Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Hii hospital inaweza jengwa Dodoma au Arusha ila Uwezekano mkubwa ni Dodoma 👇👇

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1820371761600364845?t=otYlGs4CE9shhE-eSR1CTw&s=19

Nahisi ni dar ila inaweza pia kuwa dodoma
Ukaribu na nairobi sioni tija ikijengwa arusha bora ikajengwe mbeya uko
Sema geografia huwa inaitenga mbeya ukionekana ni mji wa pembezoni kwahiyo vitu vingi kwa maslah ya taifa kupisha msuguano wanaona ni bora wajenge dodoma lakini pia asili ya watu wa dodoma wanaonekanaga ni humble citizens kama wazaramo dar wanaonekanaga sio wajuaji tofaut na mikoa mingine
 
Mbona Mwanza sio wajuaji lakini miradi inawapita kushoto au tupo pembezoni ya nchi.
 
Alafu kingine baada ya Dodoma kuwa makao makuu nyie sio mji wa pili tena🤣 mmebaki kuwa wa pili kwa kuzaliana ila sio wa pili kwa umuhimu zama zenu kwishnei mmekua mji wa pembezoni kama mbeya tu
Kwan unazan kitu gani kinaifanya mbeya kusahaulika au nyie mlijua ni special sana🤣🤣
Maji tuliyoyaogea arusha na mbeya lazima mywe vizuri kabisa hamna uspecial wowote
Bata waheed
 
Sio kweli hizi data za wapi😂😂....Dodoma kuna radio stations zaidi ya 20 plus one TV station👇👇
-Dodoma TV
-Dodoma Fm
-Radio Mwangaza
-Radio Maisha
-Radio Missionaries
-A Fm
-ABM Radio
-C Fm
-Kifimbo Fm
-Ras Fm
-Impact Fm
-Nyemo Fm
-Radio Jamii
-Irangi Fm
-Zabibu Fm
-Villa Fm
- P fm
-Radio Uzima
Mwenzako kapost kule mikoa yenye wastan mzur wa maisha dodoma hata kumi bora haipo
Maskini hela za kunimiliki redio mtatoa wapi🤣
Arusha kuna redio zaidi ya 60 na upuuzi unaongelea 20 zenu
Dodoma ongeleeni kuhusu mabarabara tu na majengo ya serikali kwa kodi zetu
Lakini kitu chochote kuhusu maendeleo ya watu mko mbali sana hata manyara anawazidi😄
 
Arusha kuna redio zaidi ya 60
😆😆Wadanganye MEMKWA washamba wenzio labda ila sio "intellectual" kama mimi.Mwanzo umepost kuwa Arusha kuna radio stations 15 na inashika nafasi ya tatu nimekujibu kwa facts kwa kuorodhesha Dom radio stations zaidi ya 20 wewe unaruka ruka tu kuhamisha magoli😂😂
 
Sio kweli hizi data za wapi😂😂....Dodoma kuna radio stations zaidi ya 20 plus one TV station👇👇
-Dodoma TV
-Dodoma Fm
-Radio Mwangaza
-Radio Maisha
-Radio Missionaries
-A Fm
-ABM Radio
-C Fm
-Kifimbo Fm
-Ras Fm
-Impact Fm
-Nyemo Fm
-Radio Jamii
-Irangi Fm
-Zabibu Fm
-Villa Fm
- P fm
-Radio Uzima
Labda sio kweli hapo Kwa Arusha ila Kwa Mbeya ni ukweli mtupu na nyingi ya redio za Mbeya ni za dini
 
Nahisi ni dar ila inaweza pia kuwa dodoma
Ukaribu na nairobi sioni tija ikijengwa arusha bora ikajengwe mbeya uko
Sema geografia huwa inaitenga mbeya ukionekana ni mji wa pembezoni kwahiyo vitu vingi kwa maslah ya taifa kupisha msuguano wanaona ni bora wajenge dodoma lakini pia asili ya watu wa dodoma wanaonekanaga ni humble citizens kama wazaramo dar wanaonekanaga sio wajuaji tofaut na mikoa mingine
Possibility kubwa ni Dom piga ua maana ndio Makao Makuu ya Nchi ambako hizo hospitals zimejengwa.
 
