Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Jamaa anaakili sana huyuAliyekuwa Spika wa Bunge ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai amekumbana na maswali magumu kutoka kwa wapiga kura wake alipowatembelea na kuzungumza nao.
Jamaa kauliza maswali makini, Lakini mbona hatuoni majibu?Aliyekuwa Spika wa Bunge ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai amekumbana na maswali magumu kutoka kwa wapiga kura wake alipowatembelea na kuzungumza nao.