Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Nafhani huu ndio uchaguzi wake wa mwishoKatika mkutano wa Wananchi na Mbunge jimboni Kongwa Spika Mstaafu Mzee Job Ndugai ametambua nguvu ya Chadema na kuwakaribisha Kwenye Uchaguzi
Nimeshangaa sana 🐼
Baadae Mlale unono 😀