ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Radio TadioKwa mara ya mwisho ulisikia ni lini Kuna njaa Dom?
Nimeuliza kwani Ili Mji ukue inahitaji Utalii na mbuga pekee?
Mji gani hauna natura factors? Irrigation farming ni uhakika kuliko Kilimo Cha mvua.
Hapo Arusha Ardhi yake nyingi Iko protected na uhifadhi na imehodhiwa sana tofauti na Dodoma.
Dodoma Haina mvua nyingi lakini Ina maji ya kutosha Ardhini na Ardhi ambayo ni tambarare sehemu kubwa ukitoa Kondoa.
Madini yapo na geografia yake ya kuwa junction ni turufu muhimu sana.Saizi Dom ni soko kama ilivyo Dar au Mwanza.Arusha sio somo ni producing area.
https://radiotadio.co.tz › 2023/03/31
Tishio la upungufu wa Chakula Dodoma
31 Mar 2023 — ... la njaa ambalo linaweza kuukumba Mkoa endapo suluhisho la haraka halitafanyika. Sauti ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Muonekano wa mazao katika ...
Missing: