Nahisi ni dar ila inaweza pia kuwa dodomaHii hospital inaweza jengwa Dodoma au Arusha ila Uwezekano mkubwa ni Dodoma ππ
View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1820371761600364845?t=otYlGs4CE9shhE-eSR1CTw&s=19
Mbona Mwanza sio wajuaji lakini miradi inawapita kushoto au tupo pembezoni ya nchi.Nahisi ni dar ila inaweza pia kuwa dodoma
Ukaribu na nairobi sioni tija ikijengwa arusha bora ikajengwe mbeya uko
Sema geografia huwa inaitenga mbeya ukionekana ni mji wa pembezoni kwahiyo vitu vingi kwa maslah ya taifa kupisha msuguano wanaona ni bora wajenge dodoma lakini pia asili ya watu wa dodoma wanaonekanaga ni humble citizens kama wazaramo dar wanaonekanaga sio wajuaji tofaut na mikoa mingine
Nyie ndo wajuaji namba moja π€£π€£mkifuatiwa na mbeya, wachaga wahaya na wahaMbona Mwanza sio wajuaji lakini miradi inawapita kushoto au tupo pembezoni ya nchi.
Alafu kingine baada ya Dodoma kuwa makao makuu nyie sio mji wa pili tenaπ€£ mmebaki kuwa wa pili kwa kuzaliana ila sio wa pili kwa umuhimu zama zenu kwishnei mmekua mji wa pembezoni kama mbeya tuMbona Mwanza sio wajuaji lakini miradi inawapita kushoto au tupo pembezoni ya nchi.
Sio kweli hizi data za wapiππ....Dodoma kuna radio stations zaidi ya 20 plus one TV stationππ
Mwenzako kapost kule mikoa yenye wastan mzur wa maisha dodoma hata kumi bora haipoSio kweli hizi data za wapiππ....Dodoma kuna radio stations zaidi ya 20 plus one TV stationππ
-Dodoma TV
-Dodoma Fm
-Radio Mwangaza
-Radio Maisha
-Radio Missionaries
-A Fm
-ABM Radio
-C Fm
-Kifimbo Fm
-Ras Fm
-Impact Fm
-Nyemo Fm
-Radio Jamii
-Irangi Fm
-Zabibu Fm
-Villa Fm
- P fm
-Radio Uzima
ππWadanganye MEMKWA washamba wenzio labda ila sio "intellectual" kama mimi.Mwanzo umepost kuwa Arusha kuna radio stations 15 na inashika nafasi ya tatu nimekujibu kwa facts kwa kuorodhesha Dom radio stations zaidi ya 20 wewe unaruka ruka tu kuhamisha magoliππArusha kuna redio zaidi ya 60
Labda sio kweli hapo Kwa Arusha ila Kwa Mbeya ni ukweli mtupu na nyingi ya redio za Mbeya ni za diniSio kweli hizi data za wapiππ....Dodoma kuna radio stations zaidi ya 20 plus one TV stationππ
-Dodoma TV
-Dodoma Fm
-Radio Mwangaza
-Radio Maisha
-Radio Missionaries
-A Fm
-ABM Radio
-C Fm
-Kifimbo Fm
-Ras Fm
-Impact Fm
-Nyemo Fm
-Radio Jamii
-Irangi Fm
-Zabibu Fm
-Villa Fm
- P fm
-Radio Uzima
Possibility kubwa ni Dom piga ua maana ndio Makao Makuu ya Nchi ambako hizo hospitals zimejengwa.Nahisi ni dar ila inaweza pia kuwa dodoma
Ukaribu na nairobi sioni tija ikijengwa arusha bora ikajengwe mbeya uko
Sema geografia huwa inaitenga mbeya ukionekana ni mji wa pembezoni kwahiyo vitu vingi kwa maslah ya taifa kupisha msuguano wanaona ni bora wajenge dodoma lakini pia asili ya watu wa dodoma wanaonekanaga ni humble citizens kama wazaramo dar wanaonekanaga sio wajuaji tofaut na mikoa mingine
Ukweli unaouma.Alafu kingine baada ya Dodoma kuwa makao makuu nyie sio mji wa pili tenaπ€£ mmebaki kuwa wa pili kwa kuzaliana ila sio wa pili kwa umuhimu zama zenu kwishnei mmekua mji wa pembezoni kama mbeya tu
Kwan unazan kitu gani kinaifanya mbeya kusahaulika au nyie mlijua ni special sanaπ€£π€£
Maji tuliyoyaogea arusha na mbeya lazima mywe vizuri kabisa hamna uspecial wowote
Bata waheed
ILAN RAMON Hizi pigp za Mapato ya Jiji si Mwanza is Slum au Arusha Camp Site mtakuja kuzifikia ππSiwezi kibishana na mtu mwenye akili kama za ndama.
Halmashauri zetu zinatakiw kujifunza kwa Dodoma jiji wanafanyaje kuongeza mapato, bila wivu dodoma wapo vizuri hili eneo.
Hata Arusha wamefanya vizuri kwenye Mapato japo wameishia kupata 91% (44bln) ya lengo la kukusanya 48.8bln.Halmashauri zetu zinatakiw kujifunza kwa Dodoma jiji wanafanyaje kuongeza mapato, bila wivu dodoma wapo vizuri hili eneo.
Hii thread ni ya arusha vs dodoma chiefNgoja niachangie,
Mimi ni mkazi wa mbeya, hii ni list yangu ya miji mikubwa Tz
1. Dar es salaam
2.Mwanza
3.Arusha
4.Dodoma
5.Mbeya
According to population, income, Economic activities Mwanza iko vizuri.
Arusha inaizidi Mwanza kwa vitu vichache lakini Mwanza inaizidi Arusha vitu vingi.
Hata Dar kuna baadhi ya vitu inazidiwa hata na miji midogo.
Naweza kusema mazingira yanaweza kukwamisha baadhi ya maendeleo ya mji.
Lakini jamani kusema kweli Mwanza Nafasi ya pili sema tu kwa sababu asili ya watu wa kule ni tofauti kabisa na namna tu wanavyoishi, ndio maana huwezi skia malalamiko mengi kutoka kaskazini, lakini kila ukiangalia TV mikoa mingi ya kusini na mashariki wanalalamika kila siku.
Mwanza Hakuna Vyuo Vikuu kulinganisha hata na Mbeya.
Lakini in real kabisa Mwanza wanatuzidi
Kuna thread za Arusha vs Mwanza Itafute ukachangie huko.Ngoja niachangie,