Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

kupangiliwa vizuri mipangomiji jiji la Dodoma hiyo ndio top advantage iliyo nayo Dom kulinganisha na miji mengine nikupe mifano miwili tu[emoji116][emoji116]
-Kutokana na ubora wa mipangomiji na miundombinu ya jiji la Dodoma ...Dodoma ndio jiji pekee Tanzania ambalo ikitokea ajali ya moto magari ya zimamoto yanafika chap kwa haraka na kwenye exact location.Nakumbuka kipindi fulani ilitokea ajali ya nyumba kuwaka moto maeneo ya Area A yaani ilichukua dakika chache sana gari ya zimamoto kutoka Zimamoto Makao Makuu kule Makole pamoja na gari la zimamoto kutoka Airport kufika na kuzima moto kwa haraka.Ingekuwa vichochoro kama vya miji mingine yenye makazi uchwara na mipangomiji ya hovyo hali ingekua mbaya sana
-Mfano wa pili ni kuhusu usalama wa raia.Kutokana na Dodoma kupangiliwa vizuri mipango miji na miundombinu ni nadra sana kusikia matukio ya ujambazi ndani ya jiji la Dodoma.Kwa namna mji ulivyopangwa ni ngumu sana majambazi kukimbia nje ya mji tofauti ni miji mingine mfano Dar ambapo majambazi wanaiba benki na bado wanafanikiwa kutoroka kupitia vichochoro vya uswahilini.Sikumbuki mara ya mwisho lini nimesikia tukio la ujambazi au wizi mkubwa ndani ya Dom City
Hoja dhaifu Sana hii
 
mkuu dom ilikuwa designated kama mji mkuu wa Tz toka mwaka 1974 na hakuna any conflict since then..kulinganisha Jerusalem mji wenye conflict kati ya Israel&Palestina na Dodoma ambayo haijawahi kuwa na conflict ni kutofahamu mambo ya kuwa capital city...mchakato wa Dodoma kuwa mji mkuu ulianza hiyo 1974 na hadi leo miaka zaidi ya 49 hakuna embassy iliyojenga dom!..Abuja ilikuwa designated kama capital ya Nigeria 1991 na embassy zote zilishahamia Abuja kutoka Lagos...je utahitaji mchakato wa miaka mingapi dom kuwa na embassy?miaka mia moja?

..ukuaji upi huo wa dom wenye kushinda arusha, mwanza, dsm?.dom imeanza kuwa capital toka 1974 na pesa nyingi kuwekwa na Gov ila imeshindwa kukua...mfano wa Johannesburg na nairobi nimeutoa kwa maana ya kama pesa zilizowekezwa dom miaka yote na Gov zingewekezwa hiyo miji mingine basi tungekuwa tumefika levels za Johannesburg na nairobi
Embassy zitakujaje wakati hakuna Airports na miundombinu mingine muhimu?

Nigeria iliweka Nguvu kubwa Abuja ila sisi hapa Tanzania Serikali inajivuta vuta.

Kwa hiyo mambo yatajipa
 
Nani anaweza kuishi kwenye lile vumbi la Dom nilikaa pale siku mbili kwakweli nilishindwana na vumbi
Tutajie barabara yoyote ya vumbi uliyokaa kwa hizo sikumbili.....hakuna mji wowote Tanzania unaogusa hata pua kwa jiji la Dodoma lenye lami kila kona hadi ndani ndani huko Nkuhungu. Wadanganye wenzako ambao hawajawahi kufika Dom City
 
Huko ambako sio planned mara ya mwisho umesikia lini [emoji53]
Rudi shule aisee...umewahi kusikia popote tukio la ujambazi au wizi mkubwa ndani ya jiji la Dodoma?? Jiulize ni kwanini.Miji mingine yote mikubwa ya Tanzania ujambazi ikiwemo wa kutumia silaha ni kawaida sana.
Dom City is the only safest city in East and Central Africa(ukibisha uje na facts kama hizo apo juu)
Na hiyo yote inatokana na ubora wa mipango miji. Mji umepangiliwa kiusalama ndiomana hata majambazi wanaogopa kufanya uhalifu watakamatwa kiulaini tu.
Just imagine ufanye ujambazi katikati ya jiji utakimbilia njia ipi ...main roads zinajulikana,feeder roads zimepangiliwa hakuna vichochoro wala makazi ya ovyoovyo,kila upande wa Jiji kwamfano kuna kambi za Jeshi Ihumwa-njia ya Dar,Makutupora-njia ya Arusha,Msalato njia ya Arusha na Singida,Kambi ndogo ya Jeshi Ntyuka-njia ya Mvumi n.k
 
