Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Ninaweza nikakuletea Majengo marefu ambayo sio ya serikali,kama unataka proof nikuletee?
Hata ukimtajia NSSF kaloleni ... Kwan ni ya serikali Ile ... majengo ya wanachama wa mifuko ya hifadhi anayaita ya serikali [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hivi kwanza mi najiuliza Mikoa kama Mwanza ,dar na Arusha unakuta tajri anawekeza anajenga mall,ghorofa n.k ,hivi huko Dom hakuna matajiri au watu binafsi? Kwa kifupi ni hapana ,Dom uwezi ukaweka uwekezaji wowote ukaleta tija
Unachekesha aisee nina wasiwasi hujawahi kuishi Dom inawezekana ulikatisha tu njia wakati unaelekea mkoani kwako😆😆.

Nakutajia baadhi ya wawekezaji wakubwa binafsi Dom ,👇👇
Shoppers Plaza
City Mall
GSM
Morena&Royal Village Hotels(zote za Abood)
St Gaspar Hotel& Conference Center(Mapadri wa Damu Azizi Ya Yesu)
Alko Vintages
DIPC
DCMC

Na hapo bado sijakutajia wawekezaji wengine kwenye sekta za VIWANDA,MEDIA(zaidi ya radio stations 12 plus one TV station),MAHOTELI (Best Western City Hotel,African Dreams,Nasheera,Karibu Rafiki,Golden Crown,Dodoma Hotel,Dear Mama, Midlands Hotel n.k)
 
Ujinga ni wako unayesema pesa za michango ya wanachama ni za serikali [emoji15][emoji28]
Things Arusha Camp Site and Mwanza is big Slum will keep on dreaming while they are happening in Dom City

Mambo ni 🔥🔥🔥🔥
Screenshot_20230727-092753.jpg
20230727_092707.jpg
20230727_092747.jpg
 
Hata Dodoma iwe kubwa kimiundo mbinu, majengo, kipato nk. Hata iwe kubwa kuliko Nairobi au Johannesburg HAITAKUJA KUWA KAMA DSM AU ARUSHA . Dodoma hali ya hewa ni mbaya kuliko sura ya ngiri. Maji mabovu, vumbi, jua la ajabu linakuchoma na hutoi jasho yaani jua likiwaka inabidi ufinye macho. KIUHALISIA DODOMA HALI YA HEWA HUWEZI KUJISIKIA COMFORTABLE. YA NINI KUISHI SEHEMU INAYOFANANA NA SUDAN WAKATI KUNA SEHEMU KAMA DSM, ARUSHA, MWANZA, MBEYA nk.
Ukiona jiji linakuwa lakini wageni/wazungu hawataki kuishi hapo basi ujue sio poa.

Hivyo hata lijengwe kuzidi London
 
Ingekuwa Sudan hakuna watu tungekuelewa ila Kwa kuwa wapo na wanafuata pesa basi Camp za Kitalii kama Arusha na Slums dizaini ya Mwanza nabeya kamwe hazitakuja kuifikia Dom by any means.

Zaidi ya kulingishia mapori mnayoita kijana hakuna jipya jingine.

Mwisho hakuna mahala Dom inalinganishwa na Dar ila inalinganishwa na Vijiji vingine vya Arusha,Mwanza na Mbeya.
 
vipicha vichache vya majengo ya serikali mtumba na hicho kihoteli cha jiji dodoma checnye parking space kumi tu ndizo zimemzuzua
Dom ni kubwa mara 2 ya Arusha.Umewahi kuja Dom ukakosa pa kulala?
 
mara nyingi. kila baada ya wiki mbili nakuwa dom au napita dom kwenda mikoa mingine kwa shughuli zangu. Kukiwa vikao vya ccm tu, hoteli zote na vigesti vyote hata vya uchochoroni vinajaa. Pia hoteli nyingi za dodoma ni chafu, breakfast zao ni mbovu hata huwa sili unaweza ukatapika kama unabisha asubuhi nenda area c pale simba hotel, lion lodge, faru lodge, safari na vihotel na vilodge vyote vilivyoko maeneo yale na dodoma yote ni aibu, isipokuwa sehemu chache kama Kemy Lodge

Ninaijua dodoma tangu kikiwa kimji kidogo sana miaka ya 1980's nikiwa nasoma mazengo secondary na baadaye baada ya chuo nikafanya kazi dom, ninaijua dodoma ndani nje mpaka imekuwa hivyo ilivyo, hakuna kitu cha maana cha kuringishia, bado sana.
kuisifia dodoma na kuiponda miji/majiji ya zamani ni kutimiza dhana/mithali ya mwamba ngoma huvutia kwake lakini dodoma hakuna lolote.
Ndiyo sababu hata rais ye yote wa nchi hata akiwa peke yake akifanya ziara tz haletwi dodoma-makao makuu maana ni aibu. Uncle magu alikurupuka bila kupaandaa.
 
Vikao vya ccm vinakuwaga na deligates wangapi? Dom ni Mji mkuu Ina Wageni mda wote wa kiserikali na watu binafsi wanakuja Kwa shughuli hasa za ujenzi.

Kusema sijui vigesti vyote vimejaa mara vichafu ni blaa blaa tuu za wivu manaa inakuaje hivyo vichafu vijae? Kwamba Huwa huli yaani Kwa sababu Kila sehemu ni chafu 🤣🤣🤣.

Mara sijui Rais wa Nchi haletwi kwani Dom Kuna uwanja wa ndege na VIP Lounge vya kumpokea Rais wa Nje? Hizo miundombinu zote ziko under construction zikikamilika Wageni wote watakuja Dom..

