajiulizi kwanini katika mikoa yote 31 Tanzania mradi upelekwe huko
Nitakujibu ki sayansi kama unahitaji kuelewa ila kama umekariri ubishi endeleeni kupokea mchele wa wamarekani
 
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ tulishavuka huko kuchimba malambo sisi
Akili zako ndio zimeishia hapo? πŸ˜†πŸ˜†

Tuonesheni shamba lolote la Umwagiliaji hapo Arusha
 

Attachments

  • Screenshot_20240318-173451_Google.jpg
    487 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240318-173451_Google.jpg
    487 KB · Views: 2
Usidanganye na vishamba darsa kaka kasome uongeze maarifa
 

Attachments

  • Screenshot_20240318-173630_Google.jpg
    583.9 KB · Views: 4
Ndivyo google inakudanganya si ndio? 😁😁😁

Baada ya hiyo heavy cultivation mnaongoza Kuzalisha nini? 🀣🀣
Leta references zozote zinazosema dodoma inaongoza kulima chochote zaidi ya zabibu mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…