ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Aisee ngoja nikuache rudi kasome aisee hujui umuhimu wa Mwanza kiuchumi ngoja niache hizi ni Bange za chuga hizi DaahKuwa Jiji la pili sio shida Bali ni uhumimu wa Mwanza ni upi kiuchumi? ππ
Pole ,Dom inaenda kuzima kelele zote za Arusha na Mwanza π€£π€£ππAisee ngoja nikuache rudi kasome aisee hujui umuhimu wa Mwanza kiuchumi ngoja niache hizi ni Bange za chuga hizi Daah
Wewe si ndio umeanza kulinganisha hotel arusha na mwanza tukikuambia ukwel unasema tunachuki mkuuWewe una chuki na Mwanza ngoja nikuache maana naona unaweza itukana na serikali inayo itambua Mwanza ni jiji la pili na linalo kua kwa Kasi nyuma ya Dar
Acha kubwabwaja kama kuku anayetaka kutaga, Arusha nje ya utalii ina kipi cha kuizidi Mwanza? Kwa uchumi Arusha ziwe tatu ndio zinafikia uchumi wa Mwanza, huduma za kijamii kulingana na sensa mlikaa, kuanzia mashule, vituo vya kutolea huduma za afya, ukija kwenye ukuaji wa mji Mwanza ndio inaongoza kwa kuwa na majenzi mengi Tanzania, njoo kwenye idadi ya watu yaani population bado mmekaa, mmebakiza kujitetea kwenye mapato ya TRA ambayo 70% zinaokana na ngoroongoro na serengeti nayo ni direct tax za wazungu na wageni nyinyi wavuta ngada wa arusha hamna mnachochangia,ukiangalia Mwanza mapato yote yanatoka kwa wakazi wa Mwanza.Wewe si ndio umeanza kulinganisha hotel arusha na mwanza tukikuambia ukwel unasema tunachuki mkuu
Ukwel ni kuwa arusha imeizid mwanza factors zote za maendeleo
Mwanza imeizid arusha vitu kama stendi, madaraja na masoko na hilo hamna aneyelipinga
Lakin swala la maendeleo ni mbingu na ardhi π
Nilikua nakusubiri wewe tu mkali waoπAcha kubwabwaja kama kuku anayetaka kutaga, Arusha nje ya utalii ina kipi cha kuizidi Mwanza? Kwa uchumi Arusha ziwe tatu ndio zinafikia uchumi wa Mwanza, huduma za kijamii kulingana na sensa mlikaa, kuanzia mashule, vituo vya kutolea huduma za afya, ukija kwenye ukuaji wa mji Mwanza ndio inaongoza kwa kuwa na majenzi mengi Tanzania, njoo kwenye idadi ya watu yaani population bado mmekaa, mmebakiza kujitetea kwenye mapato ya TRA ambayo 70% zinaokana na ngoroongoro na serengeti nayo ni direct tax za wazungu na wageni nyinyi wavuta ngada wa arusha hamna mnachochangia,ukiangalia Mwanza mapato yote yanatoka kwa wakazi wa Mwanza.
Dodoma hampoΓ¬Pole ,Dom inaenda kuzima kelele zote za Arusha na Mwanza π€£π€£ππ
View: https://youtu.be/X6gaZ2kliUE?si=Sz2t1NcLtPuWOvj3View attachment 3181223View attachment 3181224
Kwani maendeleo ni nini tuanzie hapo kwanzaWewe si ndio umeanza kulinganisha hotel arusha na mwanza tukikuambia ukwel unasema tunachuki mkuu
Ukwel ni kuwa arusha imeizid mwanza factors zote za maendeleo
Mwanza imeizid arusha vitu kama stendi, madaraja na masoko na hilo hamna aneyelipinga
Lakin swala la maendeleo ni mbingu na ardhi π
Maendeleo ni watu sio vituKwani maendeleo ni nini tuanzie hapo kwanza
Tupe hizo takwimuMaendeleo ni watu sio vitu
Takwimu zote zinazohusu maendeleo ya watu mmepigwa vibaya mno
Mnachoongozaga ni kuzaliana hovyo tu kama panyaπ€£
Katafte kati ya Mwanza na Arusha ni hipi juu kimapato na inayo ongoza kuchangia ktk Pato la taifa we jamaa wa NgaraneroKuwa Jiji la pili sio shida Bali ni uhumimu wa Mwanza ni upi kiuchumi? ππ
Katafute nan anaongoza kwa mapato ya TRA kati ya Mwanza na arusha jamaa wa kwimbaKatafte kati ya Mwanza na Arusha ni hipi juu kimapato na inayo ongoza kuchangia ktk Pato la taifa we jamaa wa Ngaranero
Tulishazirusha mda tu we umevamia thread mmepitwa wingi wa maghorofa, makusanyo ya TRA, miamala ya simuDodoma bado saaaana, Ila Magufuli aliipambania sana
Msiwaonee wivu wanakuja vizuri wameanza na mipango miji dodoma mitaa yote inapendeza funzo kwetu arusha, mwanza na hata mbeyaDodoma bado saaaana, Ila Magufuli aliipambania sana
Dodoma masikini ni wengi mnooooTulishazirusha mda tu we umevamia thread mmepitwa wingi wa maghorofa, makusanyo ya TRA, miamala ya simu
hadi idadi ya vingamuzi yan mwanza ni lidude likubwa empty π
Sihitaji kutafuta najua kwamba ni Arusha,nyie wa Mwanza mimezidiwa Hadi na DodomaKatafte kati ya Mwanza na Arusha ni hipi juu kimapato na inayo ongoza kuchangia ktk Pato la taifa we jamaa wa Ngaranero
Nikuwekee matokeo ya sensa? Usije kimbia ππDodoma masikini ni wengi mnoooo