Mwisho kinachokuuma ni kwamba wakati Dom ni huge construction site imeshapiga chini hivyo Vimji vyenu uchwara hapa unatafuta kujifariji.Hakuna Jiji linajengwa Kwa Kasi kushinda Dom Nje ya Dar.

Tulieni hivyo hivyo dozi iwaingie, miundombinu yote ya kiserikali ikikamilika Maji mtaita mmaaa,huu ni Mwanzo tuu.
 
mji mkuu haimaanishi ni mkubwa na maridadi. mji mkuu ni political name tu...na hoja zako ni za kitoto sana.
 
Sasa Dom Ina vyote na imekuwa hivyo kabla hata ya kuwa Mji Mkuu

Mwaka 2012 Dom ilikuwa na watu wengi kushinda Arusha japo haikuwa imeendelea kama Arusha au Mwanza ila baada ya mwaka 2016 Dom inakimbia kuanzia viwanda Hadi mambo ya kiserikali
 
Viwanda gani ivo mtu akawekeze Dom jamani
 
Vikao vya ccm vinakuwaga na deligates wangapi? Dom ni Mji mkuu Ina Wageni mda wote wa kiserikali na watu binafsi wanakuja Kwa shughuli hasa za ujenzi.

Kusema sijui vigesti vyote vimejaa mara vichafu ni blaa blaa tuu za wivu manaa inakuaje hivyo vichafu vijae? Kwamba Huwa huli yaani Kwa sababu Kila sehemu ni chafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Mara sijui Rais wa Nchi haletwi kwani Dom Kuna uwanja wa ndege na VIP Lounge vya kumpokea Rais wa Nje? Hizo miundombinu zote ziko under construction zikikamilika Wageni wote watakuja Dom..

Mwisho kinachokuuma ni kwamba wakati Dom ni huge construction site imeshapiga chini hivyo Vimji vyenu uchwara hapa unatafuta kujifariji.Hakuna Jiji linajengwa Kwa Kasi kushinda Dom Nje ya Dar.

Tulieni hivyo hivyo dozi iwaingie, miundombinu yote ya kiserikali ikikamilika Maji mtaita mmaaa,huu ni Mwanzo tuu.
Hakuna Rais atakae pelekwa Dom ase kwanza hali ya hewa hairidhishi
 
Unachekesha aisee nina wasiwasi hujawahi kuishi Dom inawezekana ulikatisha tu njia wakati unaelekea mkoani kwako[emoji38][emoji38].

Nakutajia baadhi ya wawekezaji wakubwa binafsi Dom ,[emoji116][emoji116]
Shoppers Plaza
City Mall
GSM
Morena&Royal Village Hotels(zote za Abood)
St Gaspar Hotel& Conference Center(Mapadri wa Damu Azizi Ya Yesu)
Alko Vintages
DIPC
DCMC

Na hapo bado sijakutajia wawekezaji wengine kwenye sekta za VIWANDA,MEDIA(zaidi ya radio stations 12 plus one TV station),MAHOTELI (Best Western City Hotel,African Dreams,Nasheera,Karibu Rafiki,Golden Crown,Dodoma Hotel,Dear Mama, Midlands Hotel n.k)
We mpumbavu kweli kwamba GSM ndio matajiri wa dodoma ?! Mbona hao GSM mikoa kama Mwanza na Arusha wanaviduka vyao uchwara ...nazungumzia matajiri wa Jiji la Dom ,kama unavoskia Matias manga Kajenga ghorofa la floors 14 Arusha au kama unavoskia Jumanne Kishimba ana kivuko chake Cha Abiria Mkoani mwanza
 
Hakuna Rais atakae pelekwa Dom ase kwanza hali ya hewa hairidhishi
Aisee Hali ya Hewa ya Sudan au Cairo ni nzuri sana kushinda ya Dom si ndio? 🤣🤣🤣🤣

Endeleeni kujifariji ila Dom ndio hiyoo inazidi kukimbiza both economically and socially masare
Screenshot_20230727-133812.jpg
Screenshot_20230727-133812.jpg
 
We mpumbavu kweli kwamba GSM ndio matajiri wa dodoma ?! Mbona hao GSM mikoa kama Mwanza na Arusha wanaviduka vyao uchwara ...nazungumzia matajiri wa Jiji la Dom ,kama unavoskia Matias manga Kajenga ghorofa la floors 14 Arusha au kama unavoskia Jumanne Kishimba ana kivuko chake Cha Abiria Mkoani mwanza
Viwanda gani ivo mtu akawekeze Dom jamani
Haters wa Dom mna wivu na matatizo makubwa sana,wahuni mpate Huduma ya Afya ya akili Mirembe..

Dom Ina viwanda vya kutosha tuu Baadhi yake ni kiwanda Cha mbolea,kiwanda Cha magodoro,kiwanda Cha Mabati,Kiwanda Cha kuchenjua dhahabu,viwanda vya wine,viwanda vya Nafaka eg CPB nk

Ukiacha hivyo Uwekezaji unakua Kwa Kasi Dodoma.Kwa mujibu wa TIC Mikoa inayoingiza Kwa miradi ya uwekezaji ni
Dar
Pwani
Dodoma
Screenshot_20230727-133812.jpg

Kwa taarifa yenu tuu Dodoma sio Canbera au Washington DC Bali ni kama Khatourm au Tehran
 
Hata ukimtajia NSSF kaloleni ... Kwan ni ya serikali Ile ... majengo ya wanachama wa mifuko ya hifadhi anayaita ya serikali [emoji16][emoji16][emoji16]
We unaumwa sio bure kwamba NSSF sio ya serikali? kwani huo mfuko una watu wa Arusha tu ...Ni sehemu ya serikali hata lile la posta kifupi hamna kipya hapo
 
Back
Top Bottom