Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

Hii nchi siku wananchi wakijua mambo wanayofanyiwa inaweza kutokea shida kubwa.

Waheshimiwa mliojisahau na kuona mkiwa na vyeo kazi yenu ni kusosomola tu, hii ni mbaya sana, stukeni na kurudi kwenye mstari kabla raia hawajaamka na kuanza kudai haki zao na mali zao.
Hawa mnaowaona wapumbavu kuna siku wataamka watadhalilisha familia zenu na vizazi vyenu, watawakia umasikini na bado mtabaki na laana ya kuumiza na kuua.
Uongozi wa umma maana yake ni kutumikia wananchi sio kuumiza wananchi.
 
Ccm ni mchwa wanakula hawashibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…