Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Huyu anatumia nguvu gani? Mbona kuimba kwenyewe naona kawaida tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa habari nilizopenyezewa Dodoma kumetokea hali ya kutisha baada ya Diamond kupanda jukwaani na mashabiki kuchanganyikiwa na kuanza kukanyagana.
Naambiwa watu walikuwa wengi sana kwenye show kiasi wengine wamezimia na inasemekana............
Mlio huko tupeni taarifa ya uhakika nini haswa kinaendelea.
Nguvu ya kipaji chake kikubwa cha kuimba kwa swaga na kutumbuiza kwa madoido(mwenyewe anaita michezo ya kuringaringa) akiwa jukwaani...Huyu anatumia nguvu gani? Mbona kuimba kwenyewe naona kawaida tu.
Mbona wewe huimbi kama ni kawaidaHuyu anatumia nguvu gani? Mbona kuimba kwenyewe naona kawaida tu.
yamepitwa na wakati katika nchi gan maana km marekani hata rihanna uwa ana lipsyncingDiamond imefika wakati afanye live perfomance, hizi habari za lipsyncing zimepitwa na wakati.
Anatumia nguvu ya LowasaHuyu anatumia nguvu gani? Mbona kuimba kwenyewe naona kawaida tu.
uko mwaka wa ngapi?Hamna kitu kama hicho.
Issue ni kwamba baada ya diamond kuomba nyimbo kama tatu hivi akapendekeza watu walio kaa mbele karibu na jukwaa wasogee mbele zaidi ili waweze kucheza naye vizuri but hiyo kauli ili wafanya madenti wote wasogee mbele na hivo kusukumana kidogo.
Ila thanks God hiyo issue ilikuwa solved and no one was injured.
Source. Mie mwenyewe nilikuwa eneo la tukio pamoja na mawaziri wawili wa JPM
Hivi wewe kuna uzi ambao hujawahi kuusoma? Na kupitia comment baada ya comment! Hongera hicho ni kipaji= hakiharibiki
Extra ordinaryHuyu anatumia nguvu gani? Mbona kuimba kwenyewe naona kawaida tu.
yamepitwa na wakati katika nchi gan maana km marekani hata rihanna uwa ana lipsyncing
Hapo nasikia ni baada ya Diamond kupost yupo njiani kuelekea Airport akapande Ndege kwenda UDOM!.walivyo sikia anatoka nyumbani wakaanza kusogea
Na wewe una ujuaji wako wakijinga si ukafundishe kiswahili Somalia [emoji2] [emoji2]= hakiharibiki
Badala ya kushukuru unalaumu! dah tena elimu ya bure. Hivi hujuikuwa Kiswahili kinaharibika sana? Mshukuru mwalimu.Na wewe una ujuaji wako wakijinga si ukafundishe kiswahili Somalia [emoji2] [emoji2]
Picha kutoka dodoma![]()
![]()
![]()