mkuu dom ilikuwa designated kama mji mkuu wa Tz toka mwaka 1974 na hakuna any conflict since then..kulinganisha Jerusalem mji wenye conflict kati ya Israel&Palestina na Dodoma ambayo haijawahi kuwa na conflict ni kutofahamu mambo ya kuwa capital city...mchakato wa Dodoma kuwa mji mkuu ulianza hiyo 1974 na hadi leo miaka zaidi ya 49 hakuna embassy iliyojenga dom!..Abuja ilikuwa designated kama capital ya Nigeria 1991 na embassy zote zilishahamia Abuja kutoka Lagos...je utahitaji mchakato wa miaka mingapi dom kuwa na embassy?miaka mia moja?

..ukuaji upi huo wa dom wenye kushinda arusha, mwanza, dsm?.dom imeanza kuwa capital toka 1974 na pesa nyingi kuwekwa na Gov ila imeshindwa kukua...mfano wa Johannesburg na nairobi nimeutoa kwa maana ya kama pesa zilizowekezwa dom miaka yote na Gov zingewekezwa hiyo miji mingine basi tungekuwa tumefika levels za Johannesburg na nairobi
Mkuu mbona hueleweki ...manake sioni changamoto yoyote unayoitaja exactly kuhusu ukuaji wa jiji la Dodoma. Maendeleo ni continuous&sustainable process sio suala la sikumoja.
So far mpaka sasa Dom inashika nafasi ya pili kwa ubora na ukuaji wa majiji Tanzania baada ya Dar na vigezo ni vilevile ambavyo Arusha na Mwanza hawafiki hata robo kwamfano
1.ubora wa miundombinu
2.ubora wa mipangomiji
3.ubora wa huduma za kijamii
4.uwekezaji mkubwa wa serikali
Just imagine Dodoma ilipewa hadhi ya Jiji 2017....miaka mitano baadae spidi yake huwezi kulinganisha na Mwanza iliyopewa mwaka 2000 au Arusha
 
mkuu sasa kuna vitu gani vya kuiba dom?.suala la uhalifu halihusiani na mpangilio wa mji...majiji makubwa yaliyopangiliwa kama new York, London, etc kuna uhalifu sababu kuna vitu vyenye thamani vya kuiba..sasa kama mji hauna ukuaji vibaka wataenda kufanya nini?..

..pia ujue hata mji wa dsm ulipangwa vizuri na mkoloni ni vile tu kuna fursa na ukuaji wa haraka ndio leo unauona hauna mpangilio..the same inaweza kuja kutokea kwa dom ukisha-grow na kuwa na fursa!
Unachekesha sana mkuu eti mji hauna ukuaji👇👇
-makao makuu ya serikali(Executive)...ofisizote,taasisi,wizarazote za serikali
-makao makuu ya chama
-makao makuu ya Bunge
-makao makuu ya Judiciary

Kwenye upande wa ubora wa mipangomiji Dodoma haina mpinzani yoyote East and Central Africa .Dodoma inafuata master plan ambayo imetengenezwa kuaccomodate miaka 100 mbele huko refer barabara za Ring Roads....yaani hata mji ukue vp haitakuja kutokea changamoto ya mipangomiji kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na CDA from the scratch.
 
Rudi shule aisee...umewahi kusikia popote tukio la ujambazi au wizi mkubwa ndani ya jiji la Dodoma?? Jiulize ni kwanini.Miji mingine yote mikubwa ya Tanzania ujambazi ikiwemo wa kutumia silaha ni kawaida sana.
Dom City is the only safest city in East and Central Africa(ukibisha uje na facts kama hizo apo juu)
Na hiyo yote inatokana na ubora wa mipango miji. Mji umepangiliwa kiusalama ndiomana hata majambazi wanaogopa kufanya uhalifu watakamatwa kiulaini tu.
Just imagine ufanye ujambazi katikati ya jiji utakimbilia njia ipi ...main roads zinajulikana,feeder roads zimepangiliwa hakuna vichochoro wala makazi ya ovyoovyo,kila upande wa Jiji kwamfano kuna kambi za Jeshi Ihumwa-njia ya Dar,Makutupora-njia ya Arusha,Msalato njia ya Arusha na Singida,Kambi ndogo ya Jeshi Ntyuka-njia ya Mvumi n.k
Tukuletee takwimu??
 
