Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Mara Mia mbeya ingekua capital ila si dodomaπŸ˜€ sasa ngombe wa maskin kwel hazai mkapewa hela kujenga capital city mnajenga kijijiniπŸ˜€πŸ˜€ alafu mji mnauacha kwahiyo mnauwa mji wenu tena wenyewe sasa kwa taarifa yako capital city ni mtumba sio dodoma tena na staki zile story zenu za kwamba mtumba eti ipo ndani ya city limits πŸ˜„ ni kichekesho hamnaga mji wa hivo kwa sababu hii nchi yetu inaendeshwa kisiasa wakati mwingine ndio maana dodoma ina ukubwa huo, eneo ili litabumbulike kama urban lazima liwe na atleast watu 1000 per sqkm average ya dodoma ni 300sqkm tu mwanza, arusha, mbeya, stone town kote ni zaidi ya 2000sqkm mnajitengea tu eneo kubwa alafu mnajisemea hii ni jiji kichekesho dodoma ni pale mjini around Nyerere Square hata kikuyu ni nje ya mji mjini dar es salaam ni posta hata magomeni sio mjini ndio maana unaona ofisi zote zilikua pale ili kuokoa gharama hizo hela mlizopoteza kujenga mji mwingine mngelipa fidia vile vibanda vyote mbomoe mjenge mji wa kisasa shida yenu mnadanganyana mji ukiwa mpana kama gazeti ndio umepangwa mgeni akifika dodoma anahitaji huduma umuambie asafiri km 20 ndio afike mtumba huo si mji mwingine sasaπŸ˜€πŸ˜€ itabidi sasa mahoteli yajengwe around mtumba na huduma zote gharama mara mbili zile zilizoko dodoma mjini zitajifia tena mwishowe kote panakua hapajajitosheleza sio mtumba sio dodoma mji wenu ndio unakua rasmi kwishnei hapo biashara zitakapokua ngumu na mji wenu kujifia ndio furaha yetuπŸ˜€πŸ˜€
 
Huyo kaishiwa point ndiomana kilasiku anaposti misitu na miti badala ya "man made features". Dubai hakuna misitu kuna maghorofa,miundombinu+mipangomiji bora ndiomana inaongoza kwa kutembelewa na watalii kutoka kila pembe ya dunia.
 
Huyo kaishiwa point ndiomana kilasiku anaposti misitu na miti badala ya "man made features". Dubai hakuna misitu kuna maghorofa,miundombinu+mipangomiji bora ndiomana inaongoza kwa kutembelewa na watalii kutoka kila pembe ya dunia.
Kwanini msingeenda kujifunza planning dubai sasa au Abuja basi au kigali mmeenda kuteketeza hela zetu mtumba huko huku mkiiua dodoma yetu
 
Hata hueleweki naona unaleta ngonjera.Dodoma master plan imeanza kupangiliwa tangu mwaka 1973 ilipoanzishwa CDA.Sifa ya mipa gomiji inatakiwa uangalie miaka 100 mbele in the future...ndiomana Dom huwezi kukuta overcrowding na hata migogoro ya ardhi ni michache sana kwasababu zaidi ya asilimia 95 kote kumepimwa. Kwa kukusaidia tu angalia stendi za mabasi karibu zote Tanzania zimejengwa nje ya mji.
 
Mnatia huruma maskini hamjui hata mji wenu uko wapi mnokoteza okoteza tu pichaπŸ˜€πŸ˜€ mara udom mara mtumba hamueleweki
Mngetakiwa kuchagua sehemu moja mseme hapa ndio mjini mnaweka kila kitu hapo hapo majengo yanaenda juu tunatengeneza mji wa kimataifa
Hata nairobi mnavoiona na uzuri wake kibera slums ziko km 4 tu kutoka city center lakini hamzioni wao wanaonyesha mjini kati tu
Sasa leo hii hata in the future picha ya dodoma hujui hata ni wap mtakua mnasafiri km 20 mnaenda mtumba kupiga picha mnarudi km 11 mnaenda udom kupiga picha hamnaga mji wenye uchumi mkubwa unakuaga hivo ni kichekeshoπŸ˜„
 
Abuja ndio walikuja kujifunza kwa Dodoma kwa taarifa yako kama hujui.CDA ilianzishwa mwaka 1973 wakati Abuja ilitangazwa kuwa mji mkuu mwanzoni mwa miaka ya 1990
 
