Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Kwanini msingeenda kujifunza planning dubai sasa au Abuja basi au kigali mmeenda kuteketeza hela zetu mtumba huko huku mkiiua dodoma yetu
Mji wa Serikali unauaje CBD? Wewe una shida mahala.

Binafsi Mimi ni muumini wa kusambaza maendeleo sio kurundika mahala pamoja na ndio maana sitarajii Dom kuja kuwa na Msongamano kama ilivyo huko kwingine.

Moja ya Miji naikubali sana hapa Tanzania ni Dom
 
Mkuu hujasoma kitu inaitwa divide and rule😀😀 ukishagawa kitu kinakua dhaifu arusha ni moja ila dodoma ni dodoma na mtumba😀 mji wenu kwishnei
Unaambiwa hata chuma huaribiwa na chuma
Dodoma itaharibiwa na dodoma yenyewe 😃😃 inachekesha kweli
Hata hela usipoitumia vizuri inakuua dodoma mmepata kodi zetu mkazitumia kiholela😀
Sasa unadhan kwa akil ya kawaida mtu atatoka mtumba akale mjini alafu arudi ofsini au aende mpesa mjini au stationary etc
Kwenye radius ya manunuzi sio mji mmoja tena huo na ndio nawaambia mmeua mji wenu wenyewe
We unadhan mzee mkapa alivoamua kujenga bunge city center hakua na akili au hiyo mtumba haikuwepo unafkir tena kipind hicho ndio maeneo ya kumwaga
Yan hata mbeya mnayoicheka haijui mjini ni wapi ni nafuu kabwe na uhindin km 3 tu sasa nyie mnapeleka mji km 20 alaf mnakuja kujitetea hapa ni mji mmoja huo 😀😀😀 kisiasa mnaweza kuweka mipaka hata dodoma jiji linaishia chalinze ni nyie tu kama mlivoweka hadi hombolo et ni jiji
Hii ndio shida ya kuendesha mambo kimihemko na sio kitaalamu
Sijaona hoja Yako seems huelewi hata maana ya Satellite City wewe Jamaa.
 
K
Zaidi ya michambo,porojo na ngonjera zako sioni hoja yoyote unayoisimamia.Nakushauri tu michambo peleka facebook humu JF tunabishana kwa hoja,facts na evidences.
Kwa kukusaidia tu Dom ilipewa hadhi ya Manispaa tangu mwaka 1980 maeneo ya mipakayake ndiyo hayohayo ambayo yalikuja kupewa hadhi ya Jiji mwaka 2018(miaka 38 mbele). Ingekua kuna maeneo mapya yameongezwa kutoka wilaya zingine hapo labda ndio ungekua na hoja😀😀
Kumbe ukijibiwa ndio unapanic hivo Pole mkuu
Hii ni social media kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake mkuu
Ulitarajia huku utakutana na mazwazwa wa nanjilinjili wasiojua chochote uwaongopee utakavo 😀😀
Ndio maana umeandika dodoma ni ya pili kwa mapato hujui hata maana ya mapato ni nini
Dodoma sisi tuliwapenda na kuwaonea huruma kama makao yetu makuu machanga ili muiwakilishe nchi yetu
Shida yenu mnapandisha mabega mnajikuta na nyie ni wakubwa hamna lolote😀
Hiyo magufuli city imeanzishwa 2019 na haikuwah kuandikwa popote wala hakuna andiko lolote liliwah kusema mji wa kiserikali utakuja kujengwa mtumba
Sijui lini tutaweza kujismamia mwendokasi tumefeli kujenga masoko tumefeli hata kujenga mji wetu mkuu nao hola😀 tumetengeneza kituko watu walivojua dodoma imekua mji mkuu wakadhan itakua kama posta pale city center itakua na plan sasa patapendeza kumbe wanaenda kujenga mji mwingine tena kha!
* kwa hii nchi yetu ilivyo ya madili unakuta hata mtumba pale ilikua tu ni eneo la mtu wa system akaona anauzaje viwanja vyake kwa chap akaona achomekee serikalini nao wakajaa kwenye mfumo😀😀 manake hata haiingii akilini
USHAURI: Kwavile mmeshakosea haifai tena basi lipeni fidia vijumba na vibanda vyote vya watu binafsi pembezoni mwa mtumba na chamwino pale njia ya kwenda ikulu wabomoe vile vijumba vyenye kutu vinaharibu image ya nchi
 
Tulitamani tuwasaidie namna gani ya kufanya ili kukwambua wananchi wenu kiuchumi mjisogeze kikodi muifikie angalau tanga lakini hold sasa mfanyabiashara mdogo aka fungus biashara mjini au mtumba??
Nmeamini ule msemo bora maarifa kuliko hela
Kumbe hela bila maarifa inaweza kukufanya maskini kuliko ulivokua
Wewe ngoja wizara ziamie mtumba utaona show
Si mda wafanyabiashara wa mjini watatoka na mabango hali ngumu
Mikoa yenu yote ya Kaskazini inategemea makusanyo kutoka entry/Exit posts na Utalii na sio activities za watu kama Dom na Mikoa Mingine so hamna kitu huko.

Ndio maana ukija kwenye Mapato ya uhalisia ya shughuli za Wananchi ya Halmashauri hakuna kima anaisogelea Dom Nje ya Dar.
 
