Hii hospital inaweza jengwa Dodoma au Arusha ila Uwezekano mkubwa ni Dodoma 👇👇
View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1820371761600364845?t=otYlGs4CE9shhE-eSR1CTw&s=19
Nahisi ni dar ila inaweza pia kuwa dodoma
Ukaribu na nairobi sioni tija ikijengwa arusha bora ikajengwe mbeya uko
Sema geografia huwa inaitenga mbeya ukionekana ni mji wa pembezoni kwahiyo vitu vingi kwa maslah ya taifa kupisha msuguano wanaona ni bora wajenge dodoma lakini pia asili ya watu wa dodoma wanaonekanaga ni humble citizens kama wazaramo dar wanaonekanaga sio wajuaji tofaut na mikoa mingine