Dodoma hali si shwari, Diamond akaribia kusababisha maafa makubwa

Dodoma hali si shwari, Diamond akaribia kusababisha maafa makubwa

Kwa habari nilizopenyezewa Dodoma kumetokea hali ya kutisha baada ya Diamond kupanda jukwaani na mashabiki kuchanganyikiwa na kuanza kukanyagana.

Naambiwa watu walikuwa wengi sana kwenye show kiasi wengine wamezimia na inasemekana............


Mlio huko tupeni taarifa ya uhakika nini haswa kinaendelea.
1463079288334.jpg
 
Anavunja rekodi ya mamvi kule tanga sio? Kila la kheri dimondiii
 
Diamond imefika wakati afanye live perfomance, hizi habari za lipsyncing zimepitwa na wakati.
 
Hamna kitu kama hicho.
Issue ni kwamba baada ya diamond kuomba nyimbo kama tatu hivi akapendekeza watu walio kaa mbele karibu na jukwaa wasogee mbele zaidi ili waweze kucheza naye vizuri but hiyo kauli ili wafanya madenti wote wasogee mbele na hivo kusukumana kidogo.
Ila thanks God hiyo issue ilikuwa solved and no one was injured.
Source. Mie mwenyewe nilikuwa eneo la tukio pamoja na mawaziri wawili wa JPM
uko mwaka wa ngapi?
 
yamepitwa na wakati katika nchi gan maana km marekani hata rihanna uwa ana lipsyncing


Mkuu Rihanna akipiga full concert anapanda na band na back up singers. Only few shows kama anapanda alone au na watu wachache ile back Voice ndio inatoka kwenye mashine. Chukua Video za Rihanna na Diamond wakiimba live ziangalie utaina tofauti. Usinione hater wa Diamond lakini kwenye Sanaa critics muhimu. Wenzake kina Jose Camelion siku hizi wanafanya live jigs. Wakati ni huu wa kufanya mziki wa kweli
 
Back
Top Bottom