Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

Hahaha, lipeni kodi kwa akili na kiasi.kama unanafasi ya kupunguza..do it. Otherwise unalipa kodi ili watu waweke mafuta kwenye mav8..halafu wanatutisha nayo barabarani.
Na walivyo na haraka sasa unaweza waza sijui kuna la maana lipi wanaenda kufanya..wakati wanashindwa kutoa majibu hata kwa wananchi wao waliopotea na kuuwawa.
Hii nchi ni tajiri sana ila sasa...ubinafsi, akili ndogo, wizi, ubadhirifu, ujanjaujanja, short cuts...etc ndo zinatumaliza
 
Familia zao hutaki wazisalimie ? Ni kosa kurudi week end ? Kama ni SGR si ndiyo wanachangia pato la nauli ?
 
Familia zao hutaki wazisalimie ? Ni kosa kurudi week end ? Kama ni SGR si ndiyo wanachangia pato la nauli ?
Kuisalimia familia yako nenda na gari yako binafsi siyo gari ya serikali ,,hayo ni matumizi mabaya ya mali za umma , ofisi zilipohamia dodoma ilisisitizwa kila mmoja mmoja ahamie dodoma au huelewi maana ya kuhamia ? Na siyo ajabu huyo unayemtetea alipewa mpaka hela ya kufunga mizigo + plus usumbufu lakini ameweka takoni sijui unatetea nini
 
wote wanaponda raha
si mawaziri
wabunge
majaji
ras
nimepishana nazo nyingi pia za jw aisee
 
Sawa mkuu, vipi wanaorudi kwa SGR na kwa nauli zao ?
 
Kwahiyo ww hupendi CCM sio
 
Wakati Magu anadhibiti huu upuuzi mlimuona mbaya, wabongo ni kikundi Cha majuha hayajui yanaataka nini.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanamkunbuka magufuli..sema bwana yule alikuwana skendo za utekaji ndo maana Kuna watu walimchukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…