CHANANJA DYNASTY
JF-Expert Member
- Sep 14, 2024
- 772
- 1,121
SU 2025. soma ule!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vipi tuanze kukwepa Kodi tuHahaha, lipeni kodi kwa akili na kiasi.kama unanafasi ya kupunguza..do it. Otherwise unalipa kodi ili watu waweke mafuta kwenye mav8..halafu wanatutisha nayo barabarani.
Na walivyo na haraka sasa unaweza waza sijui kuna la maana lipi wanaenda kufanya..wakati wanashindwa kutoa majibu hata kwa wananchi wao waliopotea na kuuwawa.
Hii nchi ni tajiri sana ila sasa...ubinafsi, akili ndogo, wizi, ubadhirifu, ujanjaujanja, short cuts...etc ndo zinatumaliza
Halaf uniambie kua wananchi wawe na huruma na hawa watu walivyopata ajaliWatu wanabunya hawana muda na "wanyonge"
Na Nyerere ndio SI unit!! Ila hii nchi🙌🙌🙌Uamuzi wa kuhamisha makao makuu ulikuwa hauna tija wala sababu za maana tena.
Labda sababu alisema Nyerere! Matokeo yake ndiyo hayo sasa.
Syria wananchi wamefikia hatua ya kuchoma Hadi kaburi la marehemu Baba yake Al-Asaad!Mwisho upi? Hakuna mwisho wake na kama upo ni siku wewe unakufa.
Kweli maana sasa hivi hakuna utekaji na mauaji yameisha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanamkunbuka magufuli..sema bwana yule alikuwana skendo za utekaji ndo maana Kuna watu walimchuk
Hayo maeneo umetaja Yana Raha zipi ambazo Haipatikani Dom Hadi watu waende kuziponda?1. V8 zinatembezwa mwanzo-mwisho (400-1000kms) ifikapo weekend kisha kurudi Dom J3 alfajiri. Hapo NI mbali na wanaosafiri na ndege, SGR kila weekend kwa gharama za mwajiri wao.
2. Hii si sawa kwa walipa Kodi. Maendeleo tutasikia kwa Wenzetu arabuni
Destinations: Dar, Arusha na Mwanza kuponda Raha.
Acheni ujinga na ujuaji.80% ya wafanyakazi walikuwa Dar tena Wana familia huko ,unategemea Kwa mda mfupi Makao Makuu yata settle?Uamuzi wa kuhamisha makao makuu ulikuwa hauna tija wala sababu za maana tena.
Labda sababu "Nyerere alisema"!
Matokeo yake ndiyo hayo sasa.
Uchomaji gani Sasa hapo?Samia anapaswa kusitisha uchomaji huu wa fedha za maskini!
ChaiUamuzi wa kuhamisha idara za serikali dodoma pengine ndo ulikuwa uamuI mbaya kuliko wote kwa awamu ya 5, na kama taifa utatugharimu kwa miaka mingi mbele.
v8 inawashwa dom kuja dar kufata stationaries tu. Kwa gharama za mlipa kodi mie kapuku
Katoeni majini mliyoweka hapo Ikulu Dom.Katika hasara tunayopata kama Taifa ni Samia kutokutaka kukaa Dodoma