Alafu kingine baada ya Dodoma kuwa makao makuu nyie sio mji wa pili tena🤣 mmebaki kuwa wa pili kwa kuzaliana ila sio wa pili kwa umuhimu zama zenu kwishnei mmekua mji wa pembezoni kama mbeya tu
Kwan unazan kitu gani kinaifanya mbeya kusahaulika au nyie mlijua ni special sana🤣🤣
Maji tuliyoyaogea arusha na mbeya lazima mywe vizuri kabisa hamna uspecial wowote
Bata waheed
Ukweli unaouma.
 
Siwezi kibishana na mtu mwenye akili kama za ndama.
ILAN RAMON Hizi pigp za Mapato ya Jiji si Mwanza is Slum au Arusha Camp Site mtakuja kuzifikia 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9p8IOptK8x/?igsh=OTk1bnNhb2pyZ2w5

My Take
Sisi Mbeya tulishakubali kuwa underdog kwenye masuala ya kupendelewa na Serikali,tunaendelea kupambana kivyetu kama unavyoona hapo kwenye hiyo render gorofa la Chuo CUoM linapanda 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C-VrdT0qCzc/?igsh=YnRtajBtNHVyNTF1
 
Halmashauri zetu zinatakiw kujifunza kwa Dodoma jiji wanafanyaje kuongeza mapato, bila wivu dodoma wapo vizuri hili eneo.
Hata Arusha wamefanya vizuri kwenye Mapato japo wameishia kupata 91% (44bln) ya lengo la kukusanya 48.8bln.
Screenshot_20240807-171413.jpg

Mwanza imefeli vibaya wameona hata aibu kuweka Mapato Yao kwenye mbaonza matangazo.

Kidogo Ilemela ndio wameweka
Screenshot_20240807-172808.jpg
 
Ngoja niachangie,

Mimi ni mkazi wa mbeya, hii ni list yangu ya miji mikubwa Tz
1. Dar es salaam
2.Mwanza
3.Arusha
4.Dodoma
5.Mbeya

According to population, income, Economic activities Mwanza iko vizuri.

Arusha inaizidi Mwanza kwa vitu vichache lakini Mwanza inaizidi Arusha vitu vingi.

Hata Dar kuna baadhi ya vitu inazidiwa hata na miji midogo.

Naweza kusema mazingira yanaweza kukwamisha baadhi ya maendeleo ya mji.

Lakini jamani kusema kweli Mwanza Nafasi ya pili sema tu kwa sababu asili ya watu wa kule ni tofauti kabisa na namna tu wanavyoishi, ndio maana huwezi skia malalamiko mengi kutoka kaskazini, lakini kila ukiangalia TV mikoa mingi ya kusini na mashariki wanalalamika kila siku.

Mwanza Hakuna Vyuo Vikuu kulinganisha hata na Mbeya.

Lakini in real kabisa Mwanza wanatuzidi
 
Hii thread ni ya arusha vs dodoma chief
 
Kuna thread za Arusha vs Mwanza Itafute ukachangie huko.

Humu ni Dom vs Arusha
 
Nimepata low quality image ya uwanja wa samia utakapojengwa good news ni namna jiji la arusha litaonekana kwa mbali na kwa uzuri ukiwa uwanjani nikipata yenye quality nzuri zaidi nitatuma huo uzio wa blue ndio construction site eneo la ujenzi ni la mwinuko nje kidogo ya jiji na eneo lililozungushiwa ni kubwa sana ilikua ni video ikanipotea ila nilishascreenshot
Screenshot_20240802-103356_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom