ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arusha wameshanyanyua Mikono Juu.Dom imeshafikia level za take off so haikamatiki tena Mshindani wake ni Dar tuu 😁😁😀😀kuna yule jamaa ILAN RAMON anasema ardhi ya Dodoma haina afya na haifai kwa kilimo🤣🤣..hajiulizi kwanini katika mikoa yote 31 Tanzania mradi upelekwe huko
😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 ona mshakumbwa na njaa huko Dodoma na ndio kwanza March tu!😀😀kuna yule jamaa ILAN RAMON anasema ardhi ya Dodoma haina afya na haifai kwa kilimo🤣🤣..hajiulizi kwanini katika mikoa yote 31 Tanzania mradi upelekwe huko
Nitakujibu ki sayansi kama unahitaji kuelewa ila kama umekariri ubishi endeleeni kupokea mchele wa wamarekani😀😀kuna yule jamaa ILAN RAMON anasema ardhi ya Dodoma haina afya na haifai kwa kilimo🤣🤣..hajiulizi kwanini katika mikoa yote 31 Tanzania mradi upelekwe huko
Mambo kama haya Arusha mtaishia kuona kwenye video za Dodoma 👇👇N
Nitakujibu ki sayansi kama unahitaji kuelewa ila kama umekariri ubishi endeleeni kupokea mchele wa wamarekani
Mambo kama haya Arusha mtaishia kuona kwenye video za Dodoma 👇👇
View: https://youtu.be/jg-TcQfr03o?si=meUtNyIuzHoBO9Be
View: https://youtu.be/574G6wj18dY?si=h5kt917_t04eSkfg
Akili zako ndio zimeishia hapo? 😆😆😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 tulishavuka huko kuchimba malambo sisi
Angalia stats wapi kati ya Arusha na Dodoma kuna mazao ya chakula au biashara??Akili zako ndio zimeishia hapo? 😆😆
Tuonesheni shamba lolote la Umwagiliaji hapo Arusha
Akili zako ndio zimeishia hapo? 😆😆
Tuonesheni shamba lolote la Umwagiliaji hapo Arusha
Akili zako ndio zimeishia hapo? 😆😆
Tuonesheni shamba lolote la Umwagiliaji hapo Arusha
Akili zako ndio zimeishia hapo? 😆😆
Tuonesheni shamba lolote la Umwagiliaji hapo Arusha
Tuko kwenye Kilimo,wapi irrigation scheme Arusha? Mambo ya start ups sio topic Kwa SasaAngalia stats wapi kati ya Arusha na Dodoma kuna mazao ya chakula au biashara??
Ndivyo google inakudanganya si ndio? 😁😁😁Usidanganye na vishamba darsa kaka kasome uongeze maarifa
Leta references zozote zinazosema dodoma inaongoza kulima chochote zaidi ya zabibu mkuu??Ndivyo google inakudanganya si ndio? 😁😁😁
Baada ya hiyo heavy cultivation mnaongoza Kuzalisha nini? 🤣🤣
changa la macho start ups za hectares 2000 au 3000 zisiwatie viburiTuko kwenye Kilimo,wapi irrigation scheme Arusha? Mambo ya start ups sio topic Kwa Sasa
changa la macho start ups za hectares 2000 au 3000 zisiwatie viburi
Dodoma the Capital City 👇👇Leta references zozote zinazosema dodoma inaongoza kulima chochote zaidi ya zabibu mkuu??