Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

Samia anapaswa kusitisha uchomaji huu wa fedha za maskini!
 
Uamuzi wa kuhamisha idara za serikali dodoma pengine ndo ulikuwa uamuI mbaya kuliko wote kwa awamu ya 5, na kama taifa utatugharimu kwa miaka mingi mbele.
v8 inawashwa dom kuja dar kufata stationaries tu. Kwa gharama za mlipa kodi mie kapuku
 
Magari yote hayo hayawezi tumika kama dhamana kama nchi itashindwa kulipa madeni,watashikilia viwanja,ndege,melinna kadhalika na sio magari.hayapo kwenye thamani ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