K
Zaidi ya michambo,porojo na ngonjera zako sioni hoja yoyote unayoisimamia.Nakushauri tu michambo peleka facebook humu JF tunabishana kwa hoja,facts na evidences.
Kwa kukusaidia tu Dom ilipewa hadhi ya Manispaa tangu mwaka 1980 maeneo ya mipakayake ndiyo hayohayo ambayo yalikuja kupewa hadhi ya Jiji mwaka 2018(miaka 38 mbele). Ingekua kuna maeneo mapya yameongezwa kutoka wilaya zingine hapo labda ndio ungekua na hoja😀😀
Kumbe ukijibiwa ndio unapanic hivo Pole mkuu
Hii ni social media kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake mkuu
Ulitarajia huku utakutana na mazwazwa wa nanjilinjili wasiojua chochote uwaongopee utakavo 😀😀
Ndio maana umeandika dodoma ni ya pili kwa mapato hujui hata maana ya mapato ni nini
Dodoma sisi tuliwapenda na kuwaonea huruma kama makao yetu makuu machanga ili muiwakilishe nchi yetu
Shida yenu mnapandisha mabega mnajikuta na nyie ni wakubwa hamna lolote😀
Hiyo magufuli city imeanzishwa 2019 na haikuwah kuandikwa popote wala hakuna andiko lolote liliwah kusema mji wa kiserikali utakuja kujengwa mtumba
Sijui lini tutaweza kujismamia mwendokasi tumefeli kujenga masoko tumefeli hata kujenga mji wetu mkuu nao hola😀 tumetengeneza kituko watu walivojua dodoma imekua mji mkuu wakadhan itakua kama posta pale city center itakua na plan sasa patapendeza kumbe wanaenda kujenga mji mwingine tena kha!
* kwa hii nchi yetu ilivyo ya madili unakuta hata mtumba pale ilikua tu ni eneo la mtu wa system akaona anauzaje viwanja vyake kwa chap akaona achomekee serikalini nao wakajaa kwenye mfumo😀😀 manake hata haiingii akilini
USHAURI: Kwavile mmeshakosea haifai tena basi lipeni fidia vijumba na vibanda vyote vya watu binafsi pembezoni mwa mtumba na chamwino pale njia ya kwenda ikulu wabomoe vile vijumba vyenye kutu vinaharibu image ya nchi