ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ulitaka yawe karibu karibu kwani ni misitu?Shida yenu majengo yako mbali mbali π
Hombolo ni ndani ya JIJI mkuuNasimama na Arusha.. dodoma bado Ina safari ndefu kuipata Arusha ndo ipambane na mwanza.....hata hyo population inayotajwa dodoma imehusisha Hadi vijiji vya hombolo huko na chipogolo ...proper city population ya dodoma not more than 450k ...
Kwani Ilemela na Nyamagana si HALMASHAURI mbili na zote Zipo JIJI LA MWANZA?Sasa wewe unazan kiuhalisia mtumba kule ni jiji kama tukifata vigezo vya mji kama mbalizi ni km 15 na ni wilaya nyingine itakua mtumba
Hata arusha kuna ngaramtoni ni mji na uko km 12 tu kutoka arusha mjini na ni nyumba mwanzo mwisho lakini ni halmashauri nyingine
Achilia mbali kuna usariver napo ni km18 lakin napo ni halmashauri nyingine na zote hizo hazihesabiwi jiji kuna tengeru, kisongo n.k
Yani pale dodoma mmejitekenya na kucheka wenyewe
Hata wewe sasa hiv unaweza ukasema tu ni usiku na ni mchana na uamuzi wako tu
Hata chamwino inaweza kuwa jiji soon ni uamuzi tu lakin kiuhalisia sio jiji kule
Hiyo hoja yako ya satellite city ndio nlikua naitafuta kwamba unakubali kabisa kwamba mtumba ni mji mwingine sasa kwa mji ambao hauna entry na exit wa dodoma kama miji yetu ya kaskazini kama ulivosema wewe kwa maana ya kua dodoma ni mji wa kiserikali
Alafu sasa unajenga mji mwingine wa kiserikali nje ya ule mji wakiserikali kuna nin sasa hapoππ
Du saluti... baada ya dar ni domNitasimama na Dodoma
We huijui mwanza wewe πDu saluti... baada ya dar ni dom
Mwanza sijui kona gani nitakua siijuiWe huijui mwanza wewe π
We huijui mwanza wewe π
Unakuta ka Arusha nako eti Karnataka kushindana na Dodoma achilia mbali zizi la Mwanza ππMwanza sijui kona gani nitakua siijui
Udom imekua kijani leoπUnakuta ka Arusha nako eti Karnataka kushindana na Dodoma achilia mbali zizi la Mwanza ππ
UDOM ππ
View: https://youtu.be/1qSa7rXRtRo?si=hs3Dz2dPHrgWhntt
Tuwaulize nyie si Huwa mnasema Dom ni Jangwani?Udom imekua kijani leoπ
Awamu ya Nyerere waliweka sheria kila nyumba ipande mti na ukikata mti mmoja upande miwili ikirudishwa ile tutaokoa kizazi chetuTuwaulize nyie si Huwa mnasema Dom ni Jangwani?
Bado hamjasema Hadi mseme shikamoo Dodoma ππAwamu ya Nyerere waliweka sheria kila nyumba ipande mti na ukikata mti mmoja upande miwili ikirudishwa ile tutaokoa kizazi chetu
Mwanza inaingiaje hapa.Mwanza sijui kona gani nitakua siijui