Mimi nimeamua nitulie maana siwezi kushiriki dhambi ya kulinganisha Mwanza na Dodoma hata siku moja! Mwanza is far ahead kwa Dodoma narudia tena labda baada ya miaka 10.
Ukitoa swala la barabara tu ambazo serikali lazima itajenga tu pale Mwanza lakini mambo mengine yote Mwanza ipo mbali sana kwa Dodoma
-Population
-Viwanda
-Mzunguko wa pesa kwenye jiji
-Private investments
hata hizo huduma za jamii kwa mfano Hospitali ya BMC ukubwa wake unaweza kusanya hospitali zote za Dodoma.
Uwanja wa ndege wa Mwanza unahudumia 40% ya domestic Passengers wote wa ATCL wana route sio chini ya 4 kwa siku Dar to Mwanza na hapo bado mashirika mengine.
Ndio maana nikauliza au ni Mwanza nyingine sio hii ya Tanzania? kama ni hii inayojengwa daraja refu nchini km 3.2 au hii inayojengwa daraja la juu la sgr (Viaduct) km 1.4 mimi najitoa kwenye hiyo dhambi wewe endelea na mjadala.
Sent from my D6503 using
JamiiForums mobile app