Pre GE2025 Dodoma: Job Ndugai akumbana na maswali ya mpiga kura Jimboni kwake

Pre GE2025 Dodoma: Job Ndugai akumbana na maswali ya mpiga kura Jimboni kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumbe Ndugai yupoo? Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugai aliwahi kutembeza kichapo wakati wa uchaguzi wakae nae kwa umakini🐼
 
Mfaume the best, ila tu asishangae akitekwa kwa kauli kwamba polisi ndio waliandamana. Na kama ukisikiliza vizuri kadri alivyoendelea kuuliza swali lake ndugai ndivyo alivyokuwa ananywea, badala ya kujibu swali anasema na wewe weka mgombea wako wa chadema wakati mkutano sio wa chadema wala wa ccm.
Na aliposema "weka mgombea wako tupambane" hapo atakuwa amekiri kuwa yeye (Ndugai) atagombea tena uchaguzi ujao, au vipi?
 
Nakumbuka maneno yake "nchi itauzwa ".
Angalau hata kama huko jimboni kwake hajfanya mengi, basi wangempa hata Pongezi kidogo kwa kuliona balaa hili likiwa linakuja kuiangamiza nchi mpaka akajitoa muhanga na kupaaza sauti yake kuonya na kukemea hili. Ingawa alishindwa kusimamia kauli yake hadi mwisho ila his heroic message was sent and clearly delivered though to the deaf ears. Lakini atakumbukwa daima kwa kulikema hili katika vitabu vya Historia ya Tanganyika .Kwamba Speaker wa wakati huo alijaribu kuonya na kukemea hili balaa ambalo litakuja kuwateza viazi vijavyo kubebana na huo mzigo mzito kwa Taifa. Ikitokea tukawa tumepigwa mnada sijajua wakati huo watakuwa ni raia wa nchi gani atakayekuwa ametoa the highest bid in the auction. Ila nina uhakika hawatakuwa wamechukuliwa na Burundi wala Kenya maana nao ni kama sisi na watakuwa na hatima kama ya kwao. May be Chinese?
 
Katika mkutano wa Wananchi na Mbunge jimboni Kongwa Spika Mstaafu Mzee Job Ndugai ametambua nguvu ya Chadema na kuwakaribisha Kwenye Uchaguzi

Nimeshangaa sana 🐼

Baadae Mlale unono 😀
Kwenye lugha ya kiswahili nadhani kuna upungufu mkubwa wa maneno!

Ndugai hakustaafu, alijiuzulu kama ambavyo Lowasa Pm alifanya.

Ninavyoelewa Mtumishi anapostaafu kwa heshima ana hadhi yake na mafao yake ya pensheni tofauti na mtu aliyewajibika kwa kujiuzulu ama kufukuzwa.

Sasa tuseme neno stahiki la kiongozi ama mtumishi wa umma aliyeacha/kuachishwa utumishi wa umma huwa halipo kupelekea tuishie kuwaita wastaafu?
 
Kujiuzulu ni Kustaafu kwa hiyari 😀
 
Back
Top Bottom