ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hilo ndio jibu sahihi
GDP ni upuuzi Fulani hivi.Kwahiyo ni kusema dodoma imepitwa na manyara kwa gdpππ
Pesa za Serikali ndio pesa gani? Arusha inaendeshwa na Utalii siku ukibuma wote mnalala njaadodoma inaendeshwa na fedha za serikali, inabamba mwisho wa mwezi......Arusha inaendeshwa na wafanyabiashara hasa wa tours na madini , UKIWA DODOMA KAMA SIO MFANYAKAZI TENA WA SERIKALI NI TAABU TUPU
Nje ya majengo ya serikali hamna kitu Dodoma, ndio maana nakwambia DODOMA ni kwa mfanyakazi wa serikali tu.Ni biashara gani iliyoko Dodoma inayovuta pesa toka nje ya Dodoma zaidi ya mtawanyo wa fedha za serikali? Utakuchukuwa muda kuelewa ikiwa huamini chanzo cha mzunguko wa fedha ndio jambo muhimu katika mji wootePesa za Serikali ndio pesa gani? Arusha inaendeshwa na Utalii siku ukibuma wote mnalala njaa
Mwisho Bila Serikali hapo Arusha ingekuwa Kijiji kama Samunge tuu
Kama hamna kitu how comes Maelfu wanahamia Dom? Wanafuata nini? Kushangaa Bunge au? ππNje ya majengo ya serikali hamna kitu Dodoma, ndio maana nakwambia DODOMA ni kwa mfanyakazi wa serikali tu.Ni biashara gani iliyoko Dodoma inayovuta pesa toka nje ya Dodoma zaidi ya mtawanyo wa fedha za serikali? Utakuchukuwa muda kuelewa ikiwa huamini chanzo cha mzunguko wa fedha ndio jambo muhimu katika mji woote
Hii ungewapostia wale jamaa zetu wa mwanza π wajue tz ni dar, arusha na dom
Imekuja huku kimakosa ππHii ungewapostia wale jamaa zetu wa mwanza π wajue tz ni dar, arusha na dom
Watajenga kwa ubora huo sasa mradi wa pesa nyingi hivyo sio wakupewa wabongo bhanaπ hapo nusu italiwaKilochonifurahisha hapa ni kampuni za Wazawa kupata tenda ππ
View: https://www.instagram.com/p/C8tJH77Kj8k/?igsh=MTQ4bmsyMmtoa3NzdQ==
Bilioni 31 ni pesa nyingi? Sera ya Nchi Kwa Sasa kipaombele ni wazawa Kwa kila sektaWatajenga kwa ubora huo sasa mradi wa pesa nyingi hivyo sio wakupewa wabongo bhanaπ hapo nusu italiwa