Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

1. V8 zinatembezwa mwanzo-mwisho (400-1000kms) ifikapo weekend kisha kurudi Dom J3 alfajiri. Hapo NI mbali na wanaosafiri na ndege, SGR kila weekend kwa gharama za mwajiri wao.

2. Hii si sawa kwa walipa Kodi. Maendeleo tutasikia kwa Wenzetu arabuni

Destinations: Dar, Arusha na Mwanza kuponda Raha.
Samia anapaswa kusitisha uchomaji huu wa fedha za maskini!
 
Uamuzi wa kuhamisha idara za serikali dodoma pengine ndo ulikuwa uamuI mbaya kuliko wote kwa awamu ya 5, na kama taifa utatugharimu kwa miaka mingi mbele.
v8 inawashwa dom kuja dar kufata stationaries tu. Kwa gharama za mlipa kodi mie kapuku
 
Magari yote hayo hayawezi tumika kama dhamana kama nchi itashindwa kulipa madeni,watashikilia viwanja,ndege,melinna kadhalika na sio magari.hayapo kwenye thamani ya nchi
 
Back
Top Bottom