Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

New 5 Star Hotel loading in The Capital City Dodoma 👇👇
Screenshot_20240613-060105.jpg
 
Unaruka ulichokisema mkuu!?
Si ulisema Dodoma city kuna mtandao wa barabara hadi mitaani/street roads!?
Tuachane na hilo.
Mbona hata Tabora sasa hivi kuna mtandao mkubwa wa barabara na mainroad zote zimeunganishwa na mtandao wa barabara mkuu!?
Unachokieleza hapo kuhusu barabara mikoa mengine kinafanyika.
Dodoma hii inakua hatukatai TENA INAKUA SANA ila tuipe muda kaka musianze ipaisha sasa hivi.
Ipeni walau miaka 5 mbele kwanza.
Munawahi sana kuipamba.
Dodoma Jiji ndio inaongoza Kwa kuwa na mtandao mkubwa wa lami za mitaa.Mtumba Mji wa Serikali ni zaidi ya km 50 peke yake ,Bado mitaa ya Mjini Kati
 
Dodoma labda ije kuipiku Arusha baadae ila sio sasa.
Dodoma bado saanaaa na huu ukuaji wake unaolazimishwa na serikali ipo siku utakuja kukwama.
Huwezi fananisha Arusha na Dodoma bro,Arusha iko mbali sanaaaa zaidi ya Dodoma.
Nimetembea Swaswa,Chamwino,Ipagala na maeneo mengine ya jiji la Dodoma nimejiona kama natembea Temeke kwa Azizi Ally kuja Keko maduka mawili.
Bado sana na barabara za Dom zina viraka kibao aisee.
Arusha ni pori pa kufugia tumbili na ngedere ndio maana mahoteli yamejaa Wazungu wanakuja kushangaa hao wanyama 🤣🤣🤣
 
..yaani mkuu unaamini kabisa kukiwa na airport mpya dom basi balozi zitahamia?ahahahah..sasa hv si airport ipo au mpaka International Airport?..well fahamu tu hata ikijengwa International Airport sio kigezo cha balozi kujaribu hata kuhamia dom..majirani tu hapo uganda embassy zote zipo kampala ila International airport ipo entebbe!..so preferred international airport kwa tz bado itabakia kuwa dsm na KIA kwa miaka mingi sana..sioni International flights zikija dom wakati hakuna abiria wa kutosha..hizi mambo ni economy na sio siasa!
Entebe ni Capital City? Pili Entebe ni sawa na KIA Airport iko Kilimanjaro ila inasevu Arusha
 
Kijiografia Arusha kubwa kuliko Dodoma.
Pia mandhari ya Arusha inapendeza kuliko Dodoma.
Tuongee uhalisia.
Jiografia ya wapi? Mkoa au Eneo la Jiji?

Dodoma City ndio inaongoza Kwa Ukubwa wa eneo la mraba ,takribani kilomita za mraba 2,500
 
Jiografia ya wapi? Mkoa au Eneo la Jiji?

Dodoma City ndio inaongoza Kwa Ukubwa wa eneo la mraba ,takribani kilomita za mraba 2,500
Nazungumzia mkoa.
Kiujumla Dodoma iacheni iendelee kukua aisee msiipaishe bado.
 
Naona umeamua kuikosea adabu Arusha
Kwa mtu aliyetembea na mwenye exposure, Huwezi linganisha Arusha na Dodoma. Wala hata Dar es salaam haifiki Arusha., kwa viwango vya hospitality. Hospitality ya Arusha….inaelekea viwango vya Nairobi. Hata ukienda hotelini, menu ya Arusha ni kiwango. Hata accommodation, Usafi, wahudumu kujielewa, …Kiufupi Dodoma kufikia viwango vya Arusha badooo sana. Siyo leo wala kesho. Ukienda Arusha ukaagiza hata stake….ni misosi kiwango.

Ila kama tunaangalia maghorofa ya vioo, basi nadhani Dodoma very soon ataipita hata Dar.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Acha utani wewe.
Hiyo Arusha itaishinda Dar kwa mahoteli tu,ila kwa KUJENGEKA hakuna kama Dar.
Huko Arusha tumefika sio washamba sisi.
-Arusha kuna skyscrapers kama za TPA na Twin Towers!?
-Arusha kuna flyover!?
Arusha kuna bypass nyingi kuliko Dar!?
Kwa Tanzania miundombinu iliyoko Dar ni exceptional.
Hata hiyo Dodoma kamwe haitakuja kuipita Dar maana hata sasa hiyo Dar inajengwa kwa kasi zaidi.
Hiyo Arusha ndio KABISA haiwezi ikashindana na Dar es Salaam kwa miundombinu,Arusha hata Mwanza haiikuti.

Aisee hii comparison yako umechemka.
 
Soma kwa kutulia wewe Acha kukurupuka unaelewa maana ya hospitality
Nchi hii sehemu pekee inaweza kushindana na Arusha ni Zanzibar bas
Sehem pekee mtu atawaza kuhusu nchi yetu akiwa huko nje ni Arusha na Zanzibar
Dar ni mji wetu wa kibiashara
Dodoma ni makao makuu yetu
Hiyo ndio miji notable
 
Back
Top Bottom