K
Kumbe ukijibiwa ndio unapanic hivo Pole mkuu
Hii ni social media kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake mkuu
Ulitarajia huku utakutana na mazwazwa wa nanjilinjili wasiojua chochote uwaongopee utakavo 😀😀
Ndio maana umeandika dodoma ni ya pili kwa mapato hujui hata maana ya mapato ni nini
Dodoma sisi tuliwapenda na kuwaonea huruma kama makao yetu makuu machanga ili muiwakilishe nchi yetu
Shida yenu mnapandisha mabega mnajikuta na nyie ni wakubwa hamna lolote😀
Hiyo magufuli city imeanzishwa 2019 na haikuwah kuandikwa popote wala hakuna andiko lolote liliwah kusema mji wa kiserikali utakuja kujengwa mtumba
Sijui lini tutaweza kujismamia mwendokasi tumefeli kujenga masoko tumefeli hata kujenga mji wetu mkuu nao hola😀 tumetengeneza kituko watu walivojua dodoma imekua mji mkuu wakadhan itakua kama posta pale city center itakua na plan sasa patapendeza kumbe wanaenda kujenga mji mwingine tena kha!
* kwa hii nchi yetu ilivyo ya madili unakuta hata mtumba pale ilikua tu ni eneo la mtu wa system akaona anauzaje viwanja vyake kwa chap akaona achomekee serikalini nao wakajaa kwenye mfumo😀😀 manake hata haiingii akilini
USHAURI: Kwavile mmeshakosea haifai tena basi lipeni fidia vijumba na vibanda vyote vya watu binafsi pembezoni mwa mtumba na chamwino pale njia ya kwenda ikulu wabomoe vile vijumba vyenye kutu vinaharibu image ya nchi
Mkuu huna hoja,Arusha inazidi kuporomoka kwenye GDP na per Capita income,Bado Trilioni 2 Dom iwavuke.
 
Apendekeze Songwe Airport kwani kule ni Mbeya Jiji? Kule ni Mbeya Vijijini.

Pia kule Kuna satellite Town opposite na Eneo la Uwanja na pia ndio eneo la viwanda la Tanganyika Packers.

Ningekuwa Mimi Tulia ningemuomba Rais ahamishe Chuo Cha Kilimo Uyole na Yale Maonesho pale vyote viende huko Songwe Nje ya Mji ndio ingependeza sio kuweka katikati ya Mji.

Hapo Uwanja wa Nanenane ndio ingejengwa Stendi kuu ya Mkoa na kule Old Airport stendi ya madaladala yote,mabajaji nk.

Mwisho kule Mjini anakosema Tulia hakutakuja kuwa na Biashara za maana sana sana kunafaa kujengwa residential apartments maana Mji umehamia Mwanjelwa along Tanzam Road.
Sasa wewe unazan kiuhalisia mtumba kule ni jiji kama tukifata vigezo vya mji kama mbalizi ni km 15 na ni wilaya nyingine itakua mtumba
Hata arusha kuna ngaramtoni ni mji na uko km 12 tu kutoka arusha mjini na ni nyumba mwanzo mwisho lakini ni halmashauri nyingine
Achilia mbali kuna usariver napo ni km18 lakin napo ni halmashauri nyingine na zote hizo hazihesabiwi jiji kuna tengeru, kisongo n.k
Yani pale dodoma mmejitekenya na kucheka wenyewe
Hata wewe sasa hiv unaweza ukasema tu ni usiku na ni mchana na uamuzi wako tu
Hata chamwino inaweza kuwa jiji soon ni uamuzi tu lakin kiuhalisia sio jiji kule
Hiyo hoja yako ya satellite city ndio nlikua naitafuta kwamba unakubali kabisa kwamba mtumba ni mji mwingine sasa kwa mji ambao hauna entry na exit wa dodoma kama miji yetu ya kaskazini kama ulivosema wewe kwa maana ya kua dodoma ni mji wa kiserikali
Alafu sasa unajenga mji mwingine wa kiserikali nje ya ule mji wakiserikali kuna nin sasa hapo😀😀
 
Hata Mtumba Iko Nje ya mipaka ya Dodoma Jiji ndio maana wanataka kuifanya Chamwino kuwa Manispaa ambako ndiko Mtumba ipo.

Hoja ya msingi inasalia pale pale kwmamba makazi yameungana kutoka Mtumba Hadi CBD na hakuna wa kuiua CBD Kwa sababu kule Mtumba hakuruhusiwi majengo binafsi so mjini itasalia kuwa mjini.
 
Hata Mtumwa Iko Nje ya mipaka ya Dodoma Jiji ndio maana wanataka kuifanya Chamwino kuwa Manispaa ambako ndiko Mtumba ipo.

Hoja ya msingi inasalia pale pale kwmamba makazi yameungana kutoka Mtumba Hadi CBD na hakuna wa kuiua CBD Kwa sababu kule Mtumba hakuruhusiwi majengo binafsi so mjini itasalia kuwa mjini.
Kwahiyo wafanyakazi watakua wanaenda mjini kula na kurudi ofsini au sio 👏
 
Ndio Mji unakuanna kutanuka Sasa ulitaka iwaje?
Mji unatanuliwa na watu bhana sio mkajenge nyumba sehemu haina watu unadhan hao watu watatoka wap watatoka hapo hapo dodoma waende mtumba we unazan waliojenga bunge mjini kwann wasingejenga nje ya mji au hujui dodoma kinachowapeleka watu ni ofisi za serikali yani dodoma ni mji wa kiserikali sasa badala uuboreshe unaenda kujenga mji mwingine wa kiserikali nje ya mji 😀
Mi nawaambia ule ulikua mradi tu wa mtu kuuza mashamba yake
Alaf nmeshawaambia kwa vile mmeshakosea hebu nunueni vijumba vyote karibu na mtumba na karibu na ikulu chamwino pale mjenge mijengo ya maana mkishindwa mpaache wazi hivo hivo msitie nchi aibu kwa vijumba vya ovyo
 
Wapi hakuna watu?
 
Back
Top Bottom