Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Tumeshavuka hapa tunajenga uwanja wa watu elfu30 na convention center ya kisasa
Moto ambao Dom inawapelekea Arusha & Mwanza sio wa Tzn hapa yaani lazima mjihami kuhamisha magoli πŸ˜‚πŸ˜‚

Bado hamjasema Hadi mseme πŸ‘‡πŸ‘‡
 
[emoji91][emoji91]Naona full greenish alafu haters wa Dom City akina Mikdde na wenzake wanatwambia Dom ni jangwa,ukame,joto,vumbi,hakuna mvua,hakuna maji,hakuna miti wala hakuna ukijani[emoji23][emoji23]
Huo ukijani wa msimu ...baada ya miezi miwili tunarudi misri ..
Huwezi pata eneo la mji wa dodoma likiwa na msitu hv ..kma lipo leta picha
 
Wewe acha uongo , kampeni ya kupanda miti na kuobadili Dodoma kuwa ya kijana Kwa Sasa inalipa.

Tangu lini miti ikakauka pale mjini?

Kule mnakokuonaga Jangwa hakuna hata miti ila baada ya miti kuanza kupandwa Hali Huwa hivyo through out.
Leta picha ...sio maneno...au huko hamna wapiga picha
 
Wewe acha uongo , kampeni ya kupanda miti na kuobadili Dodoma kuwa ya kijana Kwa Sasa inalipa.

Tangu lini miti ikakauka pale mjini?

Kule mnakokuonaga Jangwa hakuna hata miti ila baada ya miti kuanza kupandwa Hali Huwa hivyo through out.
Vipi Mbeya yenu umeshaiahirishaa kabisa 🀣🀣🀣🀣
 
Huwezi pata eneo la mji wa dodoma likiwa na msitu hv ..kma lipo leta picha
Unachekesha sana eti Dodoma hakuna misituπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
-umewahi kufika Udom..?
-umewahi kufika Ntyuka/Imagi..?
-umewahi kufika Area D kwa Waziri Mkuu..?
-Umewahi kufika Msalato-Makutupora JKT
-Umewahi kufika Zuzu/Kizota Road..?
-Umewahi kufika Ihumwa JWTZ..?
-Umewahi kufika Mapinduzi-Kikombo Road..?
-Umewahi kufika pembeni mwa Jakaya Kikwete International Convention Center kama unaelekea Shoppers Plaza...?
-Umewahi kufika Changombe kama unaelekea Chuo cha Mipango kwenye misitu/bustani za CDA

Ukiweza kujibu haya maswali ndio tutajua kama kweli umewahi kufika Dom au ulikatisha tu njia kuelekea mkoani kwako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bila picha ni ujinga tu...
habari maelezo sio mahala pake hapa

Hamtakuja kamwe kuipita Arusha
 
Bila picha ni ujinga tu...
habari maelezo sio mahala pake hapa

Hamtakuja kamwe kuipita Arusha View attachment 2961772
Humu sio studio ya kusafisha pichaπŸ˜€πŸ˜€.Ukichapwa kwa hoja+facts kama kawaidayako utasikia leta pichaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Attachments

  • 20240313_134431.jpg
    1 MB · Views: 8
Humu sio studio ya kusafisha picha[emoji3][emoji3].Ukichapwa kwa hoja+facts kama kawaidayako utasikia leta picha[emoji14][emoji14][emoji14]
Ndio msitu huo ..hayo machaka kwenye kambi za wakimbizi ...poor dodoma ..yaani hapo mnaona mmejengewa real estate nzuri [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ndio msitu huo ..hayo machaka kwenye kambi za wakimbizi ...poor dodoma ..yaani hapo mnaona mmejengewa real estate nzuri [emoji2][emoji2][emoji2]
Iyumbu Satellite City hiyo karibu na Udom....only in Dodoma proper planning huwezi kuipata popote East and Central Africa wewe endelea kujifariji tu πŸ˜€πŸ˜€
 
Attachments

  • 20240313_134250.jpg
    1 MB · Views: 6
  • 20240313_134248.jpg
    1.1 MB · Views: 5
Iyumbu Satellite City hiyo karibu na Udom....only in Dodoma proper planning huwezi kuipata popote East and Central Africa wewe endelea kujifariji tu πŸ˜€πŸ˜€
Wekeni picha vizuri kama hivi πŸ‘‡
 
Ndio msitu huo ..hayo machaka kwenye kambi za wakimbizi ...poor dodoma ..yaani hapo mnaona mmejengewa real estate nzuri [emoji2][emoji2][emoji2]
Msiti tena? Dom sio Hifadhi ya ngedere? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…