Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Nasimama na Arusha.. dodoma bado Ina safari ndefu kuipata Arusha ndo ipambane na mwanza.....hata hyo population inayotajwa dodoma imehusisha Hadi vijiji vya hombolo huko na chipogolo ...proper city population ya dodoma not more than 450k ...
Hombolo ni ndani ya JIJI mkuu
 
Sasa wewe unazan kiuhalisia mtumba kule ni jiji kama tukifata vigezo vya mji kama mbalizi ni km 15 na ni wilaya nyingine itakua mtumba
Hata arusha kuna ngaramtoni ni mji na uko km 12 tu kutoka arusha mjini na ni nyumba mwanzo mwisho lakini ni halmashauri nyingine
Achilia mbali kuna usariver napo ni km18 lakin napo ni halmashauri nyingine na zote hizo hazihesabiwi jiji kuna tengeru, kisongo n.k
Yani pale dodoma mmejitekenya na kucheka wenyewe
Hata wewe sasa hiv unaweza ukasema tu ni usiku na ni mchana na uamuzi wako tu
Hata chamwino inaweza kuwa jiji soon ni uamuzi tu lakin kiuhalisia sio jiji kule
Hiyo hoja yako ya satellite city ndio nlikua naitafuta kwamba unakubali kabisa kwamba mtumba ni mji mwingine sasa kwa mji ambao hauna entry na exit wa dodoma kama miji yetu ya kaskazini kama ulivosema wewe kwa maana ya kua dodoma ni mji wa kiserikali
Alafu sasa unajenga mji mwingine wa kiserikali nje ya ule mji wakiserikali kuna nin sasa hapo😀😀
Kwani Ilemela na Nyamagana si HALMASHAURI mbili na zote Zipo JIJI LA MWANZA?

Au Mfano....DAR.
 
Digital Technology Institute -Nala Dodoma HQ 🔥🔥
20240922_072623.jpg
 
Back
Top Bottom