Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

Hahaha, lipeni kodi kwa akili na kiasi.kama unanafasi ya kupunguza..do it. Otherwise unalipa kodi ili watu waweke mafuta kwenye mav8..halafu wanatutisha nayo barabarani.
Na walivyo na haraka sasa unaweza waza sijui kuna la maana lipi wanaenda kufanya..wakati wanashindwa kutoa majibu hata kwa wananchi wao waliopotea na kuuwawa.
Hii nchi ni tajiri sana ila sasa...ubinafsi, akili ndogo, wizi, ubadhirifu, ujanjaujanja, short cuts...etc ndo zinatumaliza
Kama vipi tuanze kukwepa Kodi tu
 
Mama mmoja alisema, "Kila mbuzi ale kulingana na urefu wa kamba yake"
 
Uamuzi wa kuhamisha makao makuu ulikuwa hauna tija wala sababu za maana tena.
Labda sababu alisema Nyerere! Matokeo yake ndiyo hayo sasa.
Na Nyerere ndio SI unit!! Ila hii nchi🙌🙌🙌
 
Kodi za wananchi ukiwambia watumie bajaji mara kukagua miradi afrika ina laana
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanamkunbuka magufuli..sema bwana yule alikuwana skendo za utekaji ndo maana Kuna watu walimchuk
Kweli maana sasa hivi hakuna utekaji na mauaji yameisha
 
1. V8 zinatembezwa mwanzo-mwisho (400-1000kms) ifikapo weekend kisha kurudi Dom J3 alfajiri. Hapo NI mbali na wanaosafiri na ndege, SGR kila weekend kwa gharama za mwajiri wao.

2. Hii si sawa kwa walipa Kodi. Maendeleo tutasikia kwa Wenzetu arabuni

Destinations: Dar, Arusha na Mwanza kuponda Raha.
Hayo maeneo umetaja Yana Raha zipi ambazo Haipatikani Dom Hadi watu waende kuziponda?

Mwisho,hapa Chumvi imeongezwa.Usisahau kwamba Dom ni HQ utaona Vieteli nyingi sana kutoka kila pande ya Nchi hii zikienda na kurudi huko.
 
Uamuzi wa kuhamisha makao makuu ulikuwa hauna tija wala sababu za maana tena.
Labda sababu "Nyerere alisema"!
Matokeo yake ndiyo hayo sasa.
Acheni ujinga na ujuaji.80% ya wafanyakazi walikuwa Dar tena Wana familia huko ,unategemea Kwa mda mfupi Makao Makuu yata settle?

As we speak Bado viwanja vya ndege vipo Dar na Arusha in case unataka kusafiri hapo unategemea nini?

Mwisho Sgr yenu imewasaidia kiasi watu wa Dar.
 
Uamuzi wa kuhamisha idara za serikali dodoma pengine ndo ulikuwa uamuI mbaya kuliko wote kwa awamu ya 5, na kama taifa utatugharimu kwa miaka mingi mbele.
v8 inawashwa dom kuja dar kufata stationaries tu. Kwa gharama za mlipa kodi mie kapuku
Chai
 
Back
Top Bottom