Hao dubai hawaangalii miaka 100 mbele au hujui dodoma ni mara 5 ya dubai kwa ukubwa kagoogle ujielimishe au unadhan magu alikua mjinga kufanya jiji iwe ilala tu
Sasa hizo stendi za Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ wewe umeshawahi kuona duniani sehemu ganiπŸ˜€ fatilia wabunge wanavolalamika
Miji yote duniani Station inakua City center nenda Paris,London nairobi, joberg etc
Shida yetu ssi tunalook for cheap solutions bila kujua tunaongezea wananchi mzigo
Soko la ndugai ilitakiwa walipe fidia pale city center jengo lijengwe pale ila kwa vile wanaona itakua gharama wapeleke sehemu kwenye eneo la wazi
Same na government city ilitakiwa iwe mjini pale pale kuokoa gharama na kufanya mji uchangamke nakuongeza mapato kikubwa barabara ziwe pana hata 5 kwa 5 kujenga mji nje ya mji ni kujaribu kutafuta cheap alternatives
 
Dodoma ina eneo kubwa la kutosha kwanini uweke msongamano usio wa lazima kwa kuweka majengo ya wizara mjini.....pia naona mada sahv ishahama imekuwa ni mtumba kujengwa mbali na mji kwahiyo mtumba ipo mkoa wa njombe?
 
Abuja ndio walikuja kujifunza kwa Dodoma kwa taarifa yako kama hujui.CDA ilianzishwa mwaka 1973 wakati Abuja ilitangazwa kuwa mji mkuu mwanzoni mwa miaka ya 1990
Hawakuja kujifunza walikuja kuwachora πŸ˜€ walivoona raman yenu haieleweki wakajifunza marekani
Na walioipanga abuja ni wataalam kutoka marekani kwa taarifa yako wanaitwa IPA usidhan unajua mambo peke yako bwanaπŸ˜€
Ndio maana eneo lenu ni mara 4 ya abuja na outskirts zake lakini wana watu zaidi ya mara 5 ya kwenu
 
Dodoma ina eneo kubwa la kutosha kwanini uweke msongamano usio wa lazima kwa kuweka majengo ya wizara mjini.....pia naona mada sahv ishahama imekuwa ni mtumba kujengwa mbali na mji kwahiyo mtumba ipo mkoa wa njombe?
Huyu jamaa anajitahidi sana kuhamisha magoli....mwanzo alikua anaposti misitu ya Arusha ndio kilikua kichaka chake cha kujifichiaπŸ˜€πŸ˜€ saizi anakwambia eti Magufuli City ni nje ya mjiπŸ˜‚πŸ˜‚. Title ya thread ni Arusha vs Dodoma
 
Kiwekwe Kila kitu hapo Ili iwaje? Sio tuu swala la Mji hata maendeleo yameenea Mkoa mzima wa Mbeya.

Sweet home πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Dodoma ina eneo kubwa la kutosha kwanini uweke msongamano usio wa lazima kwa kuweka majengo ya wizara mjini.....pia naona mada sahv ishahama imekuwa ni mtumba kujengwa mbali na mji kwahiyo mtumba ipo mkoa wa njombe?
Tulitamani tuwasaidie namna gani ya kufanya ili kukwambua wananchi wenu kiuchumi mjisogeze kikodi muifikie angalau tanga lakini hold sasa mfanyabiashara mdogo aka fungus biashara mjini au mtumba??
Nmeamini ule msemo bora maarifa kuliko hela
Kumbe hela bila maarifa inaweza kukufanya maskini kuliko ulivokua
Wewe ngoja wizara ziamie mtumba utaona show
Si mda wafanyabiashara wa mjini watatoka na mabango hali ngumu
 
Hujui chochote na hata unachojaribisha kulinganisha hukielewi. KOREA wanajenga new government city kwenye eneo jipyaπŸ‘‡πŸ‘‡

 
Stendi ya mbeya itajengwa old airport pale kama kuna jambo la msingi kuhusu mbeya wamefanya kujenga stendi mpya mjini na kuipanua ile barabara si mda walioicheka mbeya haina planning wataenda kujifunza mbeya, mbeya inaenda kuwa mji pekee nje ya dar uliochangamka city center zaidi ya mwanza na arusha Mark my words na hii itavutia sana biashara na uwekezaji rejea kilichoiua tanga overplanning faida nyingine ya mbeya ni chakula, hali ya hewa na ina vivutio vingi sana ambavyo siku dunia wakijua na hivi wana international airport mbeya itaimbwa sana bahati mbaya ya mbeya ni kuwa pembezoni tu πŸ˜ƒ

View: https://youtu.be/D8vtA7l5HP4?si=OLVLYvSbhEoWdlmC
 
 
Unaongelea makusanyo ya halmashauri na wizara zote hizo mlitakiwa muwe wa kwanza ni uzembe mko hapo πŸ˜€ sio mapato ya TRA hayo muambie ndugu yako choice akutumie utajikimbia
 
Huyu jamaa anajitahidi sana kuhamisha magoli....mwanzo alikua anaposti misitu ya Arusha ndio kilikua kichaka chake cha kujifichiaπŸ˜€πŸ˜€ saizi anakwambia eti Magufuli City ni nje ya mjiπŸ˜‚πŸ˜‚. Title ya thread ni Arusha vs Dodoma
Mkuu hujasoma kitu inaitwa divide and ruleπŸ˜€πŸ˜€ ukishagawa kitu kinakua dhaifu arusha ni moja ila dodoma ni dodoma na mtumbaπŸ˜€ mji wenu kwishnei
Unaambiwa hata chuma huaribiwa na chuma
Dodoma itaharibiwa na dodoma yenyewe πŸ˜ƒπŸ˜ƒ inachekesha kweli
Hata hela usipoitumia vizuri inakuua dodoma mmepata kodi zetu mkazitumia kiholelaπŸ˜€
Sasa unadhan kwa akil ya kawaida mtu atatoka mtumba akale mjini alafu arudi ofsini au aende mpesa mjini au stationary etc
Kwenye radius ya manunuzi sio mji mmoja tena huo na ndio nawaambia mmeua mji wenu wenyewe
We unadhan mzee mkapa alivoamua kujenga bunge city center hakua na akili au hiyo mtumba haikuwepo unafkir tena kipind hicho ndio maeneo ya kumwaga
Yan hata mbeya mnayoicheka haijui mjini ni wapi ni nafuu kabwe na uhindin km 3 tu sasa nyie mnapeleka mji km 20 alaf mnakuja kujitetea hapa ni mji mmoja huo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kisiasa mnaweza kuweka mipaka hata dodoma jiji linaishia chalinze ni nyie tu kama mlivoweka hadi hombolo et ni jiji
Hii ndio shida ya kuendesha mambo kimihemko na sio kitaalamu
 
Zaidi ya michambo,porojo na ngonjera zako sioni hoja yoyote unayoisimamia.Nakushauri tu michambo peleka facebook humu JF tunabishana kwa hoja,facts na evidences.
Kwa kukusaidia tu Dom ilipewa hadhi ya Manispaa tangu mwaka 1980 maeneo ya mipakayake ndiyo hayohayo ambayo yalikuja kupewa hadhi ya Jiji mwaka 2018(miaka 38 mbele). Ingekua kuna maeneo mapya yameongezwa kutoka wilaya zingine hapo labda ndio ungekua na hojaπŸ˜€πŸ˜€
 
Yule mwanamama tulia amenifurahisha sana kaja na plan ya kusema watu walipwe fidia wapishe mjini mji upande juu lakini hakupendekeza ujengwe songwe airport kule kama dodoma mlivofanya umeona faida ya usomi sasa anajua hizi mambo za economic dynamics zinavofanya kazi
Shida yetu kubwa nchi nzima masoko yamejengwa nje ya mji leo hii yamekua ni magofu tumepoteza kodi bure shida tu ni hatutaki tuingie gharama kulipa watu fidia tujenge soko mjini na serikali tutachkua kodi zaidi
Sasa hapa dodoma tunavowaambia mmekosea miji haijegwagi hivo mnajetetea et tuna ardhi kubwa πŸ˜€πŸ˜€ hii nchi ukitoa mawazo yakujenga unaonekana unapinga ndo maana miradi mingi hii nchi ni ya hovyo
Sasa hiv hamuwezi kunielewa wala kuona effect yake subir wizara zihamie mtumba yajengwe masupermarkets huko kama dodoma kutakua na kitu tunakua tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele
 
Apendekeze Songwe Airport kwani kule ni Mbeya Jiji? Kule ni Mbeya Vijijini.

Pia kule Kuna satellite Town opposite na Eneo la Uwanja na pia ndio eneo la viwanda la Tanganyika Packers.

Ningekuwa Mimi Tulia ningemuomba Rais ahamishe Chuo Cha Kilimo Uyole na Yale Maonesho pale vyote viende huko Songwe Nje ya Mji ndio ingependeza sio kuweka katikati ya Mji.

Hapo Uwanja wa Nanenane ndio ingejengwa Stendi kuu ya Mkoa na kule Old Airport stendi ya madaladala yote,mabajaji nk.

Mwisho kule Mjini anakosema Tulia hakutakuja kuwa na Biashara za maana sana sana kunafaa kujengwa residential apartments maana Mji umehamia Mwanjelwa along Tanzam Road.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…