Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma Jiji ndio inaongoza Kwa kuwa na mtandao mkubwa wa lami za mitaa.Mtumba Mji wa Serikali ni zaidi ya km 50 peke yake ,Bado mitaa ya Mjini Kati
 
Baridi la Arusha huwezi fananisha na la Dodoma we jamaa.
Arusha baridi lake exceptional.
Degree celsius za baridi la Aru hazifanani na Dom.
Ajabu hii Sasa, yaani watu mnalingia Hadi baridi 🀣🀣🀣
 
Arusha ni pori pa kufugia tumbili na ngedere ndio maana mahoteli yamejaa Wazungu wanakuja kushangaa hao wanyama 🀣🀣🀣
 
Arusha ni pori pa kufugia tumbili na ngedere ndio maana mahoteli yamejaa Wazungu wanakuja kushangaa hao wanyama 🀣🀣🀣
Kijiografia Arusha kubwa kuliko Dodoma.
Pia mandhari ya Arusha inapendeza kuliko Dodoma.
Tuongee uhalisia.
 
Entebe ni Capital City? Pili Entebe ni sawa na KIA Airport iko Kilimanjaro ila inasevu Arusha
 
Kijiografia Arusha kubwa kuliko Dodoma.
Pia mandhari ya Arusha inapendeza kuliko Dodoma.
Tuongee uhalisia.
Jiografia ya wapi? Mkoa au Eneo la Jiji?

Dodoma City ndio inaongoza Kwa Ukubwa wa eneo la mraba ,takribani kilomita za mraba 2,500
 
Jiografia ya wapi? Mkoa au Eneo la Jiji?

Dodoma City ndio inaongoza Kwa Ukubwa wa eneo la mraba ,takribani kilomita za mraba 2,500
Nazungumzia mkoa.
Kiujumla Dodoma iacheni iendelee kukua aisee msiipaishe bado.
 
Naona umeamua kuikosea adabu Arusha
Kwa mtu aliyetembea na mwenye exposure, Huwezi linganisha Arusha na Dodoma. Wala hata Dar es salaam haifiki Arusha., kwa viwango vya hospitality. Hospitality ya Arusha….inaelekea viwango vya Nairobi. Hata ukienda hotelini, menu ya Arusha ni kiwango. Hata accommodation, Usafi, wahudumu kujielewa, …Kiufupi Dodoma kufikia viwango vya Arusha badooo sana. Siyo leo wala kesho. Ukienda Arusha ukaagiza hata stake….ni misosi kiwango.

Ila kama tunaangalia maghorofa ya vioo, basi nadhani Dodoma very soon ataipita hata Dar.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Acha utani wewe.
Hiyo Arusha itaishinda Dar kwa mahoteli tu,ila kwa KUJENGEKA hakuna kama Dar.
Huko Arusha tumefika sio washamba sisi.
-Arusha kuna skyscrapers kama za TPA na Twin Towers!?
-Arusha kuna flyover!?
Arusha kuna bypass nyingi kuliko Dar!?
Kwa Tanzania miundombinu iliyoko Dar ni exceptional.
Hata hiyo Dodoma kamwe haitakuja kuipita Dar maana hata sasa hiyo Dar inajengwa kwa kasi zaidi.
Hiyo Arusha ndio KABISA haiwezi ikashindana na Dar es Salaam kwa miundombinu,Arusha hata Mwanza haiikuti.

Aisee hii comparison yako umechemka.
 
Soma kwa kutulia wewe Acha kukurupuka unaelewa maana ya hospitality
Nchi hii sehemu pekee inaweza kushindana na Arusha ni Zanzibar bas
Sehem pekee mtu atawaza kuhusu nchi yetu akiwa huko nje ni Arusha na Zanzibar
Dar ni mji wetu wa kibiashara
Dodoma ni makao makuu yetu
Hiyo ndio miji notable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…