Mara Mia mbeya ingekua capital ila si dodoma๐ sasa ngombe wa maskin kwel hazai mkapewa hela kujenga capital city mnajenga kijijini๐๐ alafu mji mnauacha kwahiyo mnauwa mji wenu tena wenyewe sasa kwa taarifa yako capital city ni mtumba sio dodoma tena na staki zile story zenu za kwamba mtumba eti ipo ndani ya city limits ๐ ni kichekesho hamnaga mji wa hivo kwa sababu hii nchi yetu inaendeshwa kisiasa wakati mwingine ndio maana dodoma ina ukubwa huo, eneo ili litabumbulike kama urban lazima liwe na atleast watu 1000 per sqkm average ya dodoma ni 300sqkm tu mwanza, arusha, mbeya, stone town kote ni zaidi ya 2000sqkm mnajitengea tu eneo kubwa alafu mnajisemea hii ni jiji kichekesho dodoma ni pale mjini around Nyerere Square hata kikuyu ni nje ya mji mjini dar es salaam ni posta hata magomeni sio mjini ndio maana unaona ofisi zote zilikua pale ili kuokoa gharama hizo hela mlizopoteza kujenga mji mwingine mngelipa fidia vile vibanda vyote mbomoe mjenge mji wa kisasa shida yenu mnadanganyana mji ukiwa mpana kama gazeti ndio umepangwa mgeni akifika dodoma anahitaji huduma umuambie asafiri km 20 ndio afike mtumba huo si mji mwingine sasa๐๐ itabidi sasa mahoteli yajengwe around mtumba na huduma zote gharama mara mbili zile zilizoko dodoma mjini zitajifia tena mwishowe kote panakua hapajajitosheleza sio mtumba sio dodoma mji wenu ndio unakua rasmi kwishnei hapo biashara zitakapokua ngumu na mji wenu kujifia ndio furaha yetu๐๐