Dodoma hali si shwari, Diamond akaribia kusababisha maafa makubwa

 
Anavunja rekodi ya mamvi kule tanga sio? Kila la kheri dimondiii
 
Diamond imefika wakati afanye live perfomance, hizi habari za lipsyncing zimepitwa na wakati.
 
uko mwaka wa ngapi?
 
yamepitwa na wakati katika nchi gan maana km marekani hata rihanna uwa ana lipsyncing


Mkuu Rihanna akipiga full concert anapanda na band na back up singers. Only few shows kama anapanda alone au na watu wachache ile back Voice ndio inatoka kwenye mashine. Chukua Video za Rihanna na Diamond wakiimba live ziangalie utaina tofauti. Usinione hater wa Diamond lakini kwenye Sanaa critics muhimu. Wenzake kina Jose Camelion siku hizi wanafanya live jigs. Wakati ni huu wa kufanya mziki wa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…