πππMkoa gani Tanzania unaongoza kwa kilimo cha Karanga,Mtama(millet),Uwele(sorghum),Ufuta,Ulezi,Tende,Rosella,Ubuyu,MbaaziLeta references zozote zinazosema dodoma inaongoza kulima chochote zaidi ya zabibu mkuu??
RubbishπππMkoa gani Tanzania unaongoza kwa kilimo cha Karanga,Mtama(millet),Uwele(sorghum),Ufuta,Ulezi,Tende,Rosella,Ubuyu,Mbaazi
Karibu Arusha tunajenga uwanja mkali wakato mfalme wa Morocco akiwa tapeli wagogo
Wapi huko ambako uwanja mkali haujengwi? Soma hapa ππKaribu Arusha tunajenga uwanja mkali wakato mfalme wa Morocco akiwa tapeli wagogo
Sifayangu humu JF huwa najibu hoja na facts tupu pekee....michambo na porojo peleka Facebook ππRubbish
Umekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu ππ.Karibu Arusha tunajenga uwanja mkali wakato mfalme wa Morocco akiwa tapeli wagogo
Hao wengine vikabila vidogo vidogo lakini pambaneni na njaa kwanzaUmekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu ππ.
Haya makabila ni wakaazi asili wa mkoa ganiππ
-Wasandawe
-Wakaguru
-Wasagara
-Wanyambwa
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
Umekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu ππ.
Haya makabila ni wakaazi asili wa mkoa ganiππ
-Wasandawe
-Wakaguru
-Wasagara
-Wanyambwa
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
We una virojo hauna hojaSifayangu humu JF huwa najibu hoja na facts tupu pekee....michambo na porojo peleka Facebook ππ
Hahahaaah yaani uko serious kweli unapost majengo
Ulitaka ni post nini? Ni hivi Bado hujasema.Hahahaaah yaani uko serious kweli unapost majengo