Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Mbona unaruka ruka tu kubadili topics...nimeshakwambia population inapimwa kwa idadi ya watu sio eneo.Ukiulizwa leo taja majiji yenye watu wengi duniani utaangalia idadi ya watu au eneo la mji[emoji3][emoji3][emoji3].
Alafu fact nyingine ni kwamba population wala sio kigezo cha kupima ubora wa mji...unaweza kuwa na mji una population kubwa lakini mipangomiji,miundombinu na huduma za kijamii ni mbovu na vilevile unaweza kuwa na mji una watu wachache na ukawa bora kuzidi wenye watu wengi.
Nakupa mfano Jiji la Luxembourg au Monaco City yana wakazi chini ya lakitano lakini kimaendeleo yamepita mbali sana majiji mengine yenye wakazi zaidi ya milioni mbili mfano Bucharest.
Wewe ndio unaruka ruka bro kwa kifupi hapo ni kwamba mjii mkuu kama dom ungetakiwa uwe una battle na miji kama Nairobi,Kigali n.k matokeo yake nakubebwa kote lakin hamna vioja Jiji lenywe Bado kituko hata kwa mji kama iringa hailingii hata punje
 
[emoji3][emoji3]Bado sana kwa vigezo vipi ebu tutajie kama ni
-ubora wa mipango miji
-miundombinu
-huduma za kijamii
-uwepo wa ofisi na taasisi nyingi za serikali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwaiyo izo ofisi ndio kitu Cha kusifia
 
Wewe ndio unaruka ruka bro kwa kifupi hapo ni kwamba mjii mkuu kama dom ungetakiwa uwe una battle na miji kama Nairobi,Kigali n.k matokeo yake nakubebwa kote lakin hamna vioja Jiji lenywe Bado kituko hata kwa mji kama iringa hailingii hata punje
Kubali matokeo aisee...wivu na chuki kwa Dom City havitakusaidia huo ndio ukweli. Dom City kwa sasa apa Tanzania ishawakalisha Arusha,baada ya Dar ni Dom.Hii thread haihusu Kigali wala Nairobi usitake kujitoa ufahamu😀😀
 
Kwaiyo izo ofisi ndio kitu Cha kusifia
Mimi nimeamua nitulie maana siwezi kushiriki dhambi ya kulinganisha Mwanza na Dodoma hata siku moja! Mwanza is far ahead kwa Dodoma narudia tena labda baada ya miaka 10.

Ukitoa swala la barabara tu ambazo serikali lazima itajenga tu pale Mwanza lakini mambo mengine yote Mwanza ipo mbali sana kwa Dodoma
-Population
-Viwanda
-Mzunguko wa pesa kwenye jiji
-Private investments
hata hizo huduma za jamii kwa mfano Hospitali ya BMC ukubwa wake unaweza kusanya hospitali zote za Dodoma.

Uwanja wa ndege wa Mwanza unahudumia 40% ya domestic Passengers wote wa ATCL wana route sio chini ya 4 kwa siku Dar to Mwanza na hapo bado mashirika mengine.

Ndio maana nikauliza au ni Mwanza nyingine sio hii ya Tanzania? kama ni hii inayojengwa daraja refu nchini km 3.2 au hii inayojengwa daraja la juu la sgr (Viaduct) km 1.4 mimi najitoa kwenye hiyo dhambi wewe endelea na mjadala.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Mwanza inachozidi Dom ni population basi acha porojo.
-Unazungumzia BMC ambayo hadhi yake ni hospitali ya kanda wakati Dodoma wana hospitali yenye hadhi ya taifa(national hospital) mirembe
-Mipango miji...hakuna jiji linalofikia Dom kwa ubora wa mipango miji East Africa(zaidi ya asilimia 95 ya jiji imepimwa Dom hakuna makazi holela ukijaribu kujenga ovyo haipiti hata wiki jamaa wa CDA/Jiji wanakuja kuweka alama ya kubomolewa..Dom mitaa ambayo unaweza kuita uswahilini ni Chang'ombe,Makulu labda na Chadulu kidogo lakini kwingine kote huwezi kukuta slums au watu wamejijengea ovyoovyo kama zile za milimani Mwanza)
-Miundombinu ..Dodoma inaongoza kwa mtandao mpana wa barabara za lami ndani ya CBD .Dom hakuna kabisa changamoto ya barabara kama ilivyo kwa Mwanza
-Viwanda... Dom vipo vingi sana sekta moja tu ya Zabibu kuna viwanda zaidi ya ishirini vya Wine
-Investments hapo ndio usiseme uwekezaji wa serikali ni mabilioni ya pesa .Kumbuka huko Dom serikali inapapendelea sana😀😀
-SGR Dom almost inaelekea kukamilika

Kiuhalisia Mwanza inachozidi Dom ni population(hilo halina ubishi) na viwanda vya samaki.Hakuna vigezo vingine vyenye facts ambavyo unaweza kusema ni peculiar kwa Mwanza kuliko Dom
 
Mwanza inachozidi Dom ni population basi acha porojo.
-Unazungumzia BMC ambayo hadhi yake ni hospitali ya kanda wakati Dodoma wana hospitali yenye hadhi ya taifa(national hospital) mirembe
-Mipango miji...hakuna jiji linalofikia Dom kwa ubora wa mipango miji East Africa(zaidi ya asilimia 95 ya jiji imepimwa Dom hakuna makazi holela ukijaribu kujenga ovyo haipiti hata wiki jamaa wa CDA/Jiji wanakuja kuweka alama ya kubomolewa..Dom mitaa ambayo unaweza kuita uswahilini ni Chang'ombe,Makulu labda na Chadulu kidogo lakini kwingine kote huwezi kukuta slums au watu wamejijengea ovyoovyo kama zile za milimani Mwanza)
-Miundombinu ..Dodoma inaongoza kwa mtandao mpana wa barabara za lami ndani ya CBD .Dom hakuna kabisa changamoto ya barabara kama ilivyo kwa Mwanza
-Viwanda... Dom vipo vingi sana sekta moja tu ya Zabibu kuna viwanda zaidi ya ishirini vya Wine
-Investments hapo ndio usiseme uwekezaji wa serikali ni mabilioni ya pesa .Kumbuka huko Dom serikali inapapendelea sana[emoji3][emoji3]
-SGR Dom almost inaelekea kukamilika

Kiuhalisia Mwanza inachozidi Dom ni population(hilo halina ubishi) na viwanda vya samaki.Hakuna vigezo vingine vyenye facts ambavyo unaweza kusema ni peculiar kwa Mwanza kuliko Dom
[emoji120][emoji120][emoji120] umeshinda mkuu endelea na watu wa Arusha kwani ndio mada husika inavosema Dodoma vs Arusha.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Dodoma Mnayozungumziaga daily inaizidi Mwanza ndo hii au kunae nyingine
20230803_134417.jpg

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Ndio hiyo hiyo ...Leo Kuna Demu nilikuwa nae ametoka dodoma huko hivi karibuni,kwakweli ananambia ameshindwa vumilia huko kuanzia mazingira,huduma za kijamii na usafiri
Anadeka kwani huko Dom Huwa anatoa wanaoishi ni nguruwe?

Kukuta mitaa safi kama huu wa Dom hapo Arusha Camp Site ni ngumu sana
FB_IMG_1691468578356.jpg
 
Back
Top Bottom