Tukuletee takwimu??
Leta takwimu za kipolisi...
-umewahi kusikia tukio lolote la ujambazi au wizi mkubwa ndani ya Dodoma Jiji
-Mara ya mwisho kumuona kamanda wa polisi Dodoma akitangaza tukio lolote la uhalifu lini
 
Mkuu mbona hueleweki ...manake sioni changamoto yoyote unayoitaja exactly kuhusu ukuaji wa jiji la Dodoma. Maendeleo ni continuous&sustainable process sio suala la sikumoja.
So far mpaka sasa Dom inashika nafasi ya pili kwa ubora na ukuaji wa majiji Tanzania baada ya Dar na vigezo ni vilevile ambavyo Arusha na Mwanza hawafiki hata robo kwamfano
1.ubora wa miundombinu
2.ubora wa mipangomiji
3.ubora wa huduma za kijamii
4.uwekezaji mkubwa wa serikali
Just imagine Dodoma ilipewa hadhi ya Jiji 2017....miaka mitano baadae spidi yake huwezi kulinganisha na Mwanza iliyopewa mwaka 2000 au Arusha
..mkuu swali zuri kuhusu changamoto zipi za ukuaji wa dom...changamoto kubwa ni uzembe wa wenyeji wa dom kushindwa kujiongeza na kuchangamkia fursa...uzembe wa wenyeji umeshindwa kuwavutia wageni (watz kutoa maeneo mengine)...wenyeji wana sehemu kubwa sana ya kuchochea ukuaji wa mji...kuna wageni wamejaribu kujenga hotel nzuri tu hapo dom lakini kwasababu zilizo wazi wameajiri baadhi ya wenyeji ambao wamepelekea hotels kuwa na huduma mbovu kwa kutojiongeza!

..dom ni mji pekee wenye hadhi ya capital city ukanda wa afrika mashariki ambao ikishafika saa mbili usiku unakua umelala...sijapata kuona mji ambao watu hulala mapema na kuchelewa kuamka kama dom kwa hadhi ya capital city!..sababu nyingine ni za kimazingira ambazo zitachukua miaka mingi sana kuzibadilisha kwa uzembe wa wenyeji.
 
Unachekesha sana mkuu eti mji hauna ukuaji👇👇
-makao makuu ya serikali(Executive)...ofisizote,taasisi,wizarazote za serikali
-makao makuu ya chama
-makao makuu ya Bunge
-makao makuu ya Judiciary

Kwenye upande wa ubora wa mipangomiji Dodoma haina mpinzani yoyote East and Central Africa .Dodoma inafuata master plan ambayo imetengenezwa kuaccomodate miaka 100 mbele huko refer barabara za Ring Roads....yaani hata mji ukue vp haitakuja kutokea changamoto ya mipangomiji kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na CDA from the scratch.
..mkuu hakuna barabara za ring roads zinazoweza kukidhi mahitaji ya capital city kwa miaka mia ijayo..hakuna..miji mikubwa ilishatoka huko kwa ring roads miaka zaidi ya 50 iliyopita...wenzetu tena majirani tu hapo walishajenga flyovers, expressways, etc..hapo nairob tu kuna expressway yenye urefu wa 27km..yaani unatembea 27km hewani bila kushuka chini...sasa utalinganisha na ring-road?watu walishajenga na wengine wanamipango ya underground tunnels za trains (subways)..hizi ndio mambo za kukaa miaka mia sio hizo ringroads mkuu!..tembea utaona mengi mkuu but dom bado sana maana toka imeanza kuwa capital city 49yrs ago haikutakiwa kuwa ilipo sasa.
 
..mkuu swali zuri kuhusu changamoto zipi za ukuaji wa dom...changamoto kubwa ni uzembe wa wenyeji wa dom kushindwa kujiongeza na kuchangamkia fursa...uzembe wa wenyeji umeshindwa kuwavutia wageni (watz kutoa maeneo mengine)...wenyeji wana sehemu kubwa sana ya kuchochea ukuaji wa mji...kuna wageni wamejaribu kujenga hotel nzuri tu hapo dom lakini kwasababu zilizo wazi wameajiri baadhi ya wenyeji ambao wamepelekea hotels kuwa na huduma mbovu kwa kutojiongeza!

..dom ni mji pekee wenye hadhi ya capital city ukanda wa afrika mashariki ambao ikishafika saa mbili usiku unakua umelala...sijapata kuona mji ambao watu hulala mapema na kuchelewa kuamka kama dom kwa hadhi ya capital city!..sababu nyingine ni za kimazingira ambazo zitachukua miaka mingi sana kuzibadilisha kwa uzembe wa wenyeji.
-nimeishi na kufanya kazi halmashauri zote 8 za mkoa wa Dodoma ...Warangi,Wasandawe,Wanguu,Waburunge,Wasagara,Wanyambwa,Wakaguru hawana sifa ya uzembe wala uvivu.Ukienda pale sokokuu la Majengo Wanguu wametawala biashara pale,ukienda maduka ya One Way Warangi wametawala pale hadi kuna mitaa inaitwa ya Warangi.
-Hizo hotels unazosema zina huduma mbovu ni zipi ebu tutajie kama ni Royal Village,St Gaspar,NAM,DearMama,DM,Golden Crown,Miramonti,Dodoma Grand,DodomaHotel,Morena,African Dreams,Midlands,Karibu Rafiki,Nasheera au Bestern Western City Hotel(5 star hotel in Dom)
 
..mkuu hakuna barabara za ring roads zinazoweza kukidhi mahitaji ya capital city kwa miaka mia ijayo..hakuna..miji mikubwa ilishatoka huko kwa ring roads miaka zaidi ya 50 iliyopita...wenzetu tena majirani tu hapo walishajenga flyovers, expressways, etc..hapo nairob tu kuna expressway yenye urefu wa 27km..yaani unatembea 27km hewani bila kushuka chini...sasa utalinganisha na ring-road?watu walishajenga na wengine wanamipango ya underground tunnels za trains (subways)..hizi ndio mambo za kukaa miaka mia sio hizo ringroads mkuu!..tembea utaona mengi mkuu but dom bado sana maana toka imeanza kuwa capital city 49yrs ago haikutakiwa kuwa ilipo sasa.
Mkuu naona unachanganya mambo Dom ilipewa capital status 1974 ikiwa na population ya watu elfu 40 tu,mwaka 1980 ndio ikapewa hadhi ya manispaa na ikapewa city status 2018.Dom ilipopewa capital status iliwekwa chini ya uangalizi wa CDA na kulikua na changamoto nyingi za kifedha pamoja na kutokua na nia thabiti ya serikali kuhamia.Kuanzia 2018 ndio hapa tunaweza kusema kiuhalisia mambo yalianza kupush kuelekea lengo halisi.
Ukifuata hizo facts nadhani kulinganisha Dodoma na majiji ya nje ya nchi sio sawa utakua unaionea tu....lakini ukilinganisha kibongobongo hapa Dom City is much better kuliko majiji yote.Kwa mfano kigezo hicho kimoja tu cha mipangomiji ukifika Dodoma nyumba zote zimepangiliwa(hairuhusiwi kujenga bila kupitisha kwanza ramani yako kukaguliwa CDA/Jiji,Paa la nyumba au jengo lako linatakiwa kufuata rangi iliyowekwa kwa kila mtaa) ujenzi holela ni kiwango kidogo sana .Mitaa ambayo unaweza kuiita uswahilini labda baadhi ya maeneo ya Chang'ombe,Kizota,Mkalama na Chadulu lakini kwingine kote kumepangwa vizuri huwezi kulinganisha na mji wowote Tanzania.
 
Mkuu kiswahili huelewi au hujasoma apo juu.Jitahidi uwe unajibu hoja kwa facts sio ushabiki,chuki na wivu[emoji116][emoji116]
-Mahakama ya UN-ICTR ilishafungwa tangu mwaka 2015
-Headquarters ya Tume ya Atomiki ilishahamishwa zamani ipo Kikombo, Dodoma.
-Ofisi za mashirika ya kimataifa Dom zimejaa hazina idadi (hadi BALOZI zishafunguliwa mfano Ubalozi mdogo wa Ujerumani)
-Vyuo Vikuu Dom apo ndio usiseme (Udom pekee kina uwezo wa kuchukua kwa pamoja wanavyuo wote wa Arusha hadi vyuo vya kati na bado nafasi ikabaki[emoji38][emoji38])
-Unazungumzia Arusha kuwa Makao makuu ya EAC huku unasahau kuwa Dom City sio tu Makao makuu ya Serikali(Executive) bali pia ni makao makuu ya chama,makao makuu ya Bunge na Makao makuu ya Judiciary .

Nasisitiza tena Arusha mnachowazidi Dom ni uwekezaji kwenye sekta ya utalii basi lakini vigezo vingine vya kupima ubora wa Jiji washawakalisha tayari[emoji38][emoji38].Ukibisha uje na facts kama hizo apo juu sio porojo

Sijajua, ofisi za atomic hazipo tena Arusha? Majengo yao pale wanayafanyia nini?
 
Back
Top Bottom