Pre GE2025 Dodoma: Job Ndugai akumbana na maswali ya mpiga kura Jimboni kwake

Pre GE2025 Dodoma: Job Ndugai akumbana na maswali ya mpiga kura Jimboni kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umeshakua spika,umeshakuwa bunge kwa muda mrefu nitashanga kama bado atataka kugombea tena
 
Aliyekuwa Spika wa Bunge ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai amekumbana na maswali magumu kutoka kwa wapiga kura wake alipowatembelea na kuzungumza nao.
Hana mpini hapo alipo?
Ni risk kumuuliza swali bila kuangalia alichonacho mkononi
 
Job Ndugai amekumbana na maswali magumu kutoka kwa wapiga kura wake alipowatembelea na kuzungumza nao.
1727718794754.png

Mbwa kala mbwa
 
Mfaume the best, ila tu asishangae akitekwa kwa kauli kwamba polisi ndio waliandamana. Na kama ukisikiliza vizuri kadri alivyoendelea kuuliza swali lake ndugai ndivyo alivyokuwa ananywea, badala ya kujibu swali anasema na wewe weka mgombea wako wa chadema wakati mkutano sio wa chadema wala wa ccm.
Aisee Mfaume kashaitwa ni CDM ila swala la Ayubu Mungu afanye tu maamuzi
 
Back
Top Bottom