Pre GE2025 Dodoma: Job Ndugai akumbana na maswali ya mpiga kura Jimboni kwake

Pre GE2025 Dodoma: Job Ndugai akumbana na maswali ya mpiga kura Jimboni kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mfaume the best, ila tu asishangae akitekwa kwa kauli kwamba polisi ndio waliandamana. Na kama ukisikiliza vizuri kadri alivyoendelea kuuliza swali lake ndugai ndivyo alivyokuwa ananywea, badala ya kujibu swali anasema na wewe weka mgombea wako wa chadema wakati mkutano sio wa chadema wala wa ccm.
 
Katika mkutano wa Wananchi na Mbunge jimboni Kongwa Spika Mstaafu Mzee Job Ndugai ametambua nguvu ya Chadema na kuwakaribisha Kwenye Uchaguzi

Nimeshangaa sana 🐼

Baadae Mlale unono 😀
 
Mzee alivyo na kisasi atafadhili hata cuf kinyume cha mazaakivyo mng'oa kikatili🤣
 
Back
Top Bottom