Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Kwa CBD DOdoma ikon nyuma sana majengo marefu mapya machache sana angalau yale ya mtumba yangejengwa eneo la kisasa ingekaa vizuri
 
Nilivofika mbeya mara ya kwanza tu haikunichukua dakika kujua ndio mji wenye vibe baada ya Dar
Data zimenithibitishia πŸ‘
 
Vibe lipi bajaji, vumbi ama kulewa mbeya pazuri?
 
Si niliwaambia kosa kubwa sana wamefanya kupeleka mji nje alafu kuiacha cbd vile
Endelea kujifariji wakati Dom imeanza kuwapora status yenu ya kuwa HQ ya taasisi za Kimataifa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/TimesTanzania/status/1842997523411292584?t=E2hPRevZXaMqZeN7CBOcfQ&s=19
My Take:Kwangu binafsi naona ni habari njema Kwa Tanzania na Dodoma in particular lakini haiko sawa kimipango Kwa sababu Kwa Tanzania hapa Jiji ambalo limeteukiwa kuwa HQ ya Taasisi za Kimataifa ni Arusha,Sasa Kwa nini wasijenge huko huko Arusha waje kujenga Dom?

Kwangu binafsi haijakaa sawa kabisa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/dailynewstz/status/1843165845339668758?t=VCmyhJUgDjNUzLrf9BighA&s=19
 
Si niliwaambia kosa kubwa sana wamefanya kupeleka mji nje alafu kuiacha cbd vile
Na asilimia kubwa ya wizara na idara za Serikali ziko katika hatua za mwisho za ujenzi wa majengo yake hapo mtumba nadhani hakutakuwa tena na majengo mengi mapya ndio maana hata mapato ya jiji yamepungua kutoka 70b hadi 30b kutokana na shughuli za ujenzi nyingi kuelekea mwisho.
Mwanzoni mahitaji ya viwanja yalikuwa makubwa kuliko sasa na ndio kilikuwa chanzo kikubwa cha mapato cha jiji
 
Hata mimi nilijisemea imekuwaje tena πŸ˜„ kama mahakama ya afrika ipo arusha ingekua vyema na bunge la afrika kuwa arusha ingeboost nafasi ya Tanzania kujiweka katika nafasi nzuri zaidi kama nchi kinara wa kidiplomasia afrika ila anyway hata dodoma ni Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ngoja tuone
 
Wivu πŸ˜†πŸ˜†

Mbeya Iko busy yaani bustling City haijapoa kama Dom
Hapo bado stendi ya mbeya inajengwa pale old airport ni mjini itafanya mji kuwa active kama miji mashuhuri yote duniani bus terminals zinakuaga city centre sio Kama stendi ya dodoma ikifika saa mbili usiku hakuna lolote nlishawahi kutembea mbeya mitaa ya kabwe saa 5 usiku nlijihisi kama niko dar tu kwa Tanzania hii nasemaga siku zote kama kuna mji ungekua threat kwa arusha ni mbeya tu sio mwanza dodoma wala tanga hiyo miji haina vibe πŸ˜„
Mbeya iko vizuri kuanzia hali ya hewa, chakula, vivutio vya utalii shida ya mbeya ni miundombinu tu